Gundua
16093 mada zilizoaindeksiHabari mpya, uchambuzi wa kina, na maarifa kutoka Nukta
POLITICS
7
7
4
Keir Starmer's Resignation as UK Prime Minister
Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na uongozi wa chama tawala cha Labour.
swahilitimes.co.tz โStarmer confirmed that he would step aside and oversee a smooth transfer of power, telling the country that Britain needed fresh leadership to restore stability at a moment of rising political strain inside the Labour Party.
dailynews.co.tz โWaziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uongozi wa Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz โKuwasili kwa mwanasiasa huyo mahiri, ambaye hadi wiki iliyopita alikuwa Meya wa Greater Manchester, kunajiri saa chache baada ya Keir Starmer kutangaza kujiuzulu rasmi wadhifa wa Waziri Mkuu kutokana na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya Chama cha Labour.
mwananchi.co.tz โKujiuzulu kwa Starmer kunahitimisha safari ya kisiasa iliyokuwa imeanza kwa matumaini makubwa baada ya ushindi wa kihistoria wa Labour katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.
mwananchi.co.tz โWaziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, akisema anaheshimu mawazo ya chama chake cha Labour, baada ya mpinzani wake kuibuka kidedea Ijumaa iliyopita.
ippmedia.co.tz โStarmer anangโoka uwaziri mkuu, zinawadia zama mpya za siasa UK
mwananchi.co.tz โ
AGRICULTURE
7
7
4
Implementation of Warehouse Receipt System in Livestock Sector
Maelezo ya Ziada
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imesema matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika sekta ya mifugo yataimarisha masoko, kuongeza ushindani wa bei na kuwainua wafugaji kiuchumi kupitia upatikanaji wa huduma za kifedha.
ippmedia.co.tz โWe are in the final stages of establishing the regulatory framework required to operationalize this model.
dailynews.co.tz โHatua inayofuata ni kukamilisha miongozo ya utekelezaji kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo ili kuruhusu rasmi mifugo kuingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani.
michuzi.co.tz โUshirikiano huo unalenga kuongeza upatikanaji wa mitaji kwa wafugaji, kuimarisha mfumo rasmi wa biashara ya mifugo na kuwezesha upatikanaji wa masoko yenye ushindani, hatua inayotarajiwa kuongeza tija na mapato katika sekta ya mifugo.
michuzi.co.tz โWAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa katika masoko na biashara shindani ya mifugo.
mzalendo.co.tz โWAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa katika masoko na biashara shindani ya mifugo.
michuzi.co.tz โWAFUGAJI nchini wamefurahishwa na mpango wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye sekta ya mifugo wakidai kuwa utaleta manufaa makubwa katika masoko na biashara shindani ya mifugo.
michuzi.co.tz โ
PUBLIC-ADMIN
5
5
4
ATE and NSSF MoU to Enhance Collaboration and Efficiency
Maelezo ya Ziada
Waziri Sangu alitoa wito huo jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano Mkuu wa 67 wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), ambapo pia alishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) kati ya NSSF na ATE, yenye lengo la kuimarisha ushirikiano, kubadilishana taarifa na uzoefu, pamoja na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo kwa manufaa ya waajiri, wafanyakazi na taifa.
mzalendo.co.tz โWaziri Sangu alitoa wito huo jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano Mkuu wa 67 wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), ambapo pia alishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) kati ya NSSF na ATE, yenye lengo la kuimarisha ushirikiano, kubadilishana taarifa na uzoefu, pamoja na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo kwa manufaa ya waajiri, wafanyakazi na taifa.
habarileo.co.tz โWaziri Sangu alishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) kati ya NSSF na ATE, yenye lengo la kuimarisha ushirikiano, kubadilishana taarifa na uzoefu, pamoja na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo.
michuzi.co.tz โWaziri Sangu alishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) kati ya NSSF na ATE, yenye lengo la kuimarisha ushirikiano, kubadilishana taarifa na uzoefu, pamoja na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo.
michuzi.co.tz โHe made the remarks in Dar es Salaam during the 67th Annual General Meeting of the Association of Tanzania Employers (ATE), where he also witnessed the signing of a Memorandum of Understanding (MoU) between NSSF and ATE.
dailynews.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Bunge la Tanzania leo Jumanne, Juni 23, 2026 limeipitisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Sh62.3 trilioni ya mwaka 2026/27 kwa kura 385 sawa na asilimia 97 ya kura zote 393.
mwananchi.co.tz โBunge laipitisha Bajeti Kuu ya Serikali 2026/27 kwa asilimia 97.
mwananchi.co.tz โTHE Parliament of Tanzania has approved the Governmentโs General Budget amounting to 62.3tri/- for the 2026/27 financial year after receiving 385 votes in favour, representing 97 percent of all votes cast.
dailynews.co.tz โThe endorsement follows the presentation of the 62.33tri/- 2026/27 National Budget, which prioritises domestic revenue mobilisation, while supporting economic growth, industrialisation and structural transformation.
allafrica.com โBunge la Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa asilimia 97.66 baada ya wabunge 385 kupiga kura ya ndiyo kuunga mkono bajeti hiyo licha ya kuwepo mapendekezo kwa baadhi ya wadau ikiwemo Serikali kupunguza matumizi yasio ya lazima.
