Maelezo ya Ziada
Parents and students have been pleased with the exhibition of Malaysian universities that have provided them with various study and scholarship opportunities during the exhibition held yesterday. Speaking at the exhibition, the exhibition coordinator, who is the Director General …
ippmedia.co.tz ↗WAZAZI na wanafunzi nchini wamefurahishwa na maonesho ya vyuo vikuu Malaysia ambavyo vimewapa fursa mbalimbali za masomo nchini humo kwenye maonesho yaliyofanyika jana.Akizungumza kwenye maonesho hayo, Mratibu wa maonesho, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Elimu Vyuo Vikuu, Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel, alisema maonesho yametoa fursa nyingi kwa vijana.Mollel alisema vijana k
michuzi.co.tz ↗Na Mwandishi Wetu, Michuzi TVTANZANIA na Malaysia zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano katika elimu ya juu kupitia ubia wa vyuo vikuu, tafiti za pamoja, ubadilishanaji wa wanafunzi na wahadhiri, ufadhili wa masomo pamoja na ushirikiano katika sayansi na teknolojia.Vyuo Vikuu tisa vimeanza maonesho ya elimu katika Hoteli ya Serena kwa kutoa elimu na fursa ya watanzania kupata elimu katika nchi h
michuzi.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
NAMTUMBO: THE Mkuju River Uranium Project located in Namtumbo District, Ruvuma Region is expected to make Tanzania one of the largest producers of uranium in the world, with an estimated contribution of about 4 percent of the world’s uranium production once it reaches the production stage. Speaking about the progress of the project, the Mkuju …
dailynews.co.tz ↗Tanzania’s ambitious quest to join the ranks of uranium-producing nations has entered a defining phase, as the long-delayed Mkuju River project edges closer to industrial production amid growing pressure to secure financing and meet critical regulatory milestones.
thecitizen.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Ridhiwani Awataka Wanafunzi wa Sheria Kujenga Nidhamu na Uzalendo
michuzi.co.tz ↗Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewataka wanafunzi wa sheria nchini kujenga taaluma zao katika misingi ya nidhamu, ubunifu na uzalendo ili waweze kushindana katika soko la ajira la kimataifa linalozidi kuwa na ushindani mkubwa. Ridhiwani alitoa wito, wakati akizungumza katika hafla […]
mzalendo.co.tz ↗
AGRICULTURE
2
2
2
Tanzania Invited to Host the 2028 Africa Bee Expo
Maelezo ya Ziada
Na Mwandishi Wetu.TAASISI ya Maonesho ya Ufugaji wa Nyuki barani Afrika ya Africa Bee Expo, imeialika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Tano ya Ufugaji wa Nyuki Afrika yatakayofanyika mwaka 2028 na kujumuisha wafugaji wa nyuki kutoka nchi 50.Mwaliko huo umetolewa Juni 4, 2026 na Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Bw. Fatah Ben Chouia wa Algeria, alipokutana na kuzungumza na Balozi wa Tanzania nchini Algeria Mobhare
michuzi.co.tz ↗Taasisi ya Maonesho ya Ufugaji wa Nyuki barani Afrika ya Africa Bee Expo, imeialika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Maonesho ya…
fullshangweblog.co.tz ↗
ENVIRONMENT
2
2
2
Temeke District Plants Over 500 Trees for World Environment Week 2026
Maelezo ya Ziada
DAR ES SALAAM: TEMEKE District, in collaboration with Ever Green Landscaping Co. Ltd, has planted more than 500 trees as part of the 2026 World Environment Week commemorations, aimed at promoting environmental conservation and awareness in Dar es Salaam. In addition to the tree-planting exercise conducted along Mandela Road in Kurasini Ward, the partners also …
dailynews.co.tz ↗Temeke District, in collaboration with Ever Green Landscaping Co. Ltd, has planted more than 500 trees as part of the 2026 World Environment Week commemorations, aimed at promoting environmental conservation and awareness in Dar es Salaam. In addition to the tree-planting exercis…
