Michezo
Habari mpya za michezo, uchambuzi wa mechi, na matukio muhimu uwanjani kutoka ligi mbalimbali.
โค๏ธ Vipendwa vyako
Mechi Zinazokuja
Mechi zinazokaribia
Misimu Inayokuja
Mashindano yanayokaribia
Misimu ya Sasa
Mashindano yanayoendelea sasa
FAN PREDICTION
Nani atainua kombe 2027?
Inapakiaโฆ
Kwa nini uka sema hilo?
Asante!
Utakuja AFCON 2027?
Viwanja Kenya ยท Tanzania ยท Uganda
Habari
YANGA DAY : YANGA SC YAPOTEZA 2-1 DHIDI YA AIGLES DU CONGO
Kikosi cha Yanga SC kimepata matokeo yasiyoridhisha baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Aigles du Congo katika mchezo wa kirafiki uliochezwaโฆ
Ghalib Said Mohamed Ahudhuria Yanga Day Uwanja wa Uhuru
Rais wa GSM Group, Ghalib Said Mohamed, amehudhuria hafla ya Yanga Day inayofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru, Dar esโฆ
Sparta Rotterdam Uso kwa Uso Feyenoord Mzunguko wa Kwanza wa Ligi Eredivisie 2026/27
Loo Jumapili, tarehe 9 Agosti 2026, katika uwanja wa Sparta-Stadion Het Kasteel. itapigwa Mechi ya ufunguzi wa msimu mpya waโฆ
Orodha ya wachezaji waliosajiliwa Yanga SC 2026/27 | Benchi la ufundi | SportPesa Blog
Wananchi hawana jambo dogo kuna orodha ya wachezaji waliosajiliwa Yanga SC 2026/27 wazawa na wageni tayari kwa kazi. Miongoni mwa jina ambalo limekuwa gumzo ni Peter Shalulile raia wa Afrika Kusini. Chuga Boy kutoka Fountain Gate alikuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa. Mabingwa hao watetezi wana benchi jipya ambalo litakuwa na kazi kuwanoa wachezaji katika mechi [โฆ]
Mansfield Town dhidi ya Sheffield United Raundi ya Kwanza Carabao Cup
MECHI hii ya kufuzu itachezwa leo Jumapili, tarehe 9 Agosti 2026, katika uwanja wa One Call Stadium, makazi ya Mansfield Town. Mansfield Town watapambana na Sheffield United katika raundi ya kwanza ya Carabao Cup wikendi kabla ya msimu mpya wa Ligi kuanza kwa Stags dhidi ya Doncaster Rovers tarehe 15 Agosti. Kwa upande wa Mansfield Town, hii itakuwa mechi ya kwanza ya msimu mpya kabla ya kuanza k
Kamachumu Stars bingwa kombe la Mwijage
KAGERA: Timu ya Kamachumu Stars imeibuka bingwa wa mashindano ya Paul Mwijage Cup baada ya kuifunga Kanoni FC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali na kujinyakulia kitita cha Sh milioni 3. Mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 20 kutoka Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, yamekuwa kivutio kwa mamia ya wananchi huku yakitoa fursa โฆ
Baba wa Messi afariki dunia
Nyota wa soka Lionel Messi amepoteza baba yake mzazi, Jorge Messi, aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68 mjini Rosario, Argentina, leo. Jorge, ambaye pia alikuwa meneja wa muda mrefu wa mwanaye, alifariki baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa na kupata matibabu katโฆ
VG Fun Run 2026 with 250+ Participants in Dar es Salaam
ZAIDI ya washiriki 250 wanatarajiwa kujitokeza katika mbio za Victoria Group (VG) Fun Run 2026, zitakazofanyika kwa mara ya kwanza kesho, Agosti 8, huku maandalizi ya tukio hilo yakifikia asilimia 100.