nukta.co.tz โ
PUBLIC-ADMIN
4
4
4
Appointment of ACP Twaha Lulengelule as Tabora Regional Police Commander
Maelezo ya Ziada
THE Inspector General of Police (IGP) Camilius Wambura has appointed Assistant Commissioner of Police (ACP) Twaha Lulengelule as the new Tabora Regional Police Commander (RPC).
dailynews.co.tz โMkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Twaha Juma Lulengelule ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Mkoa wa Tabora kuwa Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Tabora.
michuzi.co.tz โMkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Twaha Juma Lulengelule na kumteua kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Tabora.
globalpublishers.co.tz โMkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Twaha Juma Lulengelule ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Mkoa wa Tabora kuwa Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Tabora.
mzalendo.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha za miradi ya maendeleo katika sekta za maji, barabara na nishati kupelekwa moja kwa moja kwenye mifuko husika ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
mzalendo.co.tz โSerikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha za miradi ya maendeleo katika sekta za maji, barabara na nishati kupelekwa moja kwa moja kwenye mifuko husika ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
michuzi.co.tz โWaziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha za miradi ya maendeleo katika sekta za maji, barabara na nishati kupelekwa moja kwa moja kwenye mifuko husika ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
michuzi.co.tz โAll funds allocated for roads, water, and electricity will no longer pass through the Government General Fund. They will be transferred directly to the relevant funds to ensure faster implementation of projects.
dailynews.co.tz โWAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA
mzalendo.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Kampuni hiyo imeonesha utayari wa kuwekeza katika ujenzi wa mifumo ya usafiri wa haraka na miundombinu ya kisasa yenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
michuzi.co.tz โKampuni hiyo imeonesha utayari wa kuwekeza katika ujenzi wa mifumo ya usafiri wa haraka na miundombinu ya kisasa yenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
michuzi.co.tz โKampuni hiyo imeonesha utayari wa kuwekeza katika ujenzi wa mifumo ya usafiri wa haraka na miundombinu ya kisasa yenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam, huku ikitazama pia fursa za utekelezaji wa miradi kama hiyo katika majiji ya Mwanza, Mbeya na Arusha.
habarileo.co.tz โKampuni hiyo imeonesha utayari wa kuwekeza katika ujenzi wa mifumo ya usafiri wa haraka na miundombinu ya kisasa yenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam.
mzalendo.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii kutoka Oman, Khalid Hamed Al Barwani, aliyesaidia kulitangaza kimataifa Shamba la Miti Sao Hill baada ya kuitembelea mwaka 2024, amekabidhiwa rasmi Ubalozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania katika hatua inayotarajiwa kuimarisha kampeni za kuitangaza nchi na kuongeza idadi ya watalii.
habarileo.co.tz โTHE Tanzania Tourist Board (TTB) has officially appointed Omani tourism promoter and travel influencer Khalid Hamed Al Barwani as Tanzaniaโs Honorary Tourism Ambassador in recognition of his contribution to promoting the countryโs tourism attractions on the international stage.
dailynews.co.tz โBODI ya Utalii Tanzania (TTB) imemkabidhi rasmi mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii kutoka Oman, Khalid Hamed Al Barwani, Ubalozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania, ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuimarisha juhudi za kuitangaza Tanzania katika masoko ya kimataifa na kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchini.
michuzi.co.tz โBODI ya Utalii Tanzania (TTB) imemkabidhi rasmi mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii kutoka Oman, Khalid Hamed Al Barwani, Ubalozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania, ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuimarisha juhudi za kuitangaza Tanzania katika masoko ya kimataifa na kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchini.
michuzi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Kwa mujibu wa Mhe. Masauni, bajeti ya mwaka wa fedha wa sasa imetenga fedha kwa ajili ya kuanzisha mifumo ya usajili, ukaguzi na ufuatiliaji wa biashara ya kaboni.
michuzi.co.tz โKwa mujibu wa Mhe. Masauni, bajeti ya mwaka wa fedha wa sasa imetenga fedha kwa ajili ya kuanzisha mifumo ya usajili, ukaguzi na ufuatiliaji wa biashara ya kaboni.
michuzi.co.tz โAccording to Minister Masauni, the current financial year budget has allocated funds to set up systems for registration, auditing, and monitoring of carbon trading activities.
dailynews.co.tz โKwa mujibu wa Masauni, bajeti ya mwaka wa fedha wa sasa imetenga fedha kwa ajili ya kuanzisha mifumo ya usajili, ukaguzi na ufuatiliaji wa biashara ya kaboni.
ippmedia.co.tz โ
POLITICS
4
4
3
Waziri Katambi's Ban on Political Gatherings for All Parties
Maelezo ya Ziada
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kutotoa vibali vya mikutano ya hadhara ya kisiasa kwa vyama vyovyote, ikiwemo Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine, kwa kipindi hiki.
ippmedia.co.tz โThe government has announced a nationwide ban on all political rallies, directing police to withhold permits for public meetings by any political party.
thechanzo.com โKatambi amesema anashangazwa na wanaodai hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya hadhara, akisisitiza hatua aliyoitangaza haihusiani na kutangazwa kwa hali ya hatari, ambayo kikatiba ni mamlaka ya Rais.
mwananchi.co.tz โtamko la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ya kuzuia kwa muda, mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini.
mwananchi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Alisema TMIC 2026 utakuwa jukwaa la kutangaza fursa za uwekezaji, kuunganisha wawekezaji na miradi ya kimkakati, kukuza uhamishaji wa teknolojia na ubunifu.
