Michezo
Habari mpya za michezo, uchambuzi wa mechi, na matukio muhimu uwanjani kutoka ligi mbalimbali.
โค๏ธ Your favorites
Upcoming seasons & matches
Competitions and fixtures coming up
Misimu ya Sasa
Mashindano yanayoendelea sasa
FAN PREDICTION
Who's lifting the trophy in 2026?
Loadingโฆ
Why did you pick that?
Thanks!
FAN PREDICTION
Who will win Imbeju Ndondo Cup 2026?
Loadingโฆ
Why did you pick that?
Thanks!
FAN PREDICTION
Who's lifting the trophy in 2027?
Loadingโฆ
Why did you pick that?
Thanks!
Are you going to AFCON 2027?
Stadiums across Kenya ยท Tanzania ยท Uganda
Habari
TANZANIA IPO TAYARI KUELEKEA AFCON 2027.
Infrastructure Improvements for AFCON 2027 in Arusha
Serikali kupitia Walala wa Barabara Tanzania - TANROAD mkoa wa Arusha, imeanza kwa kasi utekelezaji wa ujenzi wa Barabara ya mzunguko kuanzIa Kona ya Mbauda - Losinyai na Losinyai - Tanganyika Packer Ikiwa ni sehemu ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara Jiji la Arusha kwaajili ya maandalizi ya Mashindano ya mpira wa Miguu Afrika -AFCON yanayotarajiwa kufanyika Arusha mwaka 2027.
Yanga yapigwa faini ya mlioni 100/- Hersi, Ntine kikaangoni
Baada ya kurudia kosa, Yanga imetozwa faini ya Sh. milioni 100 kwa kosa la wachezaji na maofisa wake wa ufundi kutotumia chumba rasmi cha kuvalia nguo wakati wakicheza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam. Piaโฆ
RC Kunenge Azindua Mashindano ya Riadha Kitaifa, Aitaka Pwani Kuwa Kitovu cha Michezo Tanzania.
NMB injects 150m/- into CDF Cup 2026
NMB Bank has announced a TZS 150 million sponsorship package for the eighth edition of the CDF Cup 2026, which will be held in Dar es Salaam from July 6 to 17. Organised by the Tanzania Peopleโs Defence Force (TPDF), the tournament will bring together military teams competing in โฆ
Golfers begin quest for NCBA Grand Finale spot
THE 2026 NCBA Golf Series gets underway on Saturday, June 27, with golfers from across Tanzania set to begin their quest for a place at the prestigious regional Grand Finale in Nairobi. The tournament marks the start of another competitive season in what has grown into one of Easโฆ
Yanga unveil 2026 General Election roadmap
YOUNG Africans Sports Club (Yanga) has officially announced the timetable for its 2026 General Election, with the electoral process set to begin on June 25 and conclude with voting on August 2, 2026. The announcement was made by the clubโs Election Committee Chairman, Advocate Maโฆ
Simba eye crucial points against Mtibwa in title chase
SIMBA SC will continue their pursuit of the Mainland Premier League title when they face Mtibwa Sugar this afternoon in a crucial Matchweek 28 fixture at Jamhuri Stadium in Morogoro. Kick-off is scheduled for 4:00 PM EAT, with the Msimbazi Street giants looking to maintain pressuโฆ
Yanga face defining Azam test in title race
THE race for the 2025/26 Mainland Premier League title reaches a critical stage this evening as Young Africans SC (Yanga) host Azam FC in a high stakes encounter at the New Amaan Complex in Zanzibar. Kick-off is scheduled for 4:00 PM EAT, with the result expected to have a major โฆ
Barker, Ibenge set for tactical battle in Federation Cup final
FOLLOWING Azam FC's dramatic 3-2 extra-time victory over Young Africans SC in the semi-finals of the Federation Cup, attention has now shifted to what promises to be a fascinating final against Simba SC. While supporters eagerly anticipate the battle between the players on the piโฆ
Moalin rues costly mistakes as Yanga crash out of Federation Cup
YOUNG Africans SC interim head coach Abdihamid Moalin admitted that costly defensive mistakes and missed opportunities were the main reasons behind his side's painful 3-2 defeat to Azam FC in the semi-final of the Federation Cup at CCM Kirumba Stadium in Mwanza. The defeat ended โฆ
Ibenge delighted as Azam end Yanga hoodoo
AZAM FC head coach Florent Ibenge has applauded his players for their mental strength, tactical discipline and determination following their dramatic 3-2 extra time victory over Young Africans SC in the semi-final of the Federation Cup. The victory at CCM Kirumba Stadium in Mwanzโฆ
