Market Analyst
Inapakia…
Bei za hisa leo na bei ya hisa za kampuni zilizoorodheshwa DSE. Leo: CRDB TSh 2,590, NMB TSh 17,580, TBL TSh 10,000. Linganisha hisa, mifuko, dhamana na viwango vya fedha za kigeni.
Share prices today (DSE): CRDB TSh 2,590, NMB TSh 17,580, TBL TSh 10,000.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeahidi kutekeleza mpango wa Serikali wa kuwawezesha wanawake na vijana katika mnyororo wa thamani wa kilimo, ikisema tayari imeanza kutoa huduma za kifedha kwa wakulima na vyama vya ushirika.
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewataka wananchi kujiunga na bima ya afya ili kuepuka kuuza mali na kutumia akiba waliyoitunza pindi wanapougua na kukabiliwa na gharama za matibabu. Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa NHIF, Angela Mziray, ameyasema hayo wakati akizungum…
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuanza kutumika kwa Kanuni za Fedha za Kigeni (Marekebisho) za Mwaka 2026, zinazowaruhusu wawekezaji wote wasio wakazi kuwekeza katika dhamana za Serikali za muda mfupi na muda mrefu zinazotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzani…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kutoa elimu kuhusu mabadiliko ya Sheria na Taratibu za Forodha yaliyotokana na Sheria ya Fedha ya mwaka 2026, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuwawezesha wadau wa forodha kuelewa na kutekeleza ipasavyo mabadiliko hayo. Mafunzo hayo yamefa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amesema kaulimbiu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ya "Tunalipa Jana" si kauli tu, bali inatekelezwa kwa vitendo na imeonyesha ukwasi wa Mfuko huo kupitia ulipaji wa mafao …
Serikali imeweka mikakati mipya ya kupunguza matumizi ya fedha taslimu na kuziba mianya inayoweza kutumika katika utakatishaji wa fedha haramu kwa kuanzisha utaratibu wa lazima wa matumizi ya mifumo ya malipo ya kidijitali katika miamala mbalimbali nchini. Hatua hiyo imewekwa kup…
Private businesses in Tanzania are set to gain improved access to long-term financing through capital markets following a strategic partnership between the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) and the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), aimed at strengthening private sector …
The Bank of Tanzania (BoT) has issued draft Regulatory Reporting Guidelines for Non-Interest Banking Business, marking another step toward strengthening the country's regulatory framework for Islamic finance as demand for Shari'ah-compliant banking products continues to grow. The…
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Tafiti na Uchumi Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Suleiman Misango, ameshangazwa na jinsi Mfumo wa PSSSF Portal, ulivyoweza kutoa taarifa za wanachama wa PSSSF kwa haraka tangu alipoanza ajira hadi hivi sasa. Ameyasema hayo, Agosti 4, 2026 wakati akito…
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka watanzania wanaopeana zawadi kwa njia ya kutunzana pesa taslimu katika sherehe mbalimbali nchini, waelekeze utaratibu huo kwa njia mifumo ya malipo ya kidijitali. Hayo yamesemwa leo Agosti 4,2026 na Afisa Mwandamizi (BoT) Fredriki Mwakuu, al…
This article delves into the journey of forex trading in Tanzania, discussing its growth, the experiences of traders, and the challenges they face in the financial market. Key insights from an industry expert highlight the evolution of trading practices in the country.
In a recent podcast episode, a prominent network marketer shares his journey, emphasizing the importance of dreams, decisions, and mentorship for achieving financial freedom. He reflects on personal challenges and the pivotal choices that have shaped his success.
Kadi inaonyesha idadi ya viwanja (offers) vilivyo na ripoti ya hivi karibuni kwa kila wakala. Bofya kuchagua kiwanja na kusoma ripoti (Markdown).
Market, Mitandao ya kijamii na Habari: ripoti wazi bila akaunti. Fundamentals na wakala wengine wanahitaji usajili wa bure kuona ripoti.
Inapakia…
Inapakia…
Inapakia…
Inapakia…
Inapakia…
Inapakia…
Inapakia…
Inapakia…