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu, vinywaji kwa bei nafuu, na watengeneza maudhui wa mitandoni wakituma video zisizofikisha ujumbe kamili kwenye mitandao ya kijamii ( Instagram). Baada ya hapo, kila mtu anarudi nyumbani kwake, hadi kufikia jumatatu tukio lote limesahaulika. Huo umekuwa ni ukweli mchungu kwa chapa nyingi zaidi barani Afrika. Kampuni inat
michuzi.co.tz ↗Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu,…
globalpublishers.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Na Janeth Raphael MichuziTv - Bungeni Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha hatua za kudhibiti na kutokomeza tatizo la mbegu feki nchini kupitia mifumo ya kisasa ya uthibitishaji wa ubora, ukaguzi wa mara kwa mara na utoaji wa elimu kwa wakulima.Akijibu swali la Mbunge wa Mbozi, Onesmo Merdson Mnkondya, kuhusu mpango wa Serikali wa kukomesha mbegu feki nchini, Naibu Waziri wa Kilimo, David Silind
michuzi.co.tz ↗MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimelekeza nguvu kuwekeza katika tafiti, ubunifu na teknolojia za uzalishaji wa mbegu bora ili kuongeza tija katika sekta ya kilimo na kuimarisha usalama wa chakula nchini. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalam, Profesa Maulid Mwatawala amesema hayo kwa niaba ya Makamu Mkuu …
habarileo.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
DAR ES SALAAM: THE Dar es Salaam Stock Exchange (DSE), closed the latest trading session on a steady footing, with active trading, strong local investor participation, and a market that adjusted gradually as two dividend announcements prompted temporary widening of price movement limits. Market capitalization ended at about Sh34.18 trillion, easing 0.7 per cent. Locally …
dailynews.co.tz ↗During Week 23 of 2026 (June 1-5), DSE equity turnover surged +51.19% to TZS 20.71 billion on volume of 6,557,479 shares across 19,464 deals. MUCOBA (+38.20%), TOL (+22.65%) and MCB (+12.50%) led gainers, while NMG (-3.77%), TBL (-3.36%) and EABL (-3.01%) topped losers. Total market capitalisation closed at TZS 34,178.81 billion with the DSEI essentially flat at -0.04%, and Commercial Services (+3.06%) was the standout index. Foreign investors were net sellers at USD -1,690,466. Bond turnover to
tanzaniainvest.com ↗
Maelezo ya Ziada
Na Farida Mangube Morogoro Wakazi wa Kitongoji cha Kichangani, Kijiji cha Mamboya katika Kata ya Gairo, Wilaya ya Gairo, wameondokana na changamoto ya muda mrefu ya mafuriko na kukatika kwa mawasiliano baada ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa daraja na mtaro wa maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 455.Mradi huo uliotekelezwa na wakala ya Barabara za vijjini na mjini TARURA umezin
michuzi.co.tz ↗DODOMA: Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za WAZOHURU MEDIA na WAZOHURU APPARTMENTS, Mathias Canal, ametunukiwa Tuzo ya Ushiriki Bora wa Kazi za Jamii 2026, ikiwa ni kutambua mchango wake mkubwa katika kuhamasisha maendeleo ya jamii kupitia shughuli mbalimbali za kijamii na misaada ya kijamii. Tuzo hiyo iliyotolewa usiku wa Juni 5, 2026 […]
mzalendo.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
ZANZIBAR: THE Zanzibar government has announced plans to facilitate the creation of 70,000 decent jobs for youths and economically empower 28,339 citizens through soft loans worth 47.3bn/- in the 2026/2027 financial year. The initiative is part of the Ministry of Youth, Employment and Economic Empowerment’s broader strategy to strengthen youth development and increase their participation …
dailynews.co.tz ↗Ministry of Youth, Employment, and Empowerment has introduced eight priorities including coordinating access to 70,000 decent jobs for all in coordination with stakeholders within and outside Zanzibar.
