Michezo
Habari mpya za michezo, uchambuzi wa mechi, na matukio muhimu uwanjani kutoka ligi mbalimbali.
Misimu Inayokuja
Mashindano yanayokaribia kuanza
Misimu ya Sasa
Mashindano yanayoendelea sasa
What's Happening
Tanzanian Swimmer Lorita Borega Reaches Semi-Finals at African Aquatics Open Water Championship
P0RT LOUIS: Tanzanian swimmer Lorita Borega has been acknowledged after reaching in the semi-finals of the African Aquatics Open Swimming Championship held over the weekend in Mauritius. She was among the four athletes who represented Tanzania at the contest, definitely competing with other swimmers from different countries. The Tanzania team was captained by Adil Abdulrahman β¦
Arne Slot's Departure from Liverpool After Finishing 5th in Premier League
Slot, raia wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 47, amesema ameondoka na kuiacha Liverpool pale inapostahili, yaani moja ya klabu kubwa za soka barani Ulaya.
Serengeti Boys Achieve First-Ever AFCON Final Appearance
Mbali ya tiketi ya Kombe la Dunia, Serengeti Boys imeweka rekodi ya kuingia kwa mara ya kwanza hatua ya fainali ya AFCON.
MKOA WA SINGIDA UMEPOKEA VIFAA VYA MICHEZO YA UMISETA, NAFASI ZA UFADHILI WA MASOMO KWA VIJANA 14 WATAJWA
π UMISETAβFusoβ ana mlima mrefu kuinasua Prisons isipotee Ligi Kuu Bara
Na Hassan Mwasha, Gazetini MOJA ya timu zinazopumulia mashine msimu huu wa Ligi Kuu Bara ni Tanzania Prison inayonolewa na beki wa kulia wa zamani wa timu hiyo, Yanga na Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa βFusoβ. Prison ambayo inashika nafasi ya 15 katika msimamo wa timu 16, imecheza mechi 25, ambapo imeshinda tano, sare tano na [β¦]
Makocha hawa βoutβ baada ya Kombe la Dunia 2026
LONDON, Uingereza NI siku 10 tu zimebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico. Wakati Argentina ikienda kama bingwa mtetezi, Brazil ambao ni wapinzani wao wakubwa kwa Bara la Amerika ya Kusini, ndiyo bingwa mara nyingi (5) katika historia ya michuano hiyo. Kwa upande mwingine, [β¦]
Hii ndiyo timu yenye wakongwe wengi Kombe la Dunia 2026
PANAMA CITY, Panama FAINALI za Kombe la Dunia ziko njiani, zikiwa zimebaki siku tisa pekee kuanza kushuhudia mataifa 48 yakitoana jasho kwa kipindi cha mwezi mmoja wa mashindao hayo. Moja ya mataifa hayo ni Panama, ambayo timu yake ndiyo iliyojaza wachezaji wenye umri mkubwa zaidi, ikilinganishwa na zingine zitakazoshiriki fainali hizo za Marekani, Mexico na [β¦]
Galatasaray waitajia Chelsea dau la Osimhen
ISTANBUL, Uturuki KLABU ya Galatasaray ya Ligi Kuu nchini Uturuki imeweka wazi dau la mshambuliaji wake wa kati anayetakiwa Chelsea, Victor Osimhen. Galatasaray wametangaza kuhitaji euro milioni 150 ili kumwachia straika huyo wa kimataifa wa Nigeria. Taarifa hizo zinakuja zikiwa ni siku chache zimepita tangu kocha wa timu ya Taifa ya Nigeria, Eric Chelle, alipofichua [β¦]
Kiungo wa Man City agusia kutimkia Madrid
MADRID, Hispania Kiungo wa Manchester City, Rodrigo HernΓ‘ndez, amesema kwa sasa anaelekeza akili yake kwenye fainali za Kombe la Dunia, licha ya kuzisikia tetesi za kutakiwa Real Madrid. Mhispania huyo ameeleza kuwa atafanya uamuzi wa hatima yake baada ya kumalizika kwa michuano hiyo ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). βTuko hapa kuzungumzia Kombe la [β¦]
Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: MEXICO
MEXICO CITY, Mexico MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 β Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano hiyo, hawa ndiyo wachezaji 26 walioitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Mexico. Makipa: Carlos Acevedo (Santos Laguna), Guillermo Ochoa (AEL Limassol) na Raul Rangel (Chivas). Mabeki: [β¦]
Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: AFRIKA KUSINI
JOHANNESBURG, Afrika Kusini MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 β Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano hiyo, hawa ndiyo wachezaji 26 walioitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Afrika Kusini. Makipa: Sipho Chaine (Orlando Pirates), Ricardo Goss (Siwele) na Ronwen Williams (Mamelodi Sundowns). [β¦]
Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: CZECH
PRAGUE, Czech MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 β Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano hiyo, hawa ndiyo wachezaji 26 walioitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Jamhuri ya Czech. Makipa: Lukas Hornicek (Braga), Matej Kovar (PSV Eindhoven), na Jindrich Stanek (Slavia Prague). [β¦]
Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: KOREA YA KUSINI
SEOUL, Korea Kusini MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 β Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea michuano hiyo, hawa ndiyo wachezaji 26 walioitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Korea ya Kusini. Makipa: Hyeon-Woo Jo (Ulsan), Seung-Gyu Kim (FC Tokyo), na Bum-Keun Song (Jeonbuk). [β¦]
Vikosi vya pesa ndefu Kombe la Dunia 2026
LONDON, Uingereza SIKU zinazidi kusogea na sasa zimebaki tisa tu kabla ya filimbi ya kwanza kupulizwa msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza Juni 11, 2026, zikifanyika kwa mara ya kwanza katika nchi tatu (Marekani, Mexico na Canada). Sasa, kwa kuangalia thamani ya wachezaji kwenye soko la usajili kupitia tovuti ya Transfermarkt, Ufaransa [β¦]
James Milner: Miaka 24 ya mataji, rekodi za aina yake EPL
LONDON, Uingereza HATIMAYE kiungo mkongwe Ligi Kuu ya England (EPL), James Milner, alitangaza kustaafu soka hivi karibuni. Ni baada ya miaka 24 ya kucheza kwa kiwango cha juu kwenye michuano hiyo. Milner (40), ameweka wazi kuwa ataondoka Brighton na kutundika daluga atakapomaliza mkataba wake mwishoni mwa Juni, 2026. βBaada ya misimu 24 ya kucheza Ligi [β¦]
Tishio la ugaidi kuelekea Kombe la Dunia 2026
LONDON, Uingereza KUELEKEA fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza Juni 11, 2026, umekuwapo wasiwasi mkubwa juu ya uwezekano wa kutokea kwa mashambulizi ya kigaidi viwanjani. Michuano hiyo itafanyika katika nchi tatu, ikiwamo Marekani, ambayo kwa miaka michache ya hivi karibuni imekuwa kwenye uhusiano mbaya wa kimataifa. Mathalan, kwa sasa Marekani iko kwenye mapigano na Iran, [β¦]
Makinda Ecuador kufanya maajabu Kombe la Dunia 2026?