Yanga rally fans ahead of crucial Azam clash
YOUNG Africans SC have called on their members, supporters and football fans to rally behind the team ahead of their crucial Mainland Premier League clash against Azam FC on Wednesday. Following their disappointing 3-2 extra-time defeat to Azam in the Federation Cup semi-final, tโฆ
Mvua ilivyositisha kwa muda mechi ya Ufaransa na Iraq
Hali mbaya ya hewa iliyoambatana na mvua kubwa ililazimisha mechi kati ya Ufaransa na Iraq iliyopigwa usiku wa kuamkia leo kusitishwa kwa muda wakati wa mapumziko kutokana na hofu ya kutokea kwa dhoruba na radi. Licha ya yote hayo, mashabiki wa Iraq walionyesha matumaini wakiaminโฆ
Kitambala sends 10-man Azam into Federation Cup final
A DRAMATIC extra-time goal from substitute Jephret Kitambala Bola sent 10-man Azam FC into the Federation Cup final after a thrilling 3-2 victory over defending champions Young Africans at CCM Kirumba Stadium in Mwanza yesterday. The ice cream makers will now face Simba SC in theโฆ
Tegis sets sights on Golden Boot after hat-trick heroics
PAMBA Jiji striker Mathew Tegis believes his recent hat-trick has boosted his chances of challenging for the Mainland Premier League Golden Boot award as he looks to surpass the scoring record he set last season. The Kenyan forward produced a stunning performance in Pamba Jijiโs โฆ
NBC hands Geita Gold Championship trophy, reaffirms support for football development
THE National Bank of Commerce (NBC) has reaffirmed its commitment to the development of Tanzanian football after officially presenting the 2025/26 NBC Championship trophy to Geita Gold FC, whose impressive campaign earned them promotion to the NBC Premier League. The Geita-based โฆ
๐ NBC Premier LeagueMKENDA AFUNGUKA: HAKUNA KIPAJI KITAKACHOPOTEA ฮคฮฮฮ!
Yanga, Azam zatambiana kuelekea nusu fainali kesho
Mabenchi ya ufundi ya klabu za Yanga na Azam FC yametambiana kuelekea mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, utachezwa kesho katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza kuanzia saa 9:30 alasiri. Wakizungumzia maandalizi ya vikosi vyao leo kuelekea mchezo huo, Kochaโฆ
UMITASHUMTA kuinua uchumi bodaboda, mamalishe iringa
UJIO wa zaidi ya wageni 7,000 mkoani Iringa kwa ajili ya mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA), umeleta neema kubwa kwa wafanyabiashara wadogo, hususan waendesha bodaboda, mama na babalishe, kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya hudโฆ
๐ UMITASHUMTAIbenge urges Azam to stay sharp in title run-in
AZAM FC head coach Florent Ibenge has called on his players to maintain their attacking efficiency and defensive discipline as the Mainland Premier League season approaches its climax, following his sideโs 2-0 victory over Mashujaa FC on Tuesday evening. Speaking after the match โฆ
Yanga eye crucial victory in Arusha title chase
MAINLAND Premier League champions Young Africans SC (Yanga) face a crucial challenge in their quest to retain the league title when they take on Fountain Gate FC this evening at Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium in Arusha. The Round 27 encounter comes at a critical stage of the โฆ
Mpanzu fires Simba to top of Premier League table
SIMBA SC moved to the top of the Mainland Premier League standings after securing a hard-fought 1-0 victory over Mbeya City FC at Sokoine Stadium in Mbeya yesterday. Elie Mpanzu scored the decisive goal in the 43rd minute, calmly rounding goalkeeper Hasimu Mussa after receiving aโฆ
Straika Singida aweka rekodi, wakaribia CAF
Winga wa Singida Black Stars, Mossi Nduwumwe, amesema amefurahishwa kuwa mfungaji wa kwanza wa 'hat-trick' katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu na kuongeza itakuwa kumbukumbu kubwa kwenye maisha yake ya mpira wa miguu. Nduwumwe alifunga mabao matatu (dakika ya 27, 35 na 84) kaโฆ
MICHEZO NI SEKTA MUHIMU INAYOPEWA KIPAUMBELE NA SERIKALI
MKUU WA WILAYA YA IRINGA MHE. BENJAMIN SITTA AKITOA TAARIFA YA MKOA WA IRINGA.