thecitizen.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
P0RT LOUIS: Tanzanian swimmer Lorita Borega has been acknowledged after reaching in the semi-finals of the African Aquatics Open Swimming Championship held over the weekend in Mauritius. She was among the four athletes who represented Tanzania at the contest, definitely competing with other swimmers from different countries. The Tanzania team was captained by Adil Abdulrahman …
dailynews.co.tz ↗[Daily News] Mauritius -- TANZANIA opened its campaign at the Africa Region IV Men's Team Championship with a fifth-place finish after the first round at Tamarina Golf Club in Mauritius on Thursday and will conclude tomorrow.
allafrica.com ↗
AGRICULTURE
2
2
1
Impact of Climate Change on Fishing and Agriculture in Zanzibar
Maelezo ya Ziada
Zanzibar inaendelea kukumbwa na athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi zinazohatarisha sekta muhimu za uchumi wa wananchi, hususan uvuvi, kilimo na uzalishaji wa mwani.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Zanzibar inakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kimataifa unaowakutanisha watafiti, watunga sera, wanataaluma na viongozi wa sekta binafsi kujadili hatma ya uchumi wa buluu na namna ya kugeuza changamoto kuwa fursa za maendeleo.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
TAMISEMI imetangaza nafasi 400 za walimu wa kujitolea (mkataba) kwa somo la Elimu ya Biashara katika shule za sekondari zenye uhitaji mkubwa wa walimu.
globalpublishers.co.tz ↗TAMISEMI imetangaza nafasi 400 za walimu wa kujitolea (mkataba) kwa somo la Elimu ya Biashara katika shule za sekondari zenye uhitaji mkubwa wa walimu.
globalpublishers.co.tz ↗
PUBLIC-ADMIN
1
1
1
Government Response to Housing Demolition Crisis Affecting 67 Households
Maelezo ya Ziada
Serikali ya Mkoa imeanza kuchukua hatua za haraka na kutoka maturubai kwa ajili ya kwenda kuwawekea wahanga ili kuwakinga na jua au mvua kwa kipindi hiki.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi, Dk. Batilda Buriani, ameunda Kamati maalumu kubaini tukio la kubomolewa makazi ya wananchi eneo la Msakangoto (maisha plus), kata ya Kigombe, jijini Tanga na kusababisha madhara hasa kwa wazee na watoto.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Tutakwenda Tanzania kutafuta ngozi na kuangalia uwezekano wa kufungua kiwanda cha kuchakata ngozi huko Tanzania kwa ajili ya viwanda vyetu hapa Algeria
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
BALOZI wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa Tanzania kushiriki kwenye Maonesho ya 57 ya Kimataifa ya Biashara ya Algiers (FIA) yatakayofanyika kuanzia Juni 22 hadi 27 Juni 27 mwaka huu, jijini Algiers, na kushirikisha kampuni takribani 700 kutoka nchi zaidi ya 40 duniani.
ippmedia.co.tz ↗
POLITICS
1
1
1
Bobi Wine's Arrests and Political Persecution
Maelezo ya Ziada
Bobi Wine, alikamatwa kwa tuhuma za kumiliki silaha kinyume cha sheria, lakini kesi hiyo ilionekana na wengi kuwa na msukumo wa kisiasa.
ippmedia.co.tz ↗
POLITICS
1
1
1
Bobi Wine's Call for Voter Mobilization and Freedom
Maelezo ya Ziada
Uchaguzi huu ni kuhusu ukombozi... Tunawaomba watu wajitokeze na kuandamana kupitia sanduku la kura.
ippmedia.co.tz ↗
POLITICS
1
1
1
Violence Against Bobi Wine's Supporters During Campaigns
Maelezo ya Ziada
Picha na video zinaonesha wafuasi wake wakiandamana na msafara wake, wakikabiliana na gesi ya kutoa machozi na mipigo ya maji iliyotumiwa na vikosi vya usalama.