habarileo.co.tz โThe 7th Tanzania Mining and Investment Conference 2026 will be held under the theme, 'Value-added minerals: A catalyst for industrial and economic growth.'
dailynews.co.tz โPREPARATIONS are underway for the Tanzania Mining Investment Conference (TMIC 2026), a major event expected to attract global investors and strengthen the mining sectorโs contribution to Tanzaniaโs economic growth.
dailynews.co.tz โThe Ministry of Minerals has invited mining companies, investors, equipment manufacturers, financial institutions, service providers and researchers to participate in TMIC 2026 and explore emerging opportunities in Tanzaniaโs mining industry.
thecitizen.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
One of the key pillars in controlling Ebola is the monitoring of people who have come into contact with patients (contact tracing), where its success depends on a high level of monitoring that should reach between 75 and 95 percent.
dailynews.co.tz โMoja ya nguzo muhimu katika udhibiti wa Ebola ni ufuatiliaji wa watu waliokutana na wagonjwa (contact tracing), ambapo mafanikio yake hutegemea kiwango cha juu cha ufuatiliaji kinachopaswa kufikia kati ya asilimia 75 hadi 95.
michuzi.co.tz โMoja ya nguzo muhimu katika udhibiti wa Ebola ni ufuatiliaji wa watu waliokutana na wagonjwa (contact tracing), ambapo mafanikio yake hutegemea kiwango cha juu cha ufuatiliaji kinachopaswa kufikia kati ya asilimia 75 hadi 95 na katika baadhi ya maeneo kiwango hicho kimekuwa cha chini, hali inayoongeza hatari ya kuendelea kusambaa kwa maambukizi.
michuzi.co.tz โOne of the key pillars in controlling Ebola is the monitoring of people who have come into contact with patients (contact tracing), where its success depends on a high level of monitoring that should reach between 75 and 95 percent.
allafrica.com โ
AGRICULTURE
4
4
3
Implementation of Prime Minister's Directives by WRRB
Maelezo ya Ziada
BODI ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, yenye lengo la kuimarisha usimamizi wa mfumo huo na kuhakikisha changamoto zinazojitokeza zinapatiwa ufumbuzi bila kurejea kwenye biashara holela ya mazao.
habarileo.co.tz โBodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kuimarisha usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala na kuhakikisha changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake zinatatuliwa bila kurudi kwenye biashara holela ya mazao.
mzalendo.co.tz โWRRB YAANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU
mzalendo.co.tz โBodi ya Usimamizi wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imeanza rasmi kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, yanayolenga kuimarisha usimamizi wa mfumo huo na kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa bila kurejea kwenye biashara holela ya mazao.
ippmedia.co.tz โ
ECONOMY
4
4
3
Education on Market Price Trends by WRRB
Maelezo ya Ziada
Bangu amesema baadhi ya wananchi wamekuwa wakilinganisha bei za sasa na zile za miaka mitatu iliyopita bila kuzingatia mabadiliko ya soko la dunia, hivyo bodi hiyo imeendelea kutoa elimu kuhusu mwenendo wa bei katika masoko ya kimataifa.
habarileo.co.tz โAmesema wananchi wamekuwa wakilinganisha bei za sasa na zile za miaka mitatu iliyopita bila kuzingatia mabadiliko ya soko la dunia, hivyo WRRB imeendelea kutoa elimu kuhusu mwenendo wa bei katika masoko ya kimataifa.
mzalendo.co.tz โBangu amesema wananchi wamekuwa wakilinganisha bei za sasa na zile za miaka mitatu iliyopita bila kuzingatia mabadiliko ya soko la dunia, hivyo WRRB imeendelea kutoa elimu kuhusu mwenendo wa bei katika masoko ya kimataifa.
michuzi.co.tz โhivyo WRRB imeendelea kutoa elimu kuhusu mwenendo wa bei katika masoko ya kimataifa.
michuzi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Londo made the remarks during the Africaโs Top 100 Homegrown Brands recognition event in Dar es Salaam, which brought together manufacturers and brand owners from across the continent.
dailynews.co.tz โMhe. Dennis Londo, amesema wazalishaji, wafanyabiashara na watoa huduma nchini ni nguzo muhimu katika maendeleo ya uchumi kutokana na mchango wao katika uzalishaji, biashara na utoaji wa huduma mbalimbali na jitihada zao zinapaswa kutambuliwa ili kuhamasisha utendaji bora na kuongeza ushindani wenye tija.
michuzi.co.tz โMhe. Dennis Londo, amesema wazalishaji, wafanyabiashara na watoa huduma nchini ni nguzo muhimu katika maendeleo ya uchumi kutokana na mchango wao katika uzalishaji, biashara na utoaji wa huduma mbalimbali na jitihada zao zinapaswa kutambuliwa ili kuhamasisha utendaji bora na kuongeza ushindani wenye tija.
michuzi.co.tz โFor his part, event coordinator Deogratius Kilawe said the awards aim to promote competition among African companies while encouraging higher standards in products and services.
allafrica.com โ
POLITICS
3
3
3
Trump Declares End of Ceasefire Agreement with Iran
Maelezo ya Ziada
Trump amesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yamefikia mwisho, baada ya nchi hizo mbili kuanza kushambuliana.
swahilitimes.co.tz โTo me, I think itโs over. I donโt want to deal with them.
dailynews.co.tz โRais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran โyamefikia mwishoโ baada ya Iran kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani katika Mashariki ya Kati usiku wa kuamkia Jumatano.