Wabunge wakabidhiwa vifaa tayari kwa bonanza
Benki ya CRDB leo imekabidhi vifaa vya michezo pamoja na zawadi zitakazotolewa kwa washindi wa CRDB Bank Bunge Grand Bonanza litakalofanyika tarehe 20 Juni 2026 katika Uwanja Jamhuri mkoani Dodoma ambako mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzanโฆ
CAF inspectors praise Tanzania's AFCON 2027 preparations
INSPECTORS from the Confederation of African Football (CAF) have expressed satisfaction with the progress of infrastructure upgrades in Tanzania as preparations intensify for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), which the country will co-host with Kenya and Uganda. The CAF insโฆ
๐ Africa Cup of Nations (AFCON)Simba face tricky Mbeya City test as title race intensifies
SIMBA SC will continue their pursuit of the Mainland Premier League title when they take on Mbeya City FC this afternoon at Sokoine Stadium in Mbeya in a crucial Round 27 fixture. The match comes at a defining stage of the season, with every point carrying enormous significance, โฆ
Chess gains ground in Tanzania as young talent drives growth
CHESS is quietly but steadily establishing itself as one of Tanzania's fastest-growing sports, with recent developments suggesting a bright future for the game across the country. While football, athletics and boxing continue to dominate headlines, a different kind of competitionโฆ
Mbeya City yajipiga kifua dhidi ya Simba SC kubaki Ligi Kuu
Timu ya Mbeya City, imetamba kuwa itavuna alama tatu katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya kikosi Simba Sc ya jijini Dar es salaam kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa kesho kutwa katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari kuhโฆ
Uholanzi na Japan Kuoneshana Uwezo Katika Mechi ya Kombe la Dunia
Uholanzi wanaingia wakiwa na faida ya uzoefu mkubwa katika mashindano makubwa na kikosi chenye ubora wa kiufundi, jambo linalowafanya kuwa miongoni mwa timu zinazotegemewa kufanya vizuri katika mashindano haya.
"Ni wazi serikali iko Tayari kuukuza mchezo wa Rugby Tanzania" - Anthony Dawa
Anthony Dawa, Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), akizungumza kwenye kipindi cha SPORTS KIJIJI "michezo kiganjani mwako" ndani ya Mtawala Radio.
๐ Rugby Premier LeagueJe Rugby ni mchezo wa aina gani?
Katibu wa Tanzania Rugby Union (TRU) akifafanua kuhusu mchezo wa Rugby kwenye kipindi cha 2Dimbani.
๐ Rugby Premier LeagueDodoma Rugby Week Preview
Dodoma Rugby Week litafanyika Mei,2026 huku mataifa mbalimbali yakijitokeza kushiriki.
๐ Rugby Premier LeagueUpcoming Nanauka CRDB Jimbo Cup to involve all Mtwara Urban wards
Nanauka revealed that a larger competition, the Nanauka CRDB Jimbo Cup, is set to start in June and will involve teams from all wards in Mtwara Urban constituency.
Young Africans SC leads Tanzania Mainland Premier League with 38 points from 16 matches
Defending champions Young Africans (Yanga) sit top with 38 points from 16 matches, maintaining an unbeaten run of 11 wins and five draws.
