Michezo
Habari mpya za michezo, uchambuzi wa mechi, na matukio muhimu uwanjani kutoka ligi mbalimbali.
โค๏ธ Your favorites
Upcoming matches
Fixtures coming up
Upcoming seasons
Competitions coming up
Current seasons
Competitions running now
FAN PREDICTION
Who will win Imbeju Ndondo Cup 2026?
Loadingโฆ
Why did you pick that?
Thanks!
FAN PREDICTION
Who's lifting the trophy in 2027?
Loadingโฆ
Why did you pick that?
Thanks!
Are you going to AFCON 2027?
Stadiums across Kenya ยท Tanzania ยท Uganda
Habari
Coastal Union FC: History, Squad, Fixtures, and Latest Updates
The Coastal Union FC is a Tanzanian professional football club based in Tanga, and it competes in the Tanzanian Premier League. The team plays its home matches at Mkwakwani Stadium, located in Tanga city, Tanzania, with an approximate capacity of 15,000 spectators. It also features a set of sharp young players and experienced veterans like [โฆ]
๐ LIGI KUUChelsea FC: Ratiba, Matokeo, Msimamo, Kikosi na Habari Mpya
Chelsea FC inacheza Premier League na mechi zake za nyumbani kwenye Stamford Bridge, London. Chelsea ilianza msimu wa ligi wa 2026/27 kwa ushindi wa 3-2 dhidi ya Fulham na iko nafasi ya sita baada ya Matchweek 1 ikiwa na pointi 3. Taarifa hizi zimehakikiwa hadi 25 Agosti 2026. Kwa matokeo mubashara, ratiba inayobadilika, msimamo wa [โฆ]
Real Madrid vs Real Sociedad: Matokeo Mubashara, Vikosi, H2H, Fomu na Taarifa za Mechi
Real Madrid wanaikaribisha Real Sociedad katika Santiago Bernabรฉu Jumatano, 26 Agosti 2026, saa 22:00 EAT. Madrid wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na pointi tatu baada ya kuifunga Espanyol 2-1, huku Sociedad wakitoka kupoteza 1-0 dhidi ya Real Betis. Mkutano wao wa mwisho wa ligi katika Bernabรฉu uliisha Real Madrid 4-1 Real Sociedad. Kwa picha pana [โฆ]
Matokeo ya NBC Premier League mzunguko wa 3 | Yanga SC 4-0 JKT Tanzania | Azam FC 2-1 Pamba Jiji FC | Msimamo
Yanga SC 4-0 JKT Tanzania ni matokeo ya mchezo wa mzunguko wa 3 uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Katika mechi hii yalifungwa mabao makali kupitia kwa Albert Kangwanda dakika ya 26, Ibrahim Bacca dakika ya 35, Boca dakika ya 39 na Peter Shalulile dakika ya 63. Ushindi huo unawafanya watoto wa Jangwani kufikisha pointi 9 [โฆ]
๐ LIGI KUUSingida Black Stars 1-2 Simba SC: H2H na takwimu
Singida Black Stars wanajiandaa kuwakaribisha Simba SC katika mchezo mkali wa Ligi Kuu ya NBC 2026/27. Hapa tunakuletea uchambuzi wa kina, takwimu za h2h, na utabiri wa mechi hii muhimu itakayofanyika Singida.
