Burudani
Habari za punde, matukio ya wasanii, na updates kutoka mitandao ya kijamii. 22 influencers
What's Happening
SASASABA IMENIKUTANISHA NA WATU WA MATAIFA MENGINE🇹🇿
Korean Embassy expands cultural outreach in Tanzania
THE South Korean Embassy in Tanzania has stepped up efforts to promote Korean culture through a range of activities aimed at strengthening friendship and cultural ties between the two countries. South Korean Ambassador to Tanzania, Eunju Ahn, made the remarks on Saturday during a…
MICHAEL JACKSON; Mkali wa ‘pop’ asiyeng’oka jukwaa la muziki duniani
LEO inatimia miaka 17 tangu ‘Mfalme wa Pop’ duniani, Michael Jackson, afariki dunia, Juni 25, 2009. Siku hiyo wapenzi wa muziki na dunia kwa ujumla, ilisimama kwa muda baada yua habari ya kifo chake.Kwa miongo kadha takribani nusu karne, ama umri wake alioishi duniani alitikisa m…
Meya Manispaa ya Kigoma Ujiji akemea juu ya vitendo vya ushoga
Meya wa manispaa ya Kigoma Ujiji Mussa Maulid, ameionya jamii juu tabia ya 'kukumbatia' vitendo vya ushoga akieleza vitendo hivyo vinachangia kujiweka mbali na baraka za Mungu. Onyo hilo alilitoa katika tamasha la Kihistoria na Mambo ya kale la mji mkongwe wa Ujiji, lililofanyika…
Why Xi advocates mutual learning with cultural heritage
Over the years, Chinese President Xi Jinping has consistently advocated cultural diversity and mutual learning among civilizations. In his eyes, cultural heritage can play a unique role. During U.S. President Donald Trump's first China visit in 2017, Xi invited him to visit the F…
Four Tanzanian artists make history at the 61st Venice Biennale
Four Tanzanian artists - Turakella Editha Gyindo, Amani Abeid, Lazaro Samuel, and Valerie Asiimwe Amani - have taken the world stage at the 61st International Art Exhibition of La Biennale di Venezia, one of the most respected cultural events on the planet. Representing the Unite…
Wasanii wanne wa Tanzania waandika historia Jumba la Sanaa la Venice Biennale
Wasanii wanne wa Tanzania ambao ni Turakella Editha Gyindo, Amani Abeid, Lazaro Samuel na Valerie Asiimwe Amani, wameipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Maonesho ya 61 ya Kimataifa ya Sanaa ya La Biennale di Venezia, moja ya matukio makubwa na yenye heshima zaidi katika u…
Xi Story: Preserving cultural roots for future generations
In the late 1980s, waves of development swept Chinese cities into the throes of a property boom, and the fate of a crumbling compound in the heart of Fuzhou, capital of east China's Fujian Province, seemed all but sealed. A glaring Chinese character meaning "demolish" had been pa…
Cherehani agawa vifaa vya michezo vijiji 112, Cherehani Cup 2025/30
Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amegawa vifaa vya michezo katika vijiji 112 jimboni mwake jezi na mipira,hatua hiyo ni maandalizi ya mashindano ya Cherehani Cup katika muhula wake wa pili wa ubunge 2025-2030. Ugawaji huo unatekeleza ilani ya uchaguzi wa mwak…
Tshisekedi amtuza Fally Ipupa
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi amemtunuku mwanamuziki wa Congo Fally Ipupa nishani ya kitaifa kutokana na mafanikio yake ya kufanya maonesho mawili Mei katika Stade de France jijini Paris, Ufaransa. Fally Ipupa amekuwa msanii wa kwanza wa Afrika …