SPORTS KIJIJI: Tunakuza vipi mchezo wa Rugby kuwa maarufu Tanzania?
Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), Anthony Dawa, akizungumzia mikakati ya kukuza rugby nchini Tanzania kupitia kipindi cha SPORTS KIJIJI ndani ya Mtawala Radio.
Mchuano wa ubingwa: Yanga na Simba Wanaelekea Kwenye Hatua ya Maamuzi
Yanga SC na Simba SC zimejiandaa kwa mchuano wa kuamua bingwa wa Ligi Kuu Tanzania. Mechi hii inatarajiwa kuwa ya kihistoria na yenye mvutano mkubwa.
Hakuna habari zinazolingana na utafutaji wako.
Mashindano
Kombe la Mataifa la Afrika (AFCON) โ mashindano makubwa ya soka barani Afrika. Msimu wa 2027 (PAMOJA 2027) unaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania, na Uganda (19 Juni โ 17 Julai 2027) โ mara ya kwanza mashindano kuandaliwa na nchi tatu, na kurudi Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza tangu miaka 51. Timu 24 zitashindana; Kenya, Tanzania, na Uganda zimepata nafasi moja kwa moja kama wenyeji. The 2027 Africa Cup of Nations is co-hosted by Kenya, Tanzania, and Uganda (19 June โ 17 July 2027) โ the first three-nation AFCON and East Africa's first in 51 years. Twenty-four nations compete; the three hosts qualify automatically. CAF qualifying runs across FIFA windows in SeptemberโOctober 2026, November 2026, and March 2027 (48 teams, 12 groups).
Mashindano ya ngumi Afrika Zone III Aprili 26, 2026 Dar es Salaam. Timu za Tanzania, Kenya, Uganda.
Makao ya mbio, kurusha, kuruka na kutembea. Pata habari za wanariadha bora duniani na mashindano ya uwanjani.
Mashindano ya umbo bora nchini Tanzania. Vikundi tofauti kutoka vijana hadi wazima.
Ligi ya mabingwa Afrika inayoshirikisha timu bora. Simba SC na Yanga SC ni washiriki wa kudumu.
Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga ilifika fainali 2023, ikionyesha ubora wa soka la Tanzania.
Mashindano ya kitaifa ya chess chini ya Tanzania Chess Federation. Wachezaji bora kutoka mikoa yote.
Mashindano makuu ya mtoano nchini Tanzania yanayoshirikisha timu za madaraja yote.
Ligi ya darts Dar es Salaam yenye mashindano ya baa na vilabu. Mchezo wa ustadi na burudani.
Mchuano wa kuondoa timu za ligi zote Tanzania Bara. Historia ndefu tangu 1967.
The 2026 FIFA World Cup is the first 48-team edition, co-hosted by the United States, Mexico, and Canada (11 June โ 19 July 2026).
Safari ya kuelekea Kombe la Dunia 2026. Taifa Stars inapambana kuandika historia.