LONDON, Uingereza MOJA ya timu za taifa 48 zitakazoshiriki fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu ni Ecuador inayotokea huko Kusini mwa Bara la Amerika. Majirani wa Brazil na Argentina katika eneo hilo. Usichokijua, Ecuador ndiyo timu yenye wachezaji wenye umri mdogo zaidi msimu huu wa fainali hizo zitakazoanza hivi karibuni (Juni 11, 2026). [β¦]
Slot atupa dongo Liverpool, asema ameiacha inapostahili
MERSEYSIDE, Uingereza KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipofukuzwa klabuni hapo Jumamosi ya wiki iliyopita (Mei 30, 2026). Slot, raia wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 47, amesema ameondoka na kuiacha Liverpool pale inapostahili, yaani moja ya klabu kubwa za soka barani Ulaya. Kauli hiyo inaweza isiwafurahishe mashabiki na hata [β¦]
Usiyoyajua kuhusu mrithi wa Okello anayewindwa Msimbazi
Na mwandishi wetu, Gazetini KIUNGO wa Vipers SC ya Uganda, Abdu Karim Watambala, ameingia kwenye rada za klabu ya Simba, inayompigia hesabu za kumsajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na michuano mingine. Watambala ametoka kuchukua tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka msimu wa 2025-26 wa Ligi Kuu ya Uganda uliomalizika hivi [β¦]
Serengeti Boys yapoteza fainali, yasubiri Kombe la Dunia
RABAT, Morocco LICHA ya kufungwa na Senegal, bado timu ya soka ya vijana wa U-17 ya Tanzania βSerengeti Boysβ ina tiketi ya kushiriki fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu. Katika mchezo huo wa fainali ya AFCON uliochezwa jana Juni 2, 2026, Serengeti Boys ilipoteza kwa kichapo cha penalti 4-2 baada ya dakika za [β¦]
Kila goli Serengeti Boys kununuliwa Sh. 500,000
Shabiki maarufu wa soka na mwanachama wa klabu ya Yanga kutoka Mkoa wa Geita, Hussein Makubi ameahidi kutoa zawadi ya Sh. 500,000 kwa kila goli litakalofungwa na timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, katika mchezo wa fainali ya AFCON U-17 dhidi ya Senegal utaβ¦
Gilberto Mora: Kinda wa kihistoria Kombe la Dunia 2026
LONDON, Uingereza KUELEKEA fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazoanza Juni 11, 2026, macho yote ni kwa kiungo wa timu ya Taifa ya Mexico, Gilberto Mora. Mora ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi msimu huu. Alizaliwa Oktoba, 2008, hivyo atashiriki michuano hiyo akiwa mchezaji pekee mwenye miaka 17. Kwa sasa, nyota huyo anayekipiga [β¦]
Kibabage aipa mzuka Serengeti Boys kuelekea fainali ya AFCON
Na Winfrida Mtoi, Gazetini BEKI wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Nickson KibabageΒ amesema kitendo cha vijana wa timu ya Serengeti Boys kufikaΒ fainali ya AFCON β U17 na kiwango walichoonesha ni fursa yaΒ kwenda kucheza soka la kulipwa katika mataifa makubwa. Serengeti Boys inatarajia kushuka dimbani keshoΒ kuchuana na Senegar katika mchezo wa fainali [β¦]
Arteta kulamba mkataba mpya Arsenal
LONDON, Uingereza MABOSI wa Arsenal wanataka kumpa mkataba mpya kocha wao raia wa Hispania, Mikel Arteta, kabla ya timu hiyo kuanza kambi ya βpre-seasonβ. Haraka hiyo ya uongozi inatokana na mafanikio makubwa ya Arsenal chini ya Arteta, ambapo ameipa ubingwa wa Ligi Kuu baada ya miaka 22, pia akiifikisha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. [β¦]
Luis Enrique alivyotimiza ndoto ya matajiri wa Qatar
PARIS, Ufaransa MWAKA 2011, matajiri wa kampuni ya Qatar Sports Investments ya Qatar walikuwa mezani na mabosi wa klabu ya kawaida tu, PSG. Matajiri wa Kiarabu walitaka kuinunua. Wakati huo, PSG ilitoka kumaliza msimu wa Ligue 1 ikiwa ya 13 kwenye msimamo. Chini ya Mwenyekiti wa QSI, Nasser Al-Khelaifi, hakusita. Akaweka pesa mezani na kuinunua [β¦]
Kombe la Dunia 2026: Bafana Bafana βyaliaβ kucheleweshewa kwa viza
Waziri wa Michezo wa Afrika Kusini, amekerwa na tukio la kucheleweshwa kwa hati ya usafiri ya timu ya soka ya nchi hiyo kuelekea Mexico, kabla ya michuano ya Kombe la Dunia. Waziri wa Michezo wa Afrika Kusini, amekerwa na tukio la kucheleweshwa kwa hati ya usafiri ya timu ya sokaβ¦
Depu na kivuli cha Dube: Yanga inahitaji straika mpya?
