Tech & Science
The latest in technology and scientific discoveries
What's Happening
Tanzania pushes AU action to cut maternal, child deaths
By Our ReporterTanzania has called for stronger African Union (AU) cooperation to accelerate efforts to reduce maternal and child deaths across the continent, with a focus on turning political commitments into concrete health interventions.The call was made yesterday by Ministry of Health Permanent Secretary Dr Grace Magembe during a meeting with AU Commissioner for Health, Humanitarian Affairs an
Anayetuhumiwa kuiba mtoto Chanika afariki dunia
Mkazi wa Kigogo kwa Rais, Kata ya Pugu Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Vero Maziku aliyekuwa anatuhumiwa kumuiba mtoto katika kituo cha Afya Nguvu Kazi Chanika amefariki dunia.
KAMPUNI YA FRANONE YATAKA TEKNOLOJIA NA UTAFITI KUCHIMBUA HAZINA MPYA YA TANZANITE
Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Onesmo Mbise akizungumza mbele ya Waziri wa madini kuhusu changamoto.zinazowakabili Happy Lazaro,Manyara. Manyara .Kampuni ya Franone Mining & Gems Ltd…
Aliyeibiwa mtoto apata maziwa kidogo, wataalamu wataja sababu
Siku moja baada ya kupatikana kwa mtoto Amayra Taliq aliyekuwa ameibwa, familia yake imeanza kukabiliana na changamoto mpya baada ya mama wa mtoto huyo Sharifa Kassim kushindwa kupata maziwa ya kutosha kwa ajili ya kumnyonyesha.
Tanzania targets universal health insurance coverage by 2028/29 fiscal year
Tanzania aims to have all households enrolled in the Universal Health Insurance Scheme within the next two years as the government seeks to expand access to healthcare and strengthen social protection.
Viongozi Wataka Ushiriki Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika
Dar es Salaam, Tanzania, 2026.VIONGOZI wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya bara husika.Wito huo ulitolewa katika mkutano wa teknolojia na fintech uliy
Mawaziri wa Fedha, Afya waweka mikakati ya bima ya afya Afrika
WAZIRI wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo, asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote. Amesema ili kufikia ndoto hiyo, Serikali imeanza kuwekeza katika rasilimali watu, kuimar…
WAZIRI MKUU AWATAKA WATANZANIA KUIMARISHA MALEZI, KULINDA AMANI NA KUTIMIZA WAJIBU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kuimarisha malezi ya watoto na vijana, kulinda amani, kuheshimu tofauti na kutimiza wajibu wao kwa taifa,…
Samizi leads Tanzania team at WHO Africa Health Meeting
By The Respondents ReporterDeputy Minister for Health Dr Florence Samizi is leading Tanzania’s delegation at the 76th session of the World Health Organisation (WHO) Regional Committee for Africa, which opened in Addis Ababa, Ethiopia, on Tuesday.The four-day meeting, running from August 25 to 28, brings together health ministers, senior government officials and health experts from across Africa t
Tanzania to host EAC military cooperation week, offer free medical services
Tanzania is set to host the sixth edition of the East African Community (EAC) Military Cooperation Week, with free medical services to be offered to members of the public. The programme is expected to benefit communities in various parts of Tanzania. The annual event, which rotates among member states, returns to Tanzania after the country last hosted it in 2022. Speaking to the media on Tuesda
Pillars
Chagua nguzo (pillar) ili kuona habari kwa undani kama ilivyo “leagues” kwenye Michezo.
Maendeleo makubwa Tanzania
Orodha fupi ya miradi/assembly na ubunifu unaoendelea kwenye sayansi na teknolojia.