globalpublishers.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Makamu wa Rais wa Emmanuel Nchimbi amesema maono ya Serikali ni kuona Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) yakibadilika kutoka eneo la kuonesha bidhaa pekee na kuwa kitovu cha ubunifu, utafiti, teknolojia na biashara za kimataifa ifikapo mwaka 2050.
habarileo.co.tz โthe government's vision is to transform the Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) from a traditional product exhibition into a global hub for innovation, research, technology, and international trade by 2050.
dailynews.co.tz โthe government's vision is to transform the Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) from a traditional product exhibition into a global hub for innovation, research, technology, and international trade by 2050.
allafrica.com โ
Maelezo ya Ziada
Nigeria has accused South Africa of failing to protect foreign nationals after two Nigerian citizens were killed amid rising anti-migrant sentiment.
allafrica.com โNigeria says two of its citizens have been killed in South Africa 'at a time when foreigners are being unduly targeted' there.
dailynews.co.tz โNigeria imelaani madai ya kuuawa kwa raia wake wawili nchini Afrika Kusini na kuitaka serikali ya nchi hiyo, kufanya uchunguzi wa haraka na kuwawajibisha waliohusika.
ippmedia.co.tz โ
FINANCE
3
3
3
Tanzania's Vision 2050 for a $1 Trillion Economy
Maelezo ya Ziada
Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Tanzania inaiona Benki ya Afrexim kama mshirika wa kimkakati katika safari ya mageuzi ya kiuchumi ya nchi, huku akisisitiza umuhimu wa ushirikiano imara, mitaji ya muda mrefu na mbinu bunifu za ufadhili ili kufikia azma ya kuwa uchumi wa dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050.
mzalendo.co.tz โThe blueprint positions efficient SOEs as strategic catalysts for economic expansion, supporting Tanzania's ambition to quadruple its Gross Domestic Product (GDP) to one trillion US dollars by 2050.
dailynews.co.tz โTanzania's ambition to build a $1 trillion economy by 2050 will depend not only on expanding digital technologies but also on strengthening personal data protection to build public trust in the country's rapidly growing digital economy, experts have said.
thecitizen.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Sasa hivi hatupaswi kupuuzia viashiria vya uvunjifu wa amani hapa nchini. Hatutakiwi kuvipuuza kwa sababu vimetuachia doa.
mzalendo.co.tz โWAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania waendelee kuhimizana kuhusu ulinzi wa Taifa na kamwe wasipuuze viashiria vya uvunjifu wa amani.
globalpublishers.co.tz โWaziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuendelea kushirikiana katika kulinda amani na usalama wa nchi kwa kutopuuzia viashiria vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa Taifa.
ippmedia.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Meanwhile, Mount Meru Regional Referral Hospital Mental Health Specialist Margaret Msigwa said 907 people struggling with drug addiction have been registered at the hospitalโs Medication-Assisted Treatment (MAT) clinic.
dailynews.co.tz โMratibu wa Huduma za Methadone (MAT) katika Hospitali ya Mount Meru, Magreth Elias Msigwa amesema kliniki hiyo imesajili wateja 907 tangu kuanzishwa kwake.
mwananchi.co.tz โ907 people struggling with drug addiction have been registered at the hospital's Medication-Assisted Treatment (MAT) clinic.
allafrica.com โ
Maelezo ya Ziada
Prof Janabi has stressed the importance of rapid patient monitoring and investment in health systems as key pillars of controlling Ebola in Africa.
dailynews.co.tz โProf. Janabi amesisitiza umuhimu wa ufuatiliaji wa haraka wa wagonjwa na uwekezaji katika mifumo ya afya kama nguzo muhimu ya kudhibiti ugonjwa wa Ebola barani Afrika.
michuzi.co.tz โProf Janabi stressed the importance of rapid patient monitoring and investment in health systems as key pillars of controlling Ebola in Africa.
allafrica.com โ
POLITICS
3
3
3
Approval of 62.33 trillion TZS National Budget for 2026/27
Maelezo ya Ziada
THE National Assembly has approved the 62.33 tri/- national budget for the 2026/27 financial year, with the government pledging to strengthen domestic revenue collection, enhance fiscal discipline, and ensure efficient use of every shilling collected to accelerate national development.
dailynews.co.tz โTanzaniaโs Parliament approved the TZS 62.33 trillion (ยฑ USD 24 billion) Government Budget for 2026/27 by 385 of 393 votes on 23 June 2026, with the spending plan and its tax measures taking effect on 1 July 2026.
tanzaniainvest.com โTHE National Assembly has approved the 62.33 tri/- national budget for the 2026/27 financial year, with the government pledging to strengthen domestic revenue collection, enhance fiscal discipline, and ensure efficient use of every shilling collected to accelerate national development.
allafrica.com โ
CIVIL-SOCIETY
3
3
3
21-Year-Old Juma Ramadhan Confesses to Killing His Father Ramadhan Jaffary
Maelezo ya Ziada
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Juma Ramadhan (21) kwa tuhuma za kumuua baba yake, Ramadhan Jaffary (47), na kisha kumfukia ndani ya nyumba ya marehemu.
swahilitimes.co.tz โPolisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemtia mbaroni Juma Ramadan (21), maarufu Juli, mkazi wa Ubungo, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Ramadan Jafar (47), maarufu Muna, ambaye awali aliripotiwa kupotea.