Shime: Twiga Stars kurejea imara WAFCON
WAKATI Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Bakari Shime, amewaomba radhi kwa kikosi chake kushindwa kufikia malengo, ameahidi watarejea wakiwa imara zaidi katika fainali zijazo za Kombe la Mataifa Afrika (WAFCON). Twiga Stars imemaliza katika nafasi ya tatu hukโฆ
Arsenal yakubaliwa kumsajili Guimarรฃes
MABINGWA wa Ligi Kuu England, Arsenal wamefikia makubaliano na Newcastle United ya kumsajili kiungo na nahodha wa klabu hiyo, Bruno Guimarรฃes, kwa ada ya pauni milioni 75. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Guimarรฃes amepewa ruhusa ya kusafiri kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya kablโฆ
๐ LIGI KUUTTA targets schools to expand tennis nationwide
THE Tanzania Tennis Association (TTA) has unveiled plans to expand tennis development by introducing the sport to more schools across the country as part of its long-term strategy to grow the game from the grassroots. TTA Vice President Rajabu Borry said the association is keen tโฆ
Barker hails Simba progress after Al Merrikh victory
SIMBA SC head coach Steve Barker expressed satisfaction with his side's continued progress after the Tanzanian giants defeated Sudanese club Al Merrikh 2-0 in an international friendly played at the FERWAFA Stadium in Kigali, Rwanda. Goals from Libasse Gueye and Ibrahim Doumbia sโฆ
Shime proud of Twiga Stars despite WAFCON exit
TANZANIA women's national team head coach Bakari Shime has praised the determination and fighting spirit of his players despite their 2-1 defeat to Ivory Coast, a result that brought Twiga Stars' campaign at the CAF Women's Africa Cup of Nations (WAFCON) 2026 to an end. Tanzania โฆ
๐ Women's Africa Cup of NationsVozinha: Niko tayari kuonesha ubora wangu
GOLIKIPA wa timu ya taifa ya Cape Verde, Josimar Josรฉ รvora Dias โVozinhaโ amesema yuko tayari kuanza ukurasa mpya wa maisha yake ya soka baada ya kutambulishwa rasmi na mabingwa wa Chile, Colo-Colo, akisisitiza kuwa siku zote aanaamini ana uwezo wa kucheza katika klabu kubwa. Voโฆ
Tanzania's CAF quartet await continental fate
TANZANIA's four representatives in the 2026/27 CAF inter-club competitions will discover their preliminary round opponents today when the Confederation of African Football (CAF) conducts the draws at its headquarters in Cairo, Egypt. Young Africans (Yanga) and Simba will fly the โฆ
Salah sasa rasmi atua Trabzonspor
MSHAMBULIAJI nyota wa Misri, Mohamed Salah, tayari amekamilisha dili la kujiunga na klabu ya Trabzonspor baada ya kuondoka Liverpool mwishoni mwa msimu uliopita. Klabu hiyo ya Uturuki imethibitisha kuwa mazungumzo yanaendelea na nyota huyo ambaye anatarajiwa kutua Istanbul kabla โฆ
Shalulile kuipaisha Yanga SC Kimataifa
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Peter Shalulile, ameahidi kwa kushirikiana na wachezaji wengine wataifanya Yanga kuwa tishio si Tanzania tu bali hata kwa timu zingine barani Afrika. Akizungumza juzi usiku alipotua nchini kujiunga na kikosi hicho baada ya kusajiliwa mwishoni mwa mweziโฆ
Sababu taifa kukosa golikipa bora zatajwa
GOLIKIPA wa zamani wa klabu ya Simba, Idd Pazi 'Father', amesema kwa sasa taifa linakosa kuwa na magolikipa wa viwango vya juu kufikia kuwa 'Tanzania One' kwa kuwa wengi hawapendi kujituma na kufanya mazoezi ya ziada kama ilivyokuwa wakati wao. Akizungumza katika mahojiano maalumโฆ
Polisi Tanzania FC yawanasa watatu
WACHEZAJI wazoefu kwenye Ligi Kuu, Jaffar Kibaya, Oscar Masai na Ally Mwambungu sasa ni rasmi wachezaji wa Polisi Tanzania FC iliyopanda daraja msimu huu Taarifa iliyotolewa jana na klabu hiyo imesema imeamua kusajili baadhi ya wachezaji wazoefu wa ligi ili kuiimarisha timu hiyo โฆ
๐ LIGI KUUShalulile: Yanga's ambition won me over
NEW Young Africans SC (Yanga) signing Peter Shalulile has revealed that the club's rich history, passionate fan base and winning culture were the main reasons behind his decision to join the Tanzanian champions despite attracting interest from several clubs across Africa. The Namโฆ
Tanzania must unite to win medals again - Nyambui