Na mwandishi wetu, Gazetini MJADALA wa kiwango cha mashambuliaji wa kimataifa wa Angola, Depu, tangu asajiliwe na Yanga umeshika kasi mitandaoni na hata vijiweni, wengi wakijiuliza; ni usajili uliolipa au uliofeli? Nyota huyo alijiunga na Yanga wakati wa dirisha dogo Januari, 2026, wakati huo ikionekana kwamba Prince Dube ameshindwa majukumu yake ya ushambuliaji. Hivyo, Depu [β¦]
Shangwe la ubingwa lawaponza mashabiki wa PSG
PARIS, Ufaransa POLISI nchini Ufaransa wanawashikikia mashabiki zaidi ya 400 wa PSG waliosababisha vurugu katika maeneo mbalimbali nchini humo baada ya timu yao kutwaa taji la Ligi Mabingwa Ulaya usiku wa jana Mei 30, 2026. PSG walitetea ubingwa wa michuano hiyo kwa ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa fainali uliochezwa mjini [β¦]
Wilshere awashusha presha mashabiki Arsenal
LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere, anaamini klabu hiyo haitosubiri tena miaka 20 kufika fainali na kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kauli ya Wilshere imekuja kuwapoza mashabiki wa Arsenal, ambao usiku wa jana Mei 30, 2026 waliishuhudia timu yao ikipoteza fainali ya michuano hiyo kwa kufungwa kwa penalti 4-3 na [β¦]
Carrick, Man United na safari ya matumaini 2025-26
MANCHESTER, Uingereza RUBEN Amorim alitimuliwa kwenye benchi Januari, 2026, na nafasi yake kuchukuliwa na kocha Michael Carrick, ambaye ameiwezesha Manchester United kurejea Ligi ya Mabingwa. Ni baada ya Man United kumaliza msimu wa Ligi Kuu ya England (EPL) ikiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo, nyuma ya mabingwa Arsenal na Manchester City. Hata hivyo, Man United [β¦]
Siku 365 zilivyohitimisha kibarua cha Arne Slot
MERSEYSIDE, England LIVERPOOL wametangaza kumfuata kazi kocha wao raia wa Uholanzi, Arne Slot. Ametimuliwa leo Mei 30, 2026, zikiwa ni siku 365 tangu alipoajiriwa. βKlabu ya soka ya Liverpool inathibitisha kuachana na Arne Slot katika majukumu yake kama kocha mkuu na mchakato wa kupata mbadala wake unaendelea,β imeeleza taarifa ya Liverpool. Wakati anaajiriwa miezi 12 [β¦]
PSG yaizima Arsenal, yabeba tena Ligi ya Mabingwa
BUDAPEST, Hungary MATAJIRI wa Paris, PSG, wamelitetea taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Mei 30, 2026 mjini Budapest, Hungary. Dakika 120 za mtanange huo zilimalizia kwa sare ya bao 1-1, Arsenal wakitangulia kupitia kwa Kai Havertz (Dk. 5), kabla ya [β¦]
Arsenal vs PSG nani bingwa leo?
FAINALI ya Ligi ya Mabingwa ya Arsenal dhidi ya PSG itaanza mapema leo saa 1:00 usiku tofauti na muda wa kawaida uliozoeleka, huku Rais wa UEFA Aleksander Δeferin akielezea kwamba muda huo umewekwa ili kuweka mazingira rafiki kwa mashabiki na nyakati bora kwa watangazaji. Arsenalβ¦
Paul Makonda's Initiative to Enhance Tanzania's Cultural and Sports Image with Rio Ferdinand's Visit
Jumanne (kesho), ninatarajia kumshusha, Rio Ferdinand, nitafanya naye ziara kubwa hapa nchini itakayoweka historia.