ippmedia.co.tz ↗
POLITICS
1
1
1
Bobi Wine's Advocacy for Youth Employment and Human Rights
Maelezo ya Ziada
anajifanya rais wa geto na anafanya kampeni zake akilenga masuala kama ukosefu wa ajira kwa vijana na haki za binadamu.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Mimi ndiye mgombea niliye karibu zaidi na wananchi... Ndiyo maana miongoni mwa wagombea wanane, mimi ndiye anayefuatiliwa zaidi, ninayenyanyaswa zaidi na ninayehofiwa zaidi.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Warsha hiyo inalenga kuibua mapendekezo mahsusi ya sera yatakayosaidia kuimarisha uchumi wa buluu na kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar 2050.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Ameongeza kuwa Serikali kupitia Mpango wa Taifa wa Nishati ( National Energy Compact) inalenga kuongeza upatikanaji wa umeme, kuimarisha matumizi ya nishati jadidifu na kufikia matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa asilimia 75 ifikapo mwaka 2030 hatua inayofungua zaidi fursa kwa wawekezaji kushiriki katika miradi yenye tija.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
akibainisha kuwa uwezo wa uzalishaji umefikia takribani megawati 4,500 na unatarajiwa kufikia megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, ametangaza fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika sekta ya nishati nchini, akizialika kampuni na wawekezaji wa kimataifa kuchangamkia nafasi hizo ili kuchochea ukuaji wa sekta hiyo.
ippmedia.co.tz ↗
CIVIL-SOCIETY
1
1
1
Community Support for Kiwanda cha Chai Mponde
Maelezo ya Ziada
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, wamepongeza mafanikio yaliyopatikana tangu kiwanda kilipoanza uzalishaji Oktoba 2022 hadi sasa.
ippmedia.co.tz ↗
BUSINESS
1
1
1
431.46 Million Shillings Paid to Tea Transporters
Maelezo ya Ziada
Wasafirishaji wa chai Shilingi milioni 319.46.
ippmedia.co.tz ↗
AGRICULTURE
1
1
1
3,500 Farmers Benefit from Kiwanda cha Chai Mponde
Maelezo ya Ziada
Jumla ya wakulima 3,500 wanauza majani mabichi ya chai kwenye kiwanda hicho.
ippmedia.co.tz ↗
JOBS-CAREERS
1
1
1
79 Permanent Jobs Created by Kiwanda cha Chai Mponde
Maelezo ya Ziada
Kiwanda kikitoa ajira za kudumu 79 na ajira za msimu 100-300 kutegemea na msimu wa mavuno.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Hawa Mchafu alisema, Kamati inatamani kuona kiwanda kinaendelea kustawi na hivyo kuleta manufaa kwa wakulima.
ippmedia.co.tz ↗
AGRICULTURE
1
1
1
Sh.bilioni 6.3 Investment in Kiwanda cha Chai Mponde
Maelezo ya Ziada
Kiasi cha Shilingi bilioni 6.3 zimeingia katika mzunguko wa fedha kutokana na uwekezaji wa Kiwanda cha Chai Mponde kilichoko Bumbuli, Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga.
ippmedia.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Malipo ya kodi na tozo mbalimbali kwa Halmashauri Shilingi milioni 301.2.
ippmedia.co.tz ↗
INFRASTRUCTURE
1
1
1
Infrastructure Improvement Recommendations for Tea Transport
Maelezo ya Ziada
Wajumbe hao wametoa ushauri wa maboresho ya miundombinu ya barabara kuelekea kwenye kiwanda hicho ili kuwarahisishia wakulima kusafirisha chai yao kwenda kiwandani kwa urahisi.
ippmedia.co.tz ↗
POLITICS
1
1
1
Fyatu's Declaration of War Against Tarampu's Lapdogs
Maelezo ya Ziada
Natangaza vita ya wanene na siyo guard dogs wao.
mwananchi.co.tz ↗
ECONOMY
1
1
1
Tarampu's Alleged Economic Exploitation of Fyatuland
Maelezo ya Ziada
Anadhani siwezi? Akamuulize Kiduku ambaye amekuwa akimtoa jasho.
mwananchi.co.tz ↗
POLITICS
1
1
1
Tarampu's Threat to Economic Sanctions Against Fyatu
Maelezo ya Ziada
Akiendelea kujifyatuafyatua, nitamuwekea vikwazo vya kiuchumi.