FORMER Athletics Tanzania (AT) secretary general Suleiman Nyambui has called on all sports stakeholders to unite and develop a long-term strategy to restore Tanzania's status as a medal-winning nation at major international competitions. Nyambui, who is also a veteran athletics cโฆ
Yanga bolster defence with Comara capture
YOUNG Africans SC (Yanga) have officially completed the signing of Ivorian defender Oumar Farouk Comara, further strengthening their squad ahead of the 2026/27 season as the Tanzanian champions continue an ambitious rebuilding project under new head coach Manqoba Mngqithi. The clโฆ
Azam handed CAF Confederation Cup bye
AZAM FC have received a major boost ahead of the 2026/27 CAF Confederation Cup after being granted a bye to the second preliminary round of the competition. The Confederation of African Football (CAF) has confirmed that the Tanzanian club will not participate in the first prelimiโฆ
๐ CAF Confederation CupTCA unveils Tanzania Cricket Arena in Dar
CRICKET stakeholders in Tanzania, last weekend, witnessed a memorable occasion, as the Tanzania Cricket Association (TCA) officially opened the new cricket facility, Tanzania Cricket Arena, in Dar es Salaam. The Chairman of ICC Associate Members, Gurumurthy Palani, ICC Global Patโฆ
Hersi admits Yanga fell short despite trophy success
YOUNG Africans SC (Yanga) President Eng. Hersi Said has delivered a candid assessment of the club's 2025/26 campaign, admitting that despite winning silverware, the team's overall performances did not meet the expectations of the management, players or supporters. Speaking as Youโฆ
Vozinha awalisi Chile kusaini Colo-Colo
GOLIKIPA wa timu ya taifa ya Cape Verde, Josimar Josรฉ รvora Dias, anayefahamika zaidi kwa jina la Vozinha, amewasili nchini Chile kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na mabingwa wa soka wa nchi hiyo, Colo-Colo, baada ya kung'ara kwa kiwango cha juu kwenye Kombe la Dunia 2026. Vโฆ
Tanzania's female cricketers finish third in 2026 Capricorn Eagles T20I Series
SAUM Godfrey excelled with the bat as Tanzania's senior national women's cricket team settled for the third place in the Capricorn Eagles T20I Series 2026, defeating Hong Kong, China by seven wickets in the 3rd/4th Place Playoff in Windhoek, Namibia last weekend. The industrious โฆ
Semenyo akunwa na staili ya Maresca
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Antoine Semenyo, ameisifu staili ya kocha mpya, Enzo Maresca kama "muziki masikioni mwangu" baada ya kuonesha dalili za awali za nafasi yake chini ya Muitaliano huyo. City walipoteza kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Inter Milan katika mchezo wa kwaโฆ
Alonso: Kovu la Real Madrid limepona
XABI Alonso Amesema 'kovu' alilopata kutokana na muda wake mfupi Real Madrid limepona, na kumruhusu kuzingatia kikamilifu kuipeleka Chelsea katika msimu mpya wa Ligi Kuu England. Raia huyo wa Hispania alichukua usukani huko Bernabรฉu baada ya kipindi kizuri sana kule Bayer Leverkuโฆ
๐ LIGI KUUWakala: Warembo, starehe chanzo wachezaji wa kigeni kufeli Bongo
Wakala anayetambulika na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Roland Ekokobe, amefichua kuwa baadhi ya wachezaji wa kigeni hushuka kiwango wanapokuja kucheza soka nchini kutokana na kuathiriwa na mazingira, ikiwemo uwepo wa maeneo mengi ya starehe na vishawishi mbalimbali. Akizunguโฆ
Yanga posts TSh29.36bn revenue, TSh17.5m surplus
YOUNG Africans Sports Club (Yanga) generated a remarkable TSh29.36 billion in revenue during the 2025/26 financial year, with the club finishing the period with a modest surplus of TSh17.51 million, according to the financial report presented at the club's Annual General Meeting โฆ
12 Economic Opportunities from Tanzania Hosting AFCON 2027
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetangaza fursa 12 zitakazotokana na Tanzania kuwa mwenyeji mwenza wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika AFCON 202, ambacho kitafungua zaidi milango ya maendeleo ya uchumi, ajira, biashara, utalii na uwekezaji nchini.