Mashindano maarufu ya mtaani (grassroots) yanayodhihirisha vipaji halisi na mshikamano wa jamii. The Ndondo Cup is a prominent grassroots football tournament in Tanzania, primarily based in Dar es Salaam. Since its inception in 2014, it has grown into one of the most popular community sports events in the country, often used as a platform for health advocacy and talent scouting. Seasons and finals (winners and runners-up where recorded): โข 1st (2014, August): Abajalo FC โ Temeke Market โข 2nd (2015, August): Far Jeuri โ Kauzu FC โข 3rd (2016, 31 July): Temeke Market FC โ Kauzu FC โข 4th (2017, 13 August): Misosi FC โ Goms United โข 5th (2018, 5 August): Manzese United โ Kivule United โข 6th (2019, August): Umoja wa Vijana (UVT) โ runner-up not listed โข 7th (2020, October): Kibangu Rangers โ runner-up not listed โข 8th (2021, 28 August): Vifundo FC โ Tabata All Stars โข 9th (2022, September): Bullet Force โ Vifundo FC โข 10th (2023, 3 September): Madenge FC โ Sinza Stars โข 11th (2024, 31 August): Azimio FC โ Soccer City The tournament typically features 32 teams in the main group stages, drawn from neighbourhoods in Dar es Salaam and occasionally other regions (e.g. Dodoma, Iringa, Mwanza). Notable teams by season (examples): 2024 (Dodoma & Dar es Salaam): winner Azimio FC (Buguruni), finalist Soccer City (Kigamboni); others include Tan-Zebras FC, Goms United, Faru Jeuri, and community sides from Dodoma, Iringa, and Mwanza. 2023: Madenge FC (winner), Sinza Stars (finalist); Mabibo Market, Kibangu Rangers, Tandika City, Friends Rangers among participants. 2021: Vifundo FC (winner), Tabata All Stars (finalist); Kinondoni Utd, Kampala International, Bandari FC, Tandika FC among participants. 2016 group stage examples โ Group A: Faru Jeuri, TMK Market, Kinondoni FC, Vijana Rangers. Group B: Boom FC, Temeke Squad, Abajalo FC, Kijiji FC. Group C: Tabata United, Keko Furniture, Stakishari, Mjivuni. Group D: Makumba FC, Kiluvya United, Aggrey SC, Broken Chain. Group E: Goms United, Wauza Matairi, Mtoni City, Urafiki Shooting. Group F: Misosi FC, Buguruni United, Jaki Pro, Friends Rangers. Group G: Kibada One FC, Mlalakuwa Rangers, Burudani FC, Ndanda FC. Group H: Kauzu FC, Madiba FC, Black Six, Keko Machungwa.
Mashindano ya taifa ya judo yanayochagua bingwa na timu za kimataifa.
Mashindano ya karate kitaifa, shotokan na aina zingine chini ya shirikisho.
Mbio za kimataifa zinazofanyika chini ya mlima mrefu zaidi Afrika, zikivutia maelfu ya wakimbiaji.
Ligi mpya ya mpira wa wavu 2026 yenye timu 19. Michezo mikali kutoka mikoa mbalimbali.
Daraja la nne la soka, mikoa minne yenye makundi 7 kila moja. Msingi wa vipaji vya chini.
Muungano Cup 2026 โ mashindano ya soka yanayoadhimisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Msimu huu una mechi 7 (robo fainali 4, nusu fainali 2, fainali 1) kwenye New Amaan Complex, Zanzibar (21โ29 Aprili 2026). Timu 8: Yanga SC, Muembe Makumbi City, KVZ FC, Azam FC, Mlandege FC, Singida BS, Simba SC, na Mafunzo SC. Muungano Cup 2026 commemorates the Union of Tanganyika and Zanzibar. This edition is a single-elimination knockout (4 quarter-finals, 2 semi-finals, 1 final) at New Amaan Complex, Zanzibar (21โ29 April 2026). Eight teams: Yanga SC, Muembe Makumbi City, KVZ FC, Azam FC, Mlandege FC, Singida BS, Simba SC, and Mafunzo SC.
Ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Tanzania inayoshirikisha timu bora za kiume na kike.
Mashindano ya uogeleaji kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam na Arusha.
NBC Premier League (Ligi Kuu) โ msimu wa 2024/2025 na michezo ya Relegation / Promotion Playoff na Relegation Playoff.
Mikoa ya Kaskazini: mashindano ya mpira wa wavu yanayochangia ligi kuu ya taifa.
Mapambano ya masumbwi yenye msisimko mkubwa, yakishirikisha mabingwa kama Mandonga na Kiduku.
Ligi kuu ya rugby chini ya Tanzania Rugby Union. Michezo migumu barani.
Ligi kuu ya soka la wanawake Tanzania inayozalisha vipaji vikubwa vinavyoiwakilisha nchi kimataifa.
Mashindano ya taifa ya taekwondo yanayochagua timu kwa kimataifa kutoka vijana hadi wazima.
Daraja la kwanza nchini Tanzania. Safari ya kuelekea Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mashindano ya kriketi yanayowaleta pamoja wachezaji bora wa ndani na nje ya nchi.