"Ni wazi serikali iko Tayari kuukuza mchezo wa Rugby Tanzania" - Anthony Dawa
Anthony Dawa, Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), akizungumza kwenye kipindi cha SPORTS KIJIJI "michezo kiganjani mwako" ndani ya Mtawala Radio.
π Rugby Premier LeagueJe Rugby ni mchezo wa aina gani?
Katibu wa Tanzania Rugby Union (TRU) akifafanua kuhusu mchezo wa Rugby kwenye kipindi cha 2Dimbani.
π Rugby Premier LeagueDodoma Rugby Week Preview
Dodoma Rugby Week litafanyika Mei,2026 huku mataifa mbalimbali yakijitokeza kushiriki.
π Rugby Premier LeagueCharity Shield Match on April 3, 2026, Featuring Kijichi All Stars vs Ndovu FC
Kuelekea bonanza hilo kutatanguliwa na mchezo wa Ngao ya Hisani Aprili 3,utakaozikutanisha timu ya Kijichi all stars ambao ndio mabingwa watetezi kutoka Dar es salaam watakaochuana vikali na Ndovu FC.
Paul Makonda announces Sh100 million increase in winners' prize for Yas Kili Marathon
According to Makonda, the Head of State has also pledged to increase the winnersβ prize purse by an additional Sh100 million, a move expected to further elevate the profile of the event and motivate athletes.
Upcoming Nanauka CRDB Jimbo Cup to involve all Mtwara Urban wards
Nanauka revealed that a larger competition, the Nanauka CRDB Jimbo Cup, is set to start in June and will involve teams from all wards in Mtwara Urban constituency.
Young Africans SC leads Tanzania Mainland Premier League with 38 points from 16 matches
Defending champions Young Africans (Yanga) sit top with 38 points from 16 matches, maintaining an unbeaten run of 11 wins and five draws.
Zanzibar Premier League Valuation Initiative to Attract Investors
He described the valuation exercise as a transformative step that will reposition Zanzibar football as a viable commercial enterprise capable of attracting both local and international investors.
π Zanzibar Premier LeagueUpcoming Match Against Liechtenstein on March 26 as Part of FIFA Series
Taifa Stars imepangwa kucheza dhidi ya timu ya taifa ya Liechtenstein tarehe 26 Machi katika Uwanja wa Kigali Pele.
SPORTS KIJIJI: Tunakuza vipi mchezo wa Rugby kuwa maarufu Tanzania?
Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), Anthony Dawa, akizungumzia mikakati ya kukuza rugby nchini Tanzania kupitia kipindi cha SPORTS KIJIJI ndani ya Mtawala Radio.
Mchuano wa ubingwa: Yanga na Simba Wanaelekea Kwenye Hatua ya Maamuzi
Yanga SC na Simba SC zimejiandaa kwa mchuano wa kuamua bingwa wa Ligi Kuu Tanzania. Mechi hii inatarajiwa kuwa ya kihistoria na yenye mvutano mkubwa.
Hakuna habari zinazolingana na chaguo lako. Jaribu michezo yote au aina nyingine.
Mashindano
Mashindano makubwa zaidi ya soka barani Afrika. Tanzania (Taifa Stars) imefuzu kwa fainali za 2025 Morocco!
Mashindano ya ngumi Afrika Zone III Aprili 26, 2026 Dar es Salaam. Timu za Tanzania, Kenya, Uganda.
Makao ya mbio, kurusha, kuruka na kutembea. Pata habari za wanariadha bora duniani na mashindano ya uwanjani.
Mashindano ya umbo bora nchini Tanzania. Vikundi tofauti kutoka vijana hadi wazima.
Ligi ya mabingwa Afrika inayoshirikisha timu bora. Simba SC na Yanga SC ni washiriki wa kudumu.
Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga ilifika fainali 2023, ikionyesha ubora wa soka la Tanzania.
Mashindano ya kitaifa ya chess chini ya Tanzania Chess Federation. Wachezaji bora kutoka mikoa yote.
Mashindano makuu ya mtoano nchini Tanzania yanayoshirikisha timu za madaraja yote.