Infrastructure Improvements for AFCON 2027 Hosting
Ameongeza kuwa maandalizi ya AFCON tayari yamechochea maboresho makubwa ya miundombinu ikiwamo ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, ujenzi wa viwanja vipya Arusha na kule Zanzibar.
Promotion of Tanzanian Culture through AFCON 2027
Amesema mashindano hayo yatatoa jukwaa la kutangaza utamaduni wa Tanzania kupitia muziki, vyakula, sanaa, mavazi na lugha ya Kiswahili.
Infrastructure Improvements for AFCON 2027 in Arusha
Serikali kupitia Walala wa Barabara Tanzania - TANROAD mkoa wa Arusha, imeanza kwa kasi utekelezaji wa ujenzi wa Barabara ya mzunguko kuanzIa Kona ya Mbauda - Losinyai na Losinyai - Tanganyika Packer Ikiwa ni sehemu ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara Jiji la Arusha kwaajili ya maandalizi ya Mashindano ya mpira wa Miguu Afrika -AFCON yanayotarajiwa kufanyika Arusha mwaka 2027.
"Ni wazi serikali iko Tayari kuukuza mchezo wa Rugby Tanzania" - Anthony Dawa
Anthony Dawa, Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), akizungumza kwenye kipindi cha SPORTS KIJIJI "michezo kiganjani mwako" ndani ya Mtawala Radio.
๐ Rugby Premier LeagueJe Rugby ni mchezo wa aina gani?
Katibu wa Tanzania Rugby Union (TRU) akifafanua kuhusu mchezo wa Rugby kwenye kipindi cha 2Dimbani.
๐ Rugby Premier LeagueDodoma Rugby Week Preview
Dodoma Rugby Week litafanyika Mei,2026 huku mataifa mbalimbali yakijitokeza kushiriki.
๐ Rugby Premier LeagueUpcoming Nanauka CRDB Jimbo Cup to involve all Mtwara Urban wards
Nanauka revealed that a larger competition, the Nanauka CRDB Jimbo Cup, is set to start in June and will involve teams from all wards in Mtwara Urban constituency.
๐ CRDB Federation CupSPORTS KIJIJI: Tunakuza vipi mchezo wa Rugby kuwa maarufu Tanzania?
Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), Anthony Dawa, akizungumzia mikakati ya kukuza rugby nchini Tanzania kupitia kipindi cha SPORTS KIJIJI ndani ya Mtawala Radio.
Mchuano wa ubingwa: Yanga na Simba Wanaelekea Kwenye Hatua ya Maamuzi
Yanga SC na Simba SC zimejiandaa kwa mchuano wa kuamua bingwa wa Ligi Kuu Tanzania. Mechi hii inatarajiwa kuwa ya kihistoria na yenye mvutano mkubwa.
Hakuna habari zinazolingana na utafutaji wako.
Mashindano
Kombe la Mataifa la Afrika (AFCON) โ mashindano makubwa ya soka barani Afrika. Msimu wa 2027 (TotalEnergies CAF AFCON PAMOJA 2027) unaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania, na Uganda (19 Juni โ 17 Julai 2027) โ mara ya kwanza mashindano kuandaliwa na nchi tatu, na kurudi Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza tangu miaka 51. Timu 24 zitashindana kwenye fainali. Mchujo: timu 48 katika makundi 12 (AโL), mechi za nyumbani na ugenini (mechi-siku 6). Timu mbili bora za kila kundi zinastahili fainali. Wenyeji Kenya (Kundi D), Uganda (Kundi H) na Tanzania (Kundi L) wamehitimu otomatiki โ katika makundi hayo, ni timu moja bora isiyo mwenyeji pekee inayostahili. Dirisha za FIFA: 21 Sepโ6 Okt 2026; 9โ17 Nov 2026; 22โ30 Mar 2027. The 2027 Africa Cup of Nations (PAMOJA 2027) is co-hosted by Kenya, Tanzania, and Uganda (19 June โ 17 July 2027) โ the first three-nation AFCON and East Africaโs first in 51 years. Twenty-four nations contest the finals. Qualifiers: 48 teams in 12 groups (AโL), home-and-away (six matchdays). Top two in each group advance, except host groups D (Kenya), H (Uganda) and L (Tanzania): hosts are auto-qualified, so only the highest-ranked non-host in those groups qualifies. FIFA windows: 21 Sepโ6 Oct 2026; 9โ17 Nov 2026; 22โ30 Mar 2027.