Mashindano makuu ya gofu nchini yanayoshirikisha wachezaji wa kulipwa na ridhaa.
Ligi kuu ya mpira wa wavu nchini, timu bora za kiume na kike kutoka nchi nzima.
Mbio za marathon za hatua 220km karibu na Kilimanjaro. Kimataifa zenye mvutio mkubwa.
UMISSETA (Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania) โ mashindano makubwa ya kitaifa ya shule za sekondari pekee. Si sehemu ya UMITASHUMTA (shule za msingi); ni mashindano tofauti kwa wanafunzi wa sekondari, yakiandaliwa na TAMISEMI na Baraza la Michezo Tanzania. Michezo na matukio: mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, mpira wa mikono, mpira wa meza, riadha, kriketi, bongo fleva, kwaya, ngoma, michezo ya kihistoria na uchoraji (Zanzibar). Ngazi za kuchuana: Wilaya โ Mkoa โ Taifa. Msimu wa 2026: 18โ30 Juni (baada ya UMITASHUMTA). Chagua mchezo hapa chini kuona msimamo, matokeo na ratiba.
UMITASHUMTA (Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania) โ mashindano makubwa ya kitaifa ya shule za msingi pekee, kama Olimpiki ya shule za msingi Tanzania. Mashindano haya yana michezo na sanaa nyingi chini ya kifurushi kimoja, yakiandaliwa na TAMISEMI. Michezo na matukio: mpira wa miguu, mpira wa wavu, mpira wa mikono, mpira wa meza, mpira wa pete (goalball), riadha, kwaya na ngoma. Ngazi za kuchuana: Shule โ Kata โ Tarafa โ Wilaya โ Mkoa โ Kanda โ Taifa. Msimu wa 2026: 5โ17 Juni (Iringa). Kumbuka: UMISSETA ni mashindano tofauti kwa shule za sekondari (huendelea 18โ30 Juni). Chagua mchezo hapa chini kuona msimamo, matokeo na ratiba.
Mashindano ya kunyoosha uzito kitaifa yanayotafuta nguvu za Tanzania.
Mashindano ya wushu (kung fu ya Kichina) kitaifa yanayokuza sanaa za mapambano za Asia.
Ligi ya vijana chini ya miaka 20, kuibua vipaji vya kesho kwa Taifa Stars na vilabu vikubwa.
Ligi kuu ya Visiwani. Timu bora huingia Muungano Cup dhidi ya Bara.
Off-Season
Mashindano ya CECAFA Mei-Juni 2026 nchini Tanzania. Vipaji vya soka wanawake vijana.
Mechi za kufuzu CECAFA Agosti 2026 Tanzania. Safari ya Taifa Stars vijana.
Ligi kuu ya netball nchini inayoshirikisha timu kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Mashindano ya michezo shule za Afrika Mashariki 2026 nchini Tanzania. Soka, mpira, riadha na zaidi.
Kombe la vilabu CECAFA. Simba na Yanga mara kwa mara huchanganyikiwa na mabingwa Afrika Mashariki.
Mashindano ya kila mwaka ya kukumbuka Mapinduzi ya Zanzibar yanayoshirikisha timu za Afrika Mashariki.
Mechi ya ufunguzi wa msimu kati ya bingwa wa Ligi Kuu na mshindi wa Kombe la Shirikisho.
Mashindano ya kitaifa ya volleyball yanayofanyika kila mwaka kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. J.K. Nyerere.
Moja ya hatua za mashindano ya mbio za magari Afrika (ARC) inayozivunja mbavu barabara za Tanzania.
Michezo ya Olimpiki ambapo Tanzania imewahi kushinda medali za fedha kupitia riadha (1980).
Ligi kuu ya handball nchini Tanzania, timu bora za kiume na kike kutoka mikoa.
Mbio za baiskeli za kimataifa zinazopita maeneo maarufu kama Arusha na Zanzibar.
Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania. Tanuru la kuibua vipaji vipya kitaifa.