Mada zilizoorodheshwa
POLITICS Jun 29, 2026 3 nukuu ยท 3 makala ยท 3 vyanzo

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba's Call to Address Signs of National Security Breaches

Vyanzo: globalpublishers.co.tz, ippmedia.co.tz, mzalendo.co.tz

Maelezo na vyanzo

Sasa hivi hatupaswi kupuuzia viashiria vya uvunjifu wa amani hapa nchini. Hatutakiwi kuvipuuza kwa sababu vimetuachia doa.
mzalendo.co.tz โ†—
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania waendelee kuhimizana kuhusu ulinzi wa Taifa na kamwe wasipuuze viashiria vya uvunjifu wa amani.
globalpublishers.co.tz โ†—
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuendelea kushirikiana katika kulinda amani na usalama wa nchi kwa kutopuuzia viashiria vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa Taifa.
ippmedia.co.tz โ†—
Uliza chochote kuhusu mada hii โ€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.