Mashindano ya ngumi Afrika Zone III Aprili 26, 2026 Dar es Salaam. Timu za Tanzania, Kenya, Uganda.
Makao ya mbio, kurusha, kuruka na kutembea. Pata habari za wanariadha bora duniani na mashindano ya uwanjani.
Mashindano ya umbo bora nchini Tanzania. Vikundi tofauti kutoka vijana hadi wazima.
Ligi ya mabingwa Afrika inayoshirikisha timu bora. Simba SC na Yanga SC ni washiriki wa kudumu.
Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga ilifika fainali 2023, ikionyesha ubora wa soka la Tanzania.
Mashindano ya kitaifa ya chess chini ya Tanzania Chess Federation. Wachezaji bora kutoka mikoa yote.
CONCACAF W Championship 2026 (27 November โ 5 December) in the United States. Eight teams in a knockout format; the four semi-finalists qualify directly for the FIFA Women's World Cup Brazil 2027.
Mashindano makuu ya mtoano nchini Tanzania yanayoshirikisha timu za madaraja yote.
DAREVA League 2026 โ Dar es Salaam regional volleyball league organised by the Dar es Salaam Regional Volleyball Association. Commenced 28 February 2026; hosted primarily at KIUT (Kampala International University in Tanzania), Gongo la Mboto. Confirmed menโs clubs: Nyika VC, KIUT VC, Jeshi Stars, Bandari VC, JKT, Tanzania Prisons.
Ligi ya darts Dar es Salaam yenye mashindano ya baa na vilabu. Mchezo wa ustadi na burudani.
Mchuano wa kuondoa timu za ligi zote Tanzania Bara. Historia ndefu tangu 1967.
FEASSA (Federation of East Africa Schools Sports Association) โ mashindano ya kikanda ya shule za Afrika Mashariki. Toleo la 2026: Morogoro, Tanzania, 12โ23 Agosti 2026. Ofisi ya Rais โ TAMISEMI ndiyo msimamizi mkuu wa timu zinazoiwakilisha Tanzania. Wachezaji huchaguliwa kutoka mashindano ya kitaifa ya shule za msingi (UMITASHUMTA) na sekondari (UMISSETA). Nchi zinazoshiriki: Tanzania (mwenyeji), Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, na South Sudan. Chagua mchezo hapa chini (sekondari, msingi, au SNE) kuona msimamo, matokeo na ratiba.
Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA โ mashindano makubwa ya soka la wanawake duniani. Msimu wa 2027 (Brazil) ni mara ya kwanza mashindano kuandaliwa Amerika Kusini: mechi 64 katika miji minane (Belo Horizonte, Brasรญlia, Fortaleza, Porto Alegre, Recife, Rio de Janeiro, Salvador, Sรฃo Paulo), 24 Juni โ 25 Julai 2027. Timu 32; hadi sasa timu 14 zimehitimu (wakiwemo mwenyeji Brazil, Australia, China, Japan, South Korea, Philippines, North Korea, New Zealand, Germany, Denmark, Spain, France, Argentina, Colombia). Droo ya mwisho itafanyika baadaye mwaka huu. The 2027 FIFA Women's World Cup in Brazil is the first edition in South America โ 64 matches across eight host cities (24 June โ 25 July 2027). Thirty-two nations compete; 14 teams have qualified so far, including hosts Brazil. The final draw is scheduled for later in 2026.
The 2026 FIFA World Cup is the first 48-team edition, co-hosted by the United States, Mexico, and Canada (11 June โ 19 July 2026).