mwananchi.co.tz โJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia kijana mmoja aitwaye Juma Ramadhan (21), kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Ramadhan Jafari (47), kisha kuuficha mwili wake kwa kuufukia ndani ya chumba cha nyumba yao iliyopo eneo la Mbezi Luguruni, jijini Dar es Salaam.
globalpublishers.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to conduct a working visit to Kilimanjaro Region on June 24, 2026, where she will officially inaugurate the Radiotherapy Building at the Northern Zone Referral Hospital (KCMC), valued at 17bn/-.
dailynews.co.tz โPresident Samia Suluhu Hassan is expected to inaugurate a new radiotherapy services building at Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) Northern Zone Referral Hospital, a Sh17 billion facility aimed at improving cancer care in the region.
thecitizen.co.tz โRais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua jengo la huduma ya tiba ya mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya KCMC, lililogharimu zaidi ya Sh17 bilioni.
mwananchi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Chama cha Labour kinatarajiwa kufungua rasmi mchakato wa uchaguzi wa kiongozi mpya, ambapo wagombea wataanza kujitokeza katika wiki zijazo.
globalpublishers.co.tz โReports from within the party indicate that the final phase of his leadership was shaped by quiet but decisive manoeuvring among potential successors, as preparations for a transition gathered pace behind the scenes.
dailynews.co.tz โMoja ya matukio makubwa yaliyosafisha njia ya Burnham kuelekea kuwa Waziri Mkuu ni uamuzi wa mpinzani wake mkuu wa zamani na aliyekuwa Katibu wa Afya Kivuli, Wes Streeting, kujiondoa katika mbio za kuwania uongozi wa chama.
mwananchi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Eneo lingine lililopatiwa kipaumbele ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kufanikisha lengo la Taifa la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034.
michuzi.co.tz โAmeongeza kuwa eneo lingine lililopatiwa kipaumbele ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kufanikisha lengo la Taifa la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034.
mzalendo.co.tz โMs Mniga said EWURA is also highlighting the importance of clean cooking energy as part of national efforts to increase access to environmentally friendly and affordable energy solutions.
dailynews.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
THE government has commissioned a 10.5bn/- electricity infrastructure project in Kongwa District, a move expected to strengthen power supply, spur industrial growth and attract new investments across Dodoma Region and neighbouring areas.
dailynews.co.tz โSerikali yazindua mradi wa Sh10.5 bilioni kuimarisha usambazaji umeme Kongwa
mwananchi.co.tz โShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekamilisha na kuzindua mradi wa kimkakati wa Kituo cha Kubadilishia Njia za Usambazaji Umeme (Switching Station) pamoja na Transforma ya Kudhibiti Umeme katika eneo la Mbande, Wilaya ya Kongwa, uliogharimu zaidi ya shilingi bilioni 10.5.
mzalendo.co.tz โ
PUBLIC-ADMIN
3
3
3
Call for Community Participation in Maintaining Government Infrastructure
Maelezo ya Ziada
Mhe. Babu ametoa wito huo wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na iliyokamilika katika Mkoa wa Kilimanjaro.
kilimanjaro.go.tz โHivyo wananchi wote kwa pamoja wanao wajibu wa kulinda na kutunza miundombinu ya Mahakama hiyo kwasababu ni mali ya umma na imejengwa kwa kodi za wananchi wenyewe.
tanzaniajudiciary.blogspot.com โHata hivyo, ametoa wito kwa wananchi pamoja na watumishi wa sekta ya afya kuhakikisha wanalinda miundombinu inayojengwa kwa gharama kubwa za serikali.
arusha.go.tz โ
Maelezo ya Ziada
Ameeleza pia uandaaji wa bajeti umeshilikisha wadau mbalimbali kupitia Kamati ya Wataalam wa Maboresho ya Kodi (Task Force on Tax Reforms) pamoja na Kamati ya Ushauri ya Ngazi ya Juu ya โThink Tankโ ambapo mapendekezo 727 yalitolewa.
thechanzo.com โthe upcoming Budget has been prepared through broad consultations involving government institutions, the private sector, civil society, academia and individual taxpayers, resulting in 727 proposals on tax, legal and administrative reforms.
thecitizen.co.tz โThe consultations sought views on possible reforms to taxes, fees and levies. By the close of the consultation period, the government had received 727 proposals covering tax, legal and administrative reforms.
dailynews.co.tz โ
FINANCE
3
3
3
Approval of 10-for-1 Share Split by NMB Bank PLC
Maelezo ya Ziada
wanahisa kuidhinisha mgawiyo wa rekodi na maazimio ya ukuaji wa kimkakati.
michuzi.co.tz โWanahisa wa benki ya NMB wamepitisha azimio la kugawanya hisa za benki hiyo kwa uwiano wa 1 kwa 10 hatua inayotarajiwa kuongeza idadi na kupunguza bei ya hisa za benki hiyo sokoni.
nukta.co.tz โIli kuhakikisha watu wengi wanapata fursa ya kununua hisa, benki hiyo imependekeza kufanya mgawanyo wa hisa kwa uwiano wa moja kwa kumi (1:10) ili kuongeza ushiriki wa wawekezaji wadogo na kuboresha uuzikaji wa hisa zake katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).
mwananchi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Kampeni hii ya kila mwaka iliyodumu kwa miaka kumi na moja, inadhihirisha ushirikiano wa dhati kati ya Benki ya Exim Tanzania na NBTS.