mwananchi.co.tz ↗
ENVIRONMENT
1
1
1
Electric Catfish's Ability to Generate 300 Volts for Hunting and Defense
Maelezo ya Ziada
Electric Catfish anaweza kutoa mshtuko wa hadi volt 300 au zaidi kutegemeana na ukubwa wake, jambo linalomfanya kuwa mmoja wa samaki hatari zaidi kwenye maji ya mito na maziwa barani Afrika.
globalpublishers.co.tz ↗
HEALTH
1
1
1
Mlenda's Benefits for Skin and Hair Health
Maelezo ya Ziada
Virutubisho vyake husaidia: ngozi kung’aa, kupunguza chunusi, nywele kuwa imara na zenye afya.
globalpublishers.co.tz ↗
HEALTH
1
1
1
7 Health Benefits of Consuming Mlenda Regularly
Maelezo ya Ziada
Mlenda ni mboga inayopatikana kwa urahisi sokoni na majumbani, lakini watu wengi hawajui kuwa ni dawa asilia yenye virutubisho vingi sana. Licha ya ute wake, mlenda una faida kubwa kiafya na unashauriwa kuingizwa mara kwa mara kwenye mlo.
globalpublishers.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Mlenda husaidia: kupunguza lehemu (cholesterol) mbaya, kuboresha mzunguko wa damu, kupunguza hatari ya presha na magonjwa ya moyo.
globalpublishers.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Kwa sababu una: kalori chache, nyuzi nyingi zinazoshikisha tumbo. Unasaidia kushiba kwa muda mrefu na kupunguza kula kupita kiasi.
globalpublishers.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Kwa watu wenye kisukari (diabetes) au wanaotaka kuzuia, mlenda husaidia: kudhibiti kiwango cha sukari, kupunguza ufyonzwaji wa sukari mwilini.
globalpublishers.co.tz ↗
MANUFACTURING
1
1
1
Emphasis on Industrial Growth in 2026/27 Budget
Maelezo ya Ziada
Pia, amesema bajeti hiyo ielekeze nguvu katika kukuza uchumi wa viwanda kwa kuimarisha ushindani wa viwanda vya ndani, kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa nchini na kupanua mauzo katika masoko ya kikanda na kimataifa.
mwananchi.co.tz ↗
CONSTRUCTION
1
1
1
Call for Infrastructure Improvement in 2026/27 Budget
Maelezo ya Ziada
Amesema ni vyema bajeti hii ikatoa kipaumbele katika utengenezaji wa ukarabati wa miundombinu ili kusaidia kuchochea ukuaji wa uchumi.
mwananchi.co.tz ↗
BUSINESS
1
1
1
Proposal for Simplified Business Regulations for MSMEs
Maelezo ya Ziada
Amesema ni vyema kuimarisha urasimishaji wa biashara ndogo na za kati (MSMEs) ambazo zinaendelea kuwa mhimili wa uchumi wa Taifa kupitia sheria rahisi hasa kwa wafanyabiashara wasiowasilisha ritani.
mwananchi.co.tz ↗
BUSINESS
1
1
1
Impact of Increased Fees and Charges on Small Businesses
Maelezo ya Ziada
Amesema ongezeko la tozo na ada kutoka taasisi mbalimbali limekuwa likipunguza mtaji wa biashara na kuathiri uwezo wa wafanyabiashara kupanua shughuli zao.
mwananchi.co.tz ↗
TRANSPORT
1
1
1
Call for Reduction of Regulatory Authorities in 2026/27 Budget
Maelezo ya Ziada
Chama cha Wamiliki wa Malori ya Kati na Madogo Tanzania (Tamstoa) na Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) wanatamani bajeti ipunguze mamlaka za udhibiti pamoja na kuboresha miundombinu ili kuwezesha usafirishaji kuwa rafiki.
mwananchi.co.tz ↗
Maelezo ya Ziada
Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 inatarajiwa kuwa Sh 61.93 trilioni, huku ikilenga kuongeza makusanyo ya ndani hadi kufikia Sh46.69 trilioni ili kupunguza utegemezi wa misaada na mikopo kutoka nje.
mwananchi.co.tz ↗