Mashindano maarufu ya mtaani (grassroots) yanayodhihirisha vipaji halisi na mshikamano wa jamii. The Ndondo Cup is a prominent grassroots football tournament in Tanzania, primarily based in Dar es Salaam. Since its inception in 2014, it has grown into one of the most popular community sports events in the country, often used as a platform for health advocacy and talent scouting. Seasons and finals (winners and runners-up where recorded): โข 1st (2014, August): Abajalo FC โ Temeke Market โข 2nd (2015, August): Far Jeuri โ Kauzu FC โข 3rd (2016, 31 July): Temeke Market FC โ Kauzu FC โข 4th (2017, 13 August): Misosi FC โ Goms United โข 5th (2018, 5 August): Manzese United โ Kivule United โข 6th (2019, August): Umoja wa Vijana (UVT) โ runner-up not listed โข 7th (2020, October): Kibangu Rangers โ runner-up not listed โข 8th (2021, 28 August): Vifundo FC โ Tabata All Stars โข 9th (2022, September): Bullet Force โ Vifundo FC โข 10th (2023, 3 September): Madenge FC โ Sinza Stars โข 11th (2024, 31 August): Azimio FC โ Soccer City The tournament typically features 32 teams in the main group stages, drawn from neighbourhoods in Dar es Salaam and occasionally other regions (e.g. Dodoma, Iringa, Mwanza). Notable teams by season (examples): 2024 (Dodoma & Dar es Salaam): winner Azimio FC (Buguruni), finalist Soccer City (Kigamboni); others include Tan-Zebras FC, Goms United, Faru Jeuri, and community sides from Dodoma, Iringa, and Mwanza. 2023: Madenge FC (winner), Sinza Stars (finalist); Mabibo Market, Kibangu Rangers, Tandika City, Friends Rangers among participants. 2021: Vifundo FC (winner), Tabata All Stars (finalist); Kinondoni Utd, Kampala International, Bandari FC, Tandika FC among participants. 2016 group stage examples โ Group A: Faru Jeuri, TMK Market, Kinondoni FC, Vijana Rangers. Group B: Boom FC, Temeke Squad, Abajalo FC, Kijiji FC. Group C: Tabata United, Keko Furniture, Stakishari, Mjivuni. Group D: Makumba FC, Kiluvya United, Aggrey SC, Broken Chain. Group E: Goms United, Wauza Matairi, Mtoni City, Urafiki Shooting. Group F: Misosi FC, Buguruni United, Jaki Pro, Friends Rangers. Group G: Kibada One FC, Mlalakuwa Rangers, Burudani FC, Ndanda FC. Group H: Kauzu FC, Madiba FC, Black Six, Keko Machungwa.
Mashindano ya taifa ya judo yanayochagua bingwa na timu za kimataifa.
The CECAFA Club Cup is the regional club tournament of East and Central Africa. Known as the Kagame Interclub Cup since 2002 (sponsored by Rwanda President Paul Kagame), the 2026 edition is in Kigali (24 July โ 7 August) with 12 clubs in groups AโC at Amahoro and Kigali Pelรฉ Stadiums. Group winners plus the best runner-up reach the semi-finals (4 August); the final is on 7 August. Prize money: champions US$30,000, runners-up US$20,000, third US$10,000. Live on Azam Sports 1 HD.
Mashindano ya karate kitaifa, shotokan na aina zingine chini ya shirikisho.
Mbio za kimataifa zinazofanyika chini ya mlima mrefu zaidi Afrika, zikivutia maelfu ya wakimbiaji.
Kilimanjaro Volleyball League (KVL26) โ inaugural regional season by the Volleyball Association of Kilimanjaro (VAKI). Launched 14 June 2026 at Ushirika Stadium, Moshi. Nineteen regional clubs in two separate tournaments: 11 menโs and 8 womenโs. Pick Menโs or Womenโs below for standings and fixtures.
Daraja la nne la soka, mikoa minne yenye makundi 7 kila moja. Msingi wa vipaji vya chini.