Ligi ya darts Dar es Salaam yenye mashindano ya baa na vilabu. Mchezo wa ustadi na burudani.
Mchuano wa kuondoa timu za ligi zote Tanzania Bara. Historia ndefu tangu 1967.
The 2026 FIFA World Cup is the first 48-team edition, co-hosted by the United States, Mexico, and Canada (11 June β 19 July 2026).
Safari ya kuelekea Kombe la Dunia 2026. Taifa Stars inapambana kuandika historia.
Mashindano ya taifa ya judo yanayochagua bingwa na timu za kimataifa.
Mashindano ya karate kitaifa, shotokan na aina zingine chini ya shirikisho.
Mbio za kimataifa zinazofanyika chini ya mlima mrefu zaidi Afrika, zikivutia maelfu ya wakimbiaji.
Ligi mpya ya mpira wa wavu 2026 yenye timu 19. Michezo mikali kutoka mikoa mbalimbali.
Daraja la nne la soka, mikoa minne yenye makundi 7 kila moja. Msingi wa vipaji vya chini.
Ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Tanzania inayoshirikisha timu bora za kiume na kike.
Mashindano ya uogeleaji kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam na Arusha.
NBC Premier League (Ligi Kuu) β msimu wa 2024/2025 na michezo ya Relegation / Promotion Playoff na Relegation Playoff.
Mashindano maarufu ya mtaani (grassroots) yanayodhihirisha vipaji halisi na mshikamano wa jamii. The Ndondo Cup is a prominent grassroots football tournament in Tanzania, primarily based in Dar es Salaam. Since its inception in 2014, it has grown into one of the most popular community sports events in the country, often used as a platform for health advocacy and talent scouting. Seasons and finals (winners and runners-up where recorded): β’ 1st (2014, August): Abajalo FC β Temeke Market β’ 2nd (2015, August): Far Jeuri β Kauzu FC β’ 3rd (2016, 31 July): Temeke Market FC β Kauzu FC β’ 4th (2017, 13 August): Misosi FC β Goms United β’ 5th (2018, 5 August): Manzese United β Kivule United β’ 6th (2019, August): Umoja wa Vijana (UVT) β runner-up not listed β’ 7th (2020, October): Kibangu Rangers β runner-up not listed β’ 8th (2021, 28 August): Vifundo FC β Tabata All Stars β’ 9th (2022, September): Bullet Force β Vifundo FC β’ 10th (2023, 3 September): Madenge FC β Sinza Stars β’ 11th (2024, 31 August): Azimio FC β Soccer City The tournament typically features 32 teams in the main group stages, drawn from neighbourhoods in Dar es Salaam and occasionally other regions (e.g. Dodoma, Iringa, Mwanza). Notable teams by season (examples): 2024 (Dodoma & Dar es Salaam): winner Azimio FC (Buguruni), finalist Soccer City (Kigamboni); others include Tan-Zebras FC, Goms United, Faru Jeuri, and community sides from Dodoma, Iringa, and Mwanza. 2023: Madenge FC (winner), Sinza Stars (finalist); Mabibo Market, Kibangu Rangers, Tandika City, Friends Rangers among participants. 2021: Vifundo FC (winner), Tabata All Stars (finalist); Kinondoni Utd, Kampala International, Bandari FC, Tandika FC among participants. 2016 group stage examples β Group A: Faru Jeuri, TMK Market, Kinondoni FC, Vijana Rangers. Group B: Boom FC, Temeke Squad, Abajalo FC, Kijiji FC. Group C: Tabata United, Keko Furniture, Stakishari, Mjivuni. Group D: Makumba FC, Kiluvya United, Aggrey SC, Broken Chain. Group E: Goms United, Wauza Matairi, Mtoni City, Urafiki Shooting. Group F: Misosi FC, Buguruni United, Jaki Pro, Friends Rangers. Group G: Kibada One FC, Mlalakuwa Rangers, Burudani FC, Ndanda FC. Group H: Kauzu FC, Madiba FC, Black Six, Keko Machungwa.
Mikoa ya Kaskazini: mashindano ya mpira wa wavu yanayochangia ligi kuu ya taifa.
Mapambano ya masumbwi yenye msisimko mkubwa, yakishirikisha mabingwa kama Mandonga na Kiduku.
Ligi kuu ya rugby chini ya Tanzania Rugby Union. Michezo migumu barani.
Ligi kuu ya soka la wanawake Tanzania inayozalisha vipaji vikubwa vinavyoiwakilisha nchi kimataifa.
Mashindano ya taifa ya taekwondo yanayochagua timu kwa kimataifa kutoka vijana hadi wazima.
Daraja la kwanza nchini Tanzania. Safari ya kuelekea Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mashindano ya kriketi yanayowaleta pamoja wachezaji bora wa ndani na nje ya nchi.
Mashindano makuu ya gofu nchini yanayoshirikisha wachezaji wa kulipwa na ridhaa.
Ligi kuu ya mpira wa wavu nchini, timu bora za kiume na kike kutoka nchi nzima.
Mbio za marathon za hatua 220km karibu na Kilimanjaro. Kimataifa zenye mvutio mkubwa.
UMITASHUMTA (Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania) β mashindano ya kitaifa ya shule za msingi. Msimu mmoja kwa mwaka (si ligi yenye misimu mingi kama EPL); mashindano huendelea kwa kanda mbalimbali ndani ya kipindi cha msimu huo. Mfumo wa kuchuana: Shule β Kata β Tarafa β Wilaya β Mkoa β Kanda β Taifa Mikoa 26 yanayoshiriki (Tanzania Bara + Zanzibar). Kila mkoa huwasilisha takriban vijana 120. Sekondari huendesha UMISSETA kwa muundo sawa. Kanda 7: Kaskazini, Ziwa, Kati, Pwani, Mashariki, Magharibi, Kusini. Msimu wa 2026 (Iringa, mwaka wa pili mfululizo): 5β17 Juni 2026; uzinduzi rasmi 8 Juni; zaidi ya wanamichezo 7,000 na viongozi 800; mikoa 26.
Mashindano ya kunyoosha uzito kitaifa yanayotafuta nguvu za Tanzania.
Mashindano ya wushu (kung fu ya Kichina) kitaifa yanayokuza sanaa za mapambano za Asia.
Ligi ya vijana chini ya miaka 20, kuibua vipaji vya kesho kwa Taifa Stars na vilabu vikubwa.
Ligi kuu ya Visiwani. Timu bora huingia Muungano Cup dhidi ya Bara.
Off-Season
Mashindano ya CECAFA Mei-Juni 2026 nchini Tanzania. Vipaji vya soka wanawake vijana.
Mechi za kufuzu CECAFA Agosti 2026 Tanzania. Safari ya Taifa Stars vijana.
Ligi kuu ya netball nchini inayoshirikisha timu kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Mashindano ya michezo shule za Afrika Mashariki 2026 nchini Tanzania. Soka, mpira, riadha na zaidi.
Kombe la vilabu CECAFA. Simba na Yanga mara kwa mara huchanganyikiwa na mabingwa Afrika Mashariki.
Mashindano ya kila mwaka ya kukumbuka Mapinduzi ya Zanzibar yanayoshirikisha timu za Afrika Mashariki.
Mechi ya ufunguzi wa msimu kati ya bingwa wa Ligi Kuu na mshindi wa Kombe la Shirikisho.
Mashindano ya kitaifa ya volleyball yanayofanyika kila mwaka kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. J.K. Nyerere.
Moja ya hatua za mashindano ya mbio za magari Afrika (ARC) inayozivunja mbavu barabara za Tanzania.
Michezo ya Olimpiki ambapo Tanzania imewahi kushinda medali za fedha kupitia riadha (1980).
Ligi kuu ya handball nchini Tanzania, timu bora za kiume na kike kutoka mikoa.
Mbio za baiskeli za kimataifa zinazopita maeneo maarufu kama Arusha na Zanzibar.
Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania. Tanuru la kuibua vipaji vipya kitaifa.
