Burudani
Habari za punde, matukio ya wasanii, na updates kutoka mitandao ya kijamii. 22 influencers
What's Happening
Ruka na Kindege Cha Aviator, Ushuke Na Zawadi Nzito
MTAA wa sasa unahitaji ujanja, kasi na maamuzi sahihi. Kila mmoja anatafuta njia ya kupiga hatua nyingine. Meridianbet wamekuja kivingine kupitia mchezo wa Aviator, ambapo kila raundi inaweza kuwa mwanzo wa ushindi mkubwa. Ukikomaa mchezoni, unaweza kuondoka na zawadi nono.Aviator sio mchezo wa kukaa tu na kusubiri bahati, hapa akili ndiyo kila kitu. Unatakiwa kujua muda wa kupaa na muda wa kushus
Kiswahili Kikipaa Dunia, Tanzania Yajijenga Upya Kimataifa
Na Mwandishi MaalumKATIKA zama hizi za utandawazi, mataifa mengi duniani yamekuwa yakitumia lugha zao kama silaha ya kujitangaza, kujenga ushawishi wa kiuchumi na kueneza utamaduni wao. Lugha zimekuwa zaidi ya mawasiliano. Sasa ni nyenzo muhimu za diplomasia, biashara, elimu na utambulisho wa taifa.Kwa Tanzania, sasa ni zamu ya Kiswahili kung’ara kimataifa.Hatua ya kufanyika kwa Kongamano la Kimat
Muonekano mpya wa Zuchu, adai kukata tamaa ndani ya WCB (video)
Zuchu akiwa kwenye mkutano na waandishi wa Habari amefunguka jambo ambalo mashabiki zake wanatamani kulijua anadai, “Show yangu ya kwanza nililipwa shilingi milioni tano na alikuwa na wimbo mmoja “ “Moja kati ya wasanii ambao wamepoteza muda sana ni mimi nilisha mwambia hata Diamond kwamba ulinisumbua “ Pia amefunguka jambo ambalo mashabiki zake wanatamani kulijua …
RECAP: Harmonize ameshuka?, hawezi kufanya promo – El Mando
Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz ameumizwa na namba msanii @harmonize_tz kupunguza ushawishi kwa mashabiki zake, akatolea mfano nyimbo mpya ya Harmonize Yazoee ilivyopoteza numbers kwenye mitandao lakini @el_mando_tz amegusia na namna msanii @harmonize_tz anavyoshindwa kufanyia promo nyimbo zake. Je, unakubalia na @el_mando_tz kuwa @harmonize_tz ameshuka kimuziki na hana ushawishi??
RECAP: Billnass ameridhika, hana njaa tena kwenye muziki – El Mando
Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz ametoa maoni yake juu ya Rapper @billnass mara baada ya kuachia ngoma yake ya “Division One”, @el_mando_tz anadai Billnass ameridhika hivi sasa kutokana na mafanikio yake nje ya muziki hana njaa kama awali. Je, unakubaliana na @el_mando_tz kuhusu @billnass ?? Kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongofive
Barafu la Ushindi Limewasili na Book of Eskimo
KAMA unapenda michezo ya kasino yenye msisimko, basi Book of Eskimo kutoka Meridianbet imekuja kukupa burudani tofauti kabisa. Mchezo huu unakupeleka kwenye ulimwengu wa barafu na ushindi mkubwa kupitia bonasi kali zinazofanya kila mchezo kuwa na presha ya ushindi.Book of Eskimo imebeba bonasi tatu tofauti ambazo zinaongeza nafasi ya kujishindia zaidi kila unapocheza. Kila mzunguko unaweza kubadil
Jangwani Kuna Mkwanja Unakusubiri
KAMA unatafuta mchezo wenye burudani na nafasi za kushinda mkwanja mkubwa, basi Gates of Arabia kutoka Meridianbet ndiyo sehemu sahihi kwa sasa. Huu ni mchezo unaokupeleka moja kwa moja kwenye dunia ya hazina za kifalme ambapo kila raundi unayocheza inaweza kubadilisha siku yako ndani ya sekunde chache.Uzuri wake ni kwamba unaweza kushinda hadi mara 5,000 ya dau lako. Unaweka mzunguko mmoja tu, ha
KUMBUKUMBU YA MIAKA 78 YA NAKBA: UBALOZI WA PALESTINA TANZANIA WAONYESHA FILAMU YA ‘PALESTINE 36’, WASISITIZA MSIMAMO WA HISTORIA NA UTU
DAR ES SALAAM, TANZANIAKATIKA kuadhimisha miaka 78 ya Nakba (Janga la mwaka 1948), Ubalozi wa Dola ya Palestina nchini Tanzania jana tarehe 16 Mei 2026, uliandaa hafla maalum na ya kihistoria ya uonyeshaji wa filamu iliyoteuliwa kuwania tuzo za Oscar iitwayo "Palestine 36". Hafla hiyo kubwa ya kidiplomasia iliyofanyika jijini Dar es Salaam, iliongozwa na Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje n
Mzee Zorro: Kuna muda Nnaongea na Mungu (Video)
Bongofive imefanya mahojiano na Mzee Zorro ambaye amefanya mambo makubwa katika Muziki nchini Tanzania. Kuangalia full interview tembelea YouTube ya BongoFive Imeandaliwa @yasiningitu
Book of Eskimo Yavutia Wachezaji wa Michezo ya Kasino Mtandaoni
Vijana wengi sasa wanatafuta michezo yenye burudani na nafasi kubwa za ushindi, na Book of Eskimo kutoka Meridianbet imekuja na…