Muungano Cup 2026 โ mashindano ya soka yanayoadhimisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Msimu huu una mechi 7 (robo fainali 4, nusu fainali 2, fainali 1) kwenye New Amaan Complex, Zanzibar (21โ29 Aprili 2026). Timu 8: Yanga SC, Muembe Makumbi City, KVZ FC, Azam FC, Mlandege FC, Singida BS, Simba SC, na Mafunzo SC. Muungano Cup 2026 commemorates the Union of Tanganyika and Zanzibar. This edition is a single-elimination knockout (4 quarter-finals, 2 semi-finals, 1 final) at New Amaan Complex, Zanzibar (21โ29 April 2026). Eight teams: Yanga SC, Muembe Makumbi City, KVZ FC, Azam FC, Mlandege FC, Singida BS, Simba SC, and Mafunzo SC.
Ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Tanzania inayoshirikisha timu bora za kiume na kike.
The National Cup (Kombe la Taifa) โ annual knockout tournament featuring top clubs and regional combines on the TVF calendar.
Mashindano ya uogeleaji kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam na Arusha.
Northern Zone Volleyball League โ regional competition on the TVF pathway alongside DAREVA and Kilimanjaro.
Professional boxing (ndondi) in Tanzania โ fight cards, undercards, and national federation (BFT) championship windows. July 2026 highlights: โข Punch 2 Punch (Punch to Punch) โ 18 Jul, Mrina Hall, Manzese Tip Top, Dar es Salaam. Promoter: Three T Sports Promotion (3T). 15 bouts total. International main: Emmanuel Mwakyembe vs Harvey Mkacha (Malawi). Tickets: Regular 7,000 / VIP 15,000 / VVIP 30,000 TZS. โข Dar Boxing Derby 2026 โ Fri 24 Jul from 18:00, EACLC (East Africa Commercial & Logistics Center), Ubungo. Promoter: Meja Selemani Semunyu (Peak Time Media). 12 bouts total. Main: Juma Choki vs Tony Rashid (Crown New Model car). Co-main: Dulla Mbabe vs Hussein Itaba. Live on Azam Sports 3 HD. Tickets (Otapp): Regular 10,000 / VIP B 30,000 / VIP A 100,000 TZS. โข Knockout ya Mama Season 9 (Mafia Boxing Promotion / Ally Zayumba) โ Fri 31 Jul, EACLC Ubungo. ~10 bouts. Main: Ibrahim Mafia vs Samuel Martei (Ghana) โ WBC International Silver Bantamweight. Co-main: Mchanja Yohana vs TBA (Philippines) โ WBC International Silver. Also Richard Mtangi (Duma) vs Shakul Shamed โ WBO Africa. Live on Azam Sports 3 HD. (Mfaume Mfaume vs Iddy Pialali postponed.) โข Knockout ya Mama Season 8 (past) โ Fri 24 Apr 2026, EACLC Ubungo; slogan โVita ya Kisasiโ. Main: Ibrahim Mafia vs Alvin Camique (Philippines). Co-main: Richard Mtangi vs Wilson Phiri (Malawi). Live on Azam Sports 3 HD. โข Niite Bingwa Sikubali Kushindwa โ Sat 20 Jun 2026, Chabruma Hall, Ubungo. Promoter: UKC Dragon Boxing Promotion (Kaizelege Jabir); co-promo Mafia Boxing Promotion. 10 bouts. Main: Hemedi Habibu vs Abuu Malume (lightweight). โข Other July cards: The Dream 1 (Paris Park, Kyela, 24 Jul); Kedwa Rocks Beach (Zanzibar, 31 Jul); Night of Champions (Cheyo Resort, Msata); Acha Inyeshe Tuone Panapo Vuja III (Ilala CCM Ngudu); Lazima Zipigwe (Mbuyu Hall, Kiwangwa, Bagamoyo). BFT 2026 national calendar: โข 26โ30 Aug โ National Club Champions Championships (Tanga) โข 8โ12 Sep โ National Youth Open Championships (Dar es Salaam) โข 10โ14 Oct โ Mwalimu Julius Kambarage Cup (Butiama, Mara) โข 25โ28 Nov โ Champions of Champions Tournament (Dar es Salaam)
Ligi kuu ya rugby chini ya Tanzania Rugby Union. Michezo migumu barani.
Ligi kuu ya soka la wanawake Tanzania inayozalisha vipaji vikubwa vinavyoiwakilisha nchi kimataifa.