๐ LIGI KUUSimba, Coastal Union battle for crucial three points
Byย Victoria GodfreySimba and Coastal Union will lock horns tomorrow in a highly anticipated NBC Tanzania Premier League encounter at Major General Isamuhyo Stadium, with both teams determined to secure three valuable points.Simba enter the match with renewed confidence after beating Singida Black Stars 2-1 in their previous league outing, while Coastal Union will be seeking redemption following a
๐ LIGI KUUMafunzo FC Yashusha Wachezaji 8 Wapya Ligi Kuu Zanzibar 2026/2027
Klabu ya Mafunzo FC imeanza msimu mpya wa 2026-2027 kwa mikwara mizito baada ya kukamilisha usajili na kuwatambulisha wachezaji wapya wanane (8) watakaoimarisha kikosi hicho. Usajili huu unakuja ikiwa ni maandalizi ya mechi yao ya ufunguzi wa Ligi Kuu Zanzibar dhidi ya Zimamoto inayotazamiwa kuchezwa Agosti 30, 2027. Wapambanaji Wapya Waliojiunga na Mafunzo FC: Abdul [โฆ]
๐ LIGI KUUSABABU ZALTAJWA: ZBL Yongeza Viwanja 3 Vipya Ligi Kuu Zanzibar 2026
BODI ya Ligi Zanzibar (ZBL) imeweka wazi sababu za kuongeza viwanja vitatu vipya vitakavyotumika kwenye mechi za Ligi Kuu Zanzibar kwa msimu wa 2026-2027, lengo kuu likiwa ni kufikisha soka kwa mashabiki wa vijijini na kuwahi maandalizi ya AFCON 2027. Viwanja hivyo vipya vilivyoongezwa ni pamoja na: Kinyikani (Pemba) Pangatupu (Unguja) Kitogani (Unguja) Ongezeko hili [โฆ]
๐ LIGI KUUUshindi Mkubwa Upo Meridianbet Leo
ANZA kutimiza ndoto zako na Meridianbet kwa kusuka jamvi lako la ushindi sasa, Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Real Madrid, Fenerbahce wapo dimbani sasa.Mechi za kufuzu michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) inaendelea huku macho yote yakiwa kwenye mechi ya Lyon dhidi ya Fenerbahรงe ambapo kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushiriki michuano
AFCON 2027: Zanzibar Yajipanga Kivingine, Miundombinu Na Fursa Za Kiuchumi Kuruha
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inaendelea kuongeza kasi katika maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa kuboresha sekta muhimu za miundombinu ya michezo, afya na usafiri. Akizungumza kuhusu maandalizi hayo, Kamishna wa Idara ya Mipango na Maendeleo ya Kisekta kutoka Tume ya Mipango Zanzibar, Mohamed Massoud Salim, alibainisha kuwa [โฆ]
Fei Toto Kurejea Uwanjani: Azam FC Kuikabili Geita Gold Ligi Kuu Bara
Kiungo mchezeshaji hatari wa Tanzania, Feisal Salum โFei Totoโ, Ijumaa ya Agosti 28 anatarajiwa kuanza rasmi kampeni zake za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, wakati Azam FC itakapokuwa ugenini kuikabili Geita Gold. Fei Toto alilazimika kukaa nje ya michezo mitatu ya mwanzo ya ligi msimu huu kufuatia adhabu ya kadi nyekundu aliyopata kwenye fainali [โฆ]
๐ LIGI KUUMatola Aonyesha Shaka Simba vs Coastal Union: Tutapata Alama Tatu Kesho!
KOCHA Msaidizi wa Simba SC, Seleman Matola, ameweka wazi kuwa wanatarajia mchezo mgumu na wenye ushindani mkubwa dhidi ya Coastal Union kesho, huku akisisitiza kuwa lengo lao kuu ni kuvuna alama tatu muhimu katika muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League). Simba itashuka dimbani kesho Alhamisi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo [โฆ]
๐ LIGI KUUTRA United yaanza maandalizi kuivaa Dodoma Jiji FC
ARUSHA: TIMU ya TRA United imezindua Wiki ya Shamra Shamra yenye matukio mbalimbali ya kijamii na uhamasishaji kuelekea mechi yake ya kwanza ya nyumbani dhidi ya Dodoma Jiji itakayochezwa Jumamosi, Agosti 29, 2026. Mchezo huo pia utatumika kutambulisha wachezaji wao wa msimu huu wa 2026/2027. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, Meneja wa Mamlaka โฆ
Laporta Atoa Kauli ya Barcelona Kuhusu Julian Alvarez: โTunamtaka Sanaโ
Rais wa Barcelona, Joan Laporta, amesisitiza nia ya klabu yake kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid, Julian Alvarez, akisema Barcelona bado iko tayari kumsajili nyota huyo wa Argentina iwapo Atletico Madrid โฆ
Chelsea Wanazingatia Kumsajili Emiliano Martinez Baada ya Mawasiliano Kufanyika.
Wawakilishi wa kipa wa Aston Villa, Emiliano Martinez, wamempendekeza mchezaji huyo kwa Chelsea, ambao wanaripotiwa kufikiria kumsajili. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina anaonekana kuwa njiani kuondoka Villa Park msimu โฆ
Liverpool Wameanza Mazungumzo ya Kumsajili Ismaรฏla Sarr kwa ยฃ50 milioni.