michuzi.co.tz โKampeni hii ya kila mwaka iliyodumu kwa miaka kumi na moja, inadhihirisha ushirikiano wa dhati kati ya Benki ya Exim Tanzania na NBTS, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza utamaduni wa uchangiaji damu wa hiari nchini Tanzania.
globalpublishers.co.tz โKampeni hii ya kila mwaka iliyodumu kwa miaka kumi na moja, inadhihirisha ushirikiano wa dhati kati ya Benki ya Exim Tanzania na NBTS, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza utamaduni wa uchangiaji damu wa hiari nchini Tanzania.
swahilitimes.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Jumbe, ambaye kwa muda mrefu alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa Chadema mkoani Tanga, amesema uamuzi wake umetokana na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na juhudi za Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha amani, umoja na ustawi wa wananchi.
michuzi.co.tz โJumbe, ambaye kwa muda mrefu alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa Chadema mkoani Tanga, amesema uamuzi wake umetokana na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na juhudi za Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha amani, umoja na ustawi wa wananchi.
michuzi.co.tz โKilichonishawishi zaidi ni kazi kubwa inayofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea Watanzania maendeleo na kuhakikisha amani ya nchi inalindwa.
michuzi.co.tz โJumbe, ambaye kwa muda mrefu alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa Chadema mkoani Tanga, amesema uamuzi wake umetokana na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na juhudi za Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha amani, umoja na ustawi wa wananchi.
michuzi.co.tz โAkizungumza mbele ya wanachama na umma wakati wa hafla hiyo, Rashid Jumbe alieleza kuwa uamuzi wake wa kuhamia CCM umetokana na kuridhishwa kwake na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanywa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan.
habarileo.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
michuzi.co.tz โRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
michuzi.co.tz โRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Juni 28, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
globalpublishers.co.tz โRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
michuzi.co.tz โRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
michuzi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Serikali imewaagiza wazalishaji wote nchini kutumia alama ya โMade in Tanzaniaโ ili kuongeza imani kwa bidhaa zinazozalishwa nchini na kuimarisha ushindani wake katika masoko ya kimataifa.
mzalendo.co.tz โSerikali imewaagiza wazalishaji wote nchini kutumia alama ya 'Made in Tanzania' ili kuongeza imani kwa bidhaa zinazozalishwa nchini na kuimarisha ushindani wake katika masoko ya kimataifa.
michuzi.co.tz โSerikali imewaagiza wazalishaji wote nchini kutumia alama ya 'Made in Tanzania' ili kuongeza imani kwa bidhaa zinazozalishwa nchini na kuimarisha ushindani wake katika masoko ya kimataifa.
michuzi.co.tz โWAZALISHAJI KUTUMIA ALAMA YA โMADE IN TANZANIAโ...
mzalendo.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Katambi also issued a warning to individuals who operate or benefit from prostitution and brothel-related activities, noting that Tanzanian law prohibits such practices and imposes strict penalties on those found responsible.
dailynews.co.tz โWaziri Katambi ametoa onyo kwa watu wanaojihusisha na uendeshaji wa madanguro na shughuli za ukahaba, akibainisha kuwa sheria inakataza kumiliki au kunufaika na mapato yatokanayo na biashara hiyo pamoja na kushiriki kwa namna yoyote ile.
michuzi.co.tz โAmesema sheria inakataza kumiliki au kunufaika na mapato yatokanayo na biashara hiyo pamoja na kushiriki kwa namna yoyote ile.
michuzi.co.tz โKatambi said Gender Desks within law enforcement agencies should take firm action against anyone found engaging in such activities in order to safeguard the moral and social foundations of Tanzanian society.
dailynews.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Aidha, alisema Tanzania kwa sasa inazalisha takribani lita bilioni 4.1 za maziwa kwa mwaka huku mahitaji ya taifa yakikadiriwa kufikia lita bilioni 13 kwa mwaka.
michuzi.co.tz โAidha, alisema Tanzania kwa sasa inazalisha takribani lita bilioni 4.1 za maziwa kwa mwaka huku mahitaji ya taifa yakikadiriwa kufikia lita bilioni 13 kwa mwaka.
michuzi.co.tz โTanzania kwa sasa inazalisha takribani lita bilioni 4.1 za maziwa kwa mwaka, wakati mahitaji ya taifa yanakadiriwa kufikia lita bilioni 13 kwa mwaka.
michuzi.co.tz โNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk Fabian Madele, amesema licha ya Tanzania kuzalisha takribani lita bilioni 4.1 za maziwa kwa mwaka, bado kiwango hicho hakitoshelezi mahitaji ya taifa yanayofikia lita bilioni 13 kwa mwaka.
mwananchi.co.tz โ
ECONOMY
4
4
2
Poverty Rate Declines to 25.1% in 2025
Maelezo ya Ziada
The 2025 Household Income and Expenditure Survey shows that basic needs poverty in Mainland Tanzania declined to 25.1 percent, from 26.4 percent in 2018.
dailynews.co.tz โResults from the 2025 Household Budget Survey showed that 25.1 percent of Tanzania Mainland still live below the basic needs poverty line, although the figure has steadily declined from 34.4 percent in 2007 and 26.4 percent in 2018.
dailynews.co.tz โbasic needs poverty in Mainland Tanzania declined to 25.1 percent, from 26.4 percent in 2018
allafrica.com โThe findings indicate that basic needs poverty in Mainland Tanzania continued to decline, with the proportion of the population living below the basic needs poverty line falling to 25.1 per cent in 2025, down from 34.4 per cent in 2007.