Mashindano ya taifa ya taekwondo yanayochagua timu kwa kimataifa kutoka vijana hadi wazima.
Daraja la kwanza nchini Tanzania. Safari ya kuelekea Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mashindano ya kriketi yanayowaleta pamoja wachezaji bora wa ndani na nje ya nchi.
Mashindano makuu ya gofu nchini yanayoshirikisha wachezaji wa kulipwa na ridhaa.
Sitting Volleyball Development Initiative โ launched mid-2026 by Tanzania ParaVolley (TPV). Expanding into primary and secondary schools toward National School Games inclusion.
Tanzania Volleyball National League (TVNL) 2026 โ national indoor volleyball organised by the Tanzania Volleyball Federation (TVF). Season launched 3 August 2026 at Mwembe Yanga (Temeke, Dar es Salaam); live on Azam Sports. TVNL 2026 is the pathway into Tanzaniaโs first fully-fledged Volleyball Premier League (planned NovemberโMay). Fourteen menโs and ten womenโs clubs compete; the top 10 menโs and top 8 womenโs sides earn founding places in the inaugural Premier League. Round 1 runs through 10 August; round 2 is scheduled 21 Septemberโ3 October, then playoffs and finals. Pick Menโs or Womenโs below for standings, fixtures and confirmed clubs.
Monthly beach volleyball at Coco Beach, Dar es Salaam โ introduced by TVF after hosting the African Zone Five Beach Volleyball Championship in May 2026. End-of-month events for local talent and international readiness.
UEFA Women's World Cup play-offs for Brazil 2027. Denmark, France, Germany and Spain have already qualified; 32 teams contest a two-legged Round 1 in October 2026 for the remaining seven direct European slots.
Mbio za marathon za hatua 220km karibu na Kilimanjaro. Kimataifa zenye mvutio mkubwa.
Mashindano ya kunyoosha uzito kitaifa yanayotafuta nguvu za Tanzania.
TotalEnergies CAF Women's Africa Cup of Nations Morocco 2026 (26 July โ 16 August). Sixteen nations in four groups; the four semi-finalists earn direct tickets to the FIFA Women's World Cup Brazil 2027.
Mashindano ya wushu (kung fu ya Kichina) kitaifa yanayokuza sanaa za mapambano za Asia.
Ligi ya vijana chini ya miaka 20, kuibua vipaji vya kesho kwa Taifa Stars na vilabu vikubwa.
Ligi kuu ya Visiwani. Timu bora huingia Muungano Cup dhidi ya Bara.
Off-Season
Mechi za kufuzu CECAFA Agosti 2026 Tanzania. Safari ya Taifa Stars vijana.
Ligi kuu ya netball nchini inayoshirikisha timu kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Mashindano ya michezo shule za Afrika Mashariki 2026 nchini Tanzania. Soka, mpira, riadha na zaidi.
Mashindano ya kila mwaka ya kukumbuka Mapinduzi ya Zanzibar yanayoshirikisha timu za Afrika Mashariki.
Mechi ya ufunguzi wa msimu kati ya bingwa wa Ligi Kuu na mshindi wa Kombe la Shirikisho.
Mashindano ya kitaifa ya volleyball yanayofanyika kila mwaka kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. J.K. Nyerere.
Moja ya hatua za mashindano ya mbio za magari Afrika (ARC) inayozivunja mbavu barabara za Tanzania.
Michezo ya Olimpiki ambapo Tanzania imewahi kushinda medali za fedha kupitia riadha (1980).
Ligi kuu ya handball nchini Tanzania, timu bora za kiume na kike kutoka mikoa.
Tanzaniaโs first fully-fledged Volleyball Premier League โ announced by TVF in August 2026. Planned NovemberโMay season after TVNL 2026 determines the founding clubs (top 10 menโs and top 8 womenโs sides become permanent Premier League members, with promotion/relegation from regional and First Division leagues thereafter). Fixtures are not published yet. Follow TVNL Menโs and Womenโs for the ongoing qualifier, then return here when the inaugural Premier League schedule is released.
Mbio za baiskeli za kimataifa zinazopita maeneo maarufu kama Arusha na Zanzibar.
Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania. Tanuru la kuibua vipaji vipya kitaifa.