Baada ya Mohamed Salah kuondoka, eneo kubwa ambalo Liverpool wamekuwa wakihitaji kuliongezea nguvu kipindi chote cha kiangazi ni upande wa kulia wa safu ya ushambuliaji. Inaonekana Yankuba Minteh alikuwa mlengwa โฆ
Roma Wajiunga na Juventus Katika Kinyangโanyiro cha Kumsajili Aliyekuwa Kiungo wa Milan, Kessiรฉ.
Aliyekuwa kiungo wa Milan na Barcelona, Franck Kessiรฉ, bado anapatikana kama mchezaji huru, na ingawa taarifa za wiki kadhaa zilizopita zilimuhusisha na uwezekano wa kujiunga na Juventus, taarifa za hivi โฆ
Xavi Hernandez kurejesha heshima ya Uholanzi?
ZEIST, Uholanzi KIUNGO na kocha wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, ndiye aliyekabidhiwa benchi la ufundi kwa ajili ya kuinoa timu ya soka ya Taifa ya Uholanzi โOranjeโ. Xavi ana historia ndefu na Waholanzi. Kocha wa zamani wa Uholanzi, Louis van Gaal, ndiye aliyeibua kipaji chake kwa kumpa nafasi katika kikosi cha Barcelona. Akiwa mchezaji [โฆ]
Brentford Yakaribia Kumsajili El Hadji Malick Diouf Kutoka West Ham
Brentford iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa kushoto wa West Ham United, El Hadji Malick Diouf, baada ya mazungumzo ya muda mrefu kuhusu uhamisho huo โฆ
Manchester City Yamtangaza Kumsajili Ayyoub Bouaddi Kutoka Lille
Manchester City imethibitisha kumsajili kiungo chipukizi wa Morocco, Ayyoub Bouaddi, kutoka Lille kwa ada inayoripotiwa kufikia euro milioni 100 (ยฃ85.5m), ikiwa ni pamoja na bonasi zinazoweza kuongezwa. Mchezaji huyo mwenye โฆ
Real Madrid na Sociedad Kukutana, Macho yote Santiago Bernabรฉu
Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na kitita cha mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako sasa. Mechi nyingiโฆ
Brighton Wamejiunga na Palace na Nottingham Katika Kinyangโanyiro cha Kumsajili Fofana
Brighton wamejiunga na Crystal Palace na Nottingham Forest katika kinyangโanyiro cha kumsajili Fofana, ambaye hayupo kwenye mipango ya Milan. Brighton wameonyesha nia ya kumsajili Youssouf Fofana, na kuwa klabu ya โฆ
Julian Alvarez Akosa Mazoezi Atlรฉtico Madrid, Arsenal Yaendelea Kumfuatilia
Mshambuliaji wa Argentina, Julian Alvarez, hakushiriki katika mazoezi ya Atlรฉtico Madrid leo baada ya kujisikia vibaya usiku wa kuamkia leo, hali iliyomlazimu kubaki nyumbani kwa ajili ya kupumzika. Kwa mujibu โฆ
Marmoush Ahamia Tottenham kwa Dili la ยฃ60Mย
Tottenham Hotspur wamefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, Omar Marmoush, kwa mkopo wenye wajibu wa kumsajili moja kwa moja kwa pauni milioni 60 msimu ujao, katika hatua kubwa โฆ
Mzunguko Mmoja Kukupa Zawadi Kubwa Ya Milioni 75
Mchezo unapokuwa na sapraizi, kila mzunguko huwa na maana yake. Meridianbetย imeleta Rewards Burst Prize Drops, promosheni inayowapa wachezaji nafasi ya kupata zawadi za papo hapo wanapocheza michezo inayostahili. Kuanzia fedha taslimuย hadi vizidishi vya ubashiri, kuna mengi ya kutazamia kila unapocheza. Na jambo kubwa zaidi, zawadi zinaweza kukufikia bila taarifa ya awali. Kwa wachezaji wanaolenga zawadi [โฆ]
Timiza Ndoto Zako za Muda Mrefu Hapa
Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na kitita cha mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako sasa. Mechi nyingi kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku wewe kwa dau dogo tuu unaibuka bingwa. Tukianza na kule Hispania,ย LALIGAย itaendelea kwa mchezo mmoja kati yaย Real madridย dhidi ya Real Sociedadย ambapo hii ni mechi ya pili wao kucheza toka ligi ianze [โฆ]
Arsenal na Manchester City Zatamba Kwenye Kikosi Bora cha PFA 2025/26
Chama cha Wachezaji wa Soka la Kulipwa nchini England (PFA) kimetangaza Kikosi Bora cha Mwaka cha Ligi Kuu ya England (PFA Premier League Team of the Year) kwa msimu wa โฆ
๐ LIGI KUUMcInnes Kuitazama Rangers VS Celtic Kutoka Jukwaani
Derek McInnes anaweza kulazimika kutazama mechi yake ya kwanza ya Old Firm akiwa kocha wa Rangers kutoka jukwaani baada ya tarehe ya kusikilizwa kwa rufaa yake dhidi ya adhabu ya โฆ
Crystal Palace Wanamlenga Kiungo wa Roma, El Aynaoui.
Crystal Palace wamebainisha Neil El Aynaoui kuwa mmoja wa walengwa wao, huku wakitafuta kuimarisha safu yao ya kiungo kabla ya dirisha la usajili kufungwa. Kwa mujibu wa Foot Mercato, kiungo โฆ
IFA Yamgeuka Infantino Yadai Ni Wakati wa Mabadiliko
Shirikisho la Soka la Ireland Kaskazini (IFA) limetoa msimamo mkali dhidi ya rais Gianni Infantino, likitangaza kuwa halitampigia kura katika uchaguzi wa rais wa shirikisho hilo mwaka ujao. IFA limesema โฆ
Official Launch of Simba Jerseys for the 2025/26 Season
Msanii Yammi akifanya mambo usiku huu Masaki, jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi rasmi wa jezi za Simba msimu wa 2025/26.
Young Africans Takes Lead in NBC Premier League Standings
Ushindi huu unaipeleka Young Africans โkileleniโ mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC.
๐ LIGI KUUYanga's 4-1 Victory Against Coastal Union in Tanzania Premier League
Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, ametoa onyo kali kwa watu wanaotafuta madhaifu ya timu hiyo, akisisitiza kuwa wataishia kuvuna majuto kutokana na mafanikio ambayo kikosi chake kimejipanga kuyapata msimu huu. Kauli hiyo imekuja mara baada ya Yanga kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Coastal Union, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
๐ LIGI KUUYoung Africans Reach 28 Points at the Top of the League Standings
The victory marked Young Africansโ ninth win of the campaign, extending their unbeaten run and lifting them to 28 points at the summit of the league standings.
5-0 Defeat of JKT Tanzania by Young Africans SC in Mainland Premier League
HEAD coach Hamad Ally admitted his side paid the price for a lack of tactical discipline after JKT Tanzania suffered a heavy 5-0 defeat to defending champions Young Africans SC in a Mainland Premier League match played on Wednesday evening at KMC Complex in Mwenge, Dar es Salaam.
Match Results: Singida Black Stars 1-2 Simba SC in NBC Premier League
Singida Black Stars 1-2 Simba SC ni matokeo ya mchezo uliopita.
๐ LIGI KUUDemotion of Referee Gilbert Mrina for Inadequate Action During Match Incidents
In addition to the disciplinary action against Diarra, the league has demoted referee Gilbert Mrina from Kilimanjaro for failing to take appropriate action during the incidents, as outlined in Article 42:1(1.6) regarding referee conduct.
Upcoming Matches for Simba SC in NBC Premier League
Watani hawa wote wamebakiwa na mechi 7 kukamilisha msimu wa 2025/26.
๐ LIGI KUUAFCON 2027 Co-hosting by Tanzania, Kenya, and Uganda
WHEN Tanzania, Kenya and Uganda won the rights to co-host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), the announcement was celebrated as a historic achievement for East Africa.
๐ Africa Cup of Nations (AFCON)Serengeti Boys Defeat Egypt 4-3 in Penalty Shootout to Reach AFCON Final
SERENGETI Boys booked their place in the Under-17 AFCON final after defeating Egypt 4-3 in a penalty shootout following a goalless draw in regulation time at Stade Prince Moulay Hassan in Rabat, Morocco, on Thursday.
Twiga Stars' Preