Tanzania's Government Reduces Fake Seed Incidents from 325 to 10 Through Quality Control Measures
Vyanzo: habarileo.co.tz, michuzi.co.tz
Maelezo na vyanzo
Na Janeth Raphael MichuziTv - Bungeni Dodoma Serikali imeendelea kuimarisha hatua za kudhibiti na kutokomeza tatizo la mbegu feki nchini kupitia mifumo ya kisasa ya uthibitishaji wa ubora, ukaguzi wa mara kwa mara na utoaji wa elimu kwa wakulima.Akijibu swali la Mbunge wa Mbozi, Onesmo Merdson Mnkondya, kuhusu mpango wa Serikali wa kukomesha mbegu feki nchini, Naibu Waziri wa Kilimo, David Silind
michuzi.co.tz βMOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimelekeza nguvu kuwekeza katika tafiti, ubunifu na teknolojia za uzalishaji wa mbegu bora ili kuongeza tija katika sekta ya kilimo na kuimarisha usalama wa chakula nchini. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalam, Profesa Maulid Mwatawala amesema hayo kwa niaba ya Makamu Mkuu β¦
habarileo.co.tz β