dailynews.co.tz โ
TECHNOLOGY
3
3
2
Showcasing of Electric and Hybrid Vehicles at 2026 Trade Fair
Maelezo ya Ziada
Waziri Kapinga amesema maonesho ya mwaka 2026 yamebeba teknolojia mbalimbali za kisasa, ikiwemo magari yanayotumia umeme, magari ya mseto (hybrid), magari yanayotumia gesi asilia (CNG) kwa asilimia 100 pamoja na mitambo ya kisasa inayotumia umeme, hatua inayoonesha ukuaji wa sekta ya viwanda na matumizi ya teknolojia rafiki kwa mazingira.
mzalendo.co.tz โWaziri Kapinga amesema maonesho ya mwaka 2026 yamebeba teknolojia mbalimbali za kisasa, ikiwemo magari yanayotumia umeme, magari ya mseto (hybrid), magari yanayotumia gesi asilia (CNG) kwa asilimia 100 pamoja na mitambo ya kisasa inayotumia umeme, hatua inayoonesha ukuaji wa sekta ya viwanda na matumizi ya teknolojia rafiki kwa mazingira.
michuzi.co.tz โWaziri Kapinga amesema maonesho ya mwaka 2026 yamebeba teknolojia mbalimbali za kisasa, ikiwemo magari yanayotumia umeme, magari ya mseto (hybrid), magari yanayotumia gesi asilia (CNG) kwa asilimia 100 pamoja na mitambo ya kisasa inayotumia umeme, hatua inayoonesha ukuaji wa sekta ya viwanda na matumizi ya teknolojia rafiki kwa mazingira.
michuzi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amewataka Watanzania kuendelea kutembelea Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), akisema maonesho ya mwaka huu 2026 yameonesha mafanikio makubwa ya maendeleo ya viwanda, ubunifu wa teknolojia na ubora wa bidhaa zinazozalishwa nchini.
mzalendo.co.tz โWaziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amewataka Watanzania kuendelea kutembelea Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), akisema maonesho ya mwaka huu 2026 yameonesha mafanikio makubwa ya maendeleo ya viwanda, ubunifu wa teknolojia na ubora wa bidhaa zinazozalishwa nchini.
michuzi.co.tz โWaziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amewataka Watanzania kuendelea kutembelea Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), akisema maonesho ya mwaka huu 2026 yameonesha mafanikio makubwa ya maendeleo ya viwanda, ubunifu wa teknolojia na ubora wa bidhaa zinazozalishwa nchini.
michuzi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Aidha, juhudi hizo zinaunga mkono utekelezaji wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), kwa lengo la kuimarisha biashara ya kikanda, kuvutia mitaji mipya na kufungua fursa zaidi za maendeleo ya uchumi endelevu nchini Tanzania na barani Afrika.
ippmedia.co.tz โAidha, juhudi hizo zinaunga mkono utekelezaji wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), kwa lengo la kuimarisha biashara ya kikanda, kuvutia mitaji mipya na kufungua fursa zaidi za maendeleo ya uchumi endelevu nchini Tanzania na barani Afrika.
michuzi.co.tz โAidha, juhudi hizo zinaunga mkono utekelezaji wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), kwa lengo la kuimarisha biashara ya kikanda, kuvutia mitaji mipya na kufungua fursa zaidi za maendeleo ya uchumi endelevu nchini Tanzania na barani Afrika.
michuzi.co.tz โ
CONSTRUCTION
3
3
2
Launch of Multiple Development Projects at Kizimkazi Festival 2026
Maelezo ya Ziada
Katika tamasha hilo miradi mbalimbali ya maendeleo itazinduliwa.
michuzi.co.tz โKatika tamasha hilo miradi mbalimbali ya maendeleo itazinduliwa.
michuzi.co.tz โMahfodh alisema tamasha la mwaka huu litaambatana na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayolenga kuboresha maisha ya wananchi wa Kizimkazi.
globalpublishers.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Endapo hali itaendelea kuwa tete katika Mlango wa Hormuz, wachambuzi wanaonya kuwa usafirishaji wa mafuta na gesi duniani unaweza kuathirika, jambo litakaloongeza shinikizo kwa uchumi wa kimataifa.
globalpublishers.co.tz โMigogoro au mashambulizi kwenye eneo hili yanaweza kusababisha uhaba wa mafuta, kupanda kwa bei, na kuathiri biashara ya kimataifa.
ippmedia.co.tz โMvutano huo pia umeathiri usafirishaji wa nishati duniani baada ya angalau meli nne za mafuta na gesi kubadili njia na kuacha kuvuka Mlango wa Hormuz kutokana na hofu ya usalama.
globalpublishers.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Amependekeza hospitali ya Kibong'oto kuweka nyaraka zake yenye zaidi ya miaka 100 katika mfumo wa kidijitali na kuzichambua kisayansi, ili kufungua njia mpya za kuelewa usugu wa dawa na mabadiliko ya magonjwa.
ippmedia.co.tz โAmefafanua Mhe. Mchengerwa Amependekeza hospitali ya Kibong'oto kuweka nyaraka zake yenye zaidi ya miaka 100 katika mfumo wa kidijitali na kuzichambua kisayansi ili kufungua njia mpya za kuelewa usugu wa dawa na mabadiliko ya magonjwa.
michuzi.co.tz โAmefafanua Mhe. Mchengerwa Amependekeza hospitali ya Kibong'oto kuweka nyaraka zake yenye zaidi ya miaka 100 katika mfumo wa kidijitali na kuzichambua kisayansi ili kufungua njia mpya za kuelewa usugu wa dawa na mabadiliko ya magonjwa.
michuzi.co.tz โ
EDUCATION
3
3
2
UNESCO's Support for Kiswahili Language Development
Maelezo ya Ziada
Mapema, Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Prof. Khaled El-Enany aliwaeleza washiriki wa maadhimisho hayo kwamba shirika lake limesaidia kufadhili uandaaji wa kamusi ya Kifaransa kwenda Kiswahili.
habarileo.co.tz โMkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Prof. Khaled El-Enany aliwaeleza washiriki wa maadhimisho hayo kwamba shirika lake limesaidia kufadhili uandaaji wa kamusi ya Kifaransa kwenda Kiswahili.
michuzi.co.tz โMkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Prof. Khaled El-Enany aliwaeleza washiriki wa maadhimisho hayo kwamba shirika lake limesaidia kufadhili uandaaji wa kamusi ya Kifaransa kwenda Kiswahili.
michuzi.co.tz โ
POLITICS
3
3
2
Kiswahili Recognized as Official Language of EAC and SADC
Maelezo ya Ziada
Waziri Mkuu ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema sasa hivi Kiswahili kimeshatambulika kuwa lugha rasmi ya EAC na SADC.
habarileo.co.tz โWaziri Mkuu ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema sasa hivi Kiswahili kimeshatambulika kuwa lugha rasmi ya EAC na SADC.
michuzi.co.tz โWaziri Mkuu ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema sasa hivi Kiswahili kimeshatambulika kuwa lugha rasmi ya EAC na SADC.
michuzi.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
hatua inayoonesha dhamira ya kuboresha upatikanaji wa huduma za afya, hususan katika maeneo ya vijijini.
michuzi.co.tz โhatua inayoonesha dhamira ya kuboresha upatikanaji wa huduma za afya, hususan katika maeneo ya vijijini.
michuzi.co.tz โAmesema Serikali imeendelea kuweka mkazo katika kuboresha sekta ya afya kwa kujenga na kuimarisha miundombinu ya kutolea huduma, hatua inayosaidia kupunguza changamoto ya wananchi kutembea umbali mrefu kufuata matibabu.
habarileo.co.tz โ
TECHNOLOGY
3
3
2
Investment in Modern Technology to Boost Production Quality
Maelezo ya Ziada
Amesisitiza kuwa uwekezaji mkubwa katika teknolojia za kisasa una mchango mkubwa katika kuongeza kiwango cha uzalishaji, kuboresha ubora wa bidhaa zinazotengenezwa nchini, kupunguza gharama za uendeshaji, na kuzipa bidhaa za Tanzania uwezo mkubwa wa kushindana katika soko la kimataifa.
mzalendo.co.tz โAmesisitiza kuwa uwekezaji mkubwa katika teknolojia za kisasa una mchango mkubwa katika kuongeza kiwango cha uzalishaji, kuboresha ubora wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
michuzi.co.tz โAmesisitiza kuwa uwekezaji mkubwa katika teknolojia za kisasa una mchango mkubwa katika kuongeza kiwango cha uzalishaji, kuboresha ubora wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.
michuzi.co.tz โ
FINANCE
3
3
2
NMB Kikundi Mini App Launch for Group Management
Maelezo ya Ziada
Benki ya NMB imesema huduma ya NMB Kikundi Mini App, iliyopo ndani ya NMB Mkononi Super App, imebuniwa kurahisisha usimamizi wa vikundi kwa kuwawezesha wanachama na viongozi kupata huduma za kifedha kidigitali kwa usalama, uwazi na ufanisi zaidi.
michuzi.co.tz โBenki ya NMB imesema huduma ya NMB Kikundi Mini App, iliyopo ndani ya NMB Mkononi Super App, imebuniwa kurahisisha usimamizi wa vikundi kwa kuwawezesha wanachama na viongozi kupata huduma za kifedha kidigitali kwa usalama, uwazi na ufanisi zaidi.
michuzi.co.tz โBenki ya NMB imesema huduma ya NMB Kikundi Mini App, iliyopo ndani ya NMB Mkononi Super App, imebuniwa kurahisisha usimamizi wa vikundi kwa kuwawezesha wanachama na viongozi kupata huduma za kifedha kidigitali kwa usalama, uwazi na ufanisi zaidi.
swahilitimes.co.tz โ
Maelezo ya Ziada
Prosper alisema mfumo huo unapunguza muda na gharama za kupata huduma za benki, huku ukiimarisha usalama wa miamala na kurahisisha shughuli za vikundi mbalimbali vya kijamii na kiuchumi.
michuzi.co.tz โMeneja wa Kanda, Huduma za Vikundi na Benki Vijijini wa NMB, Dismas Prosper, alisema mfumo huo unapunguza muda na gharama za kupata huduma za benki, huku ukiimarisha usalama wa miamala na kurahisisha shughuli za vikundi mbalimbali vya kijamii na kiuchumi.
michuzi.co.tz โMeneja wa Kanda, Huduma za Vikundi na Benki Vijijini wa NMB, Dismas Prosper, alisema mfumo huo unapunguza muda na gharama za kupata huduma za benki, huku ukiimarisha usalama wa miamala na kurahisisha shughuli za vikundi mbalimbali vya kijamii na kiuchumi.
swahilitimes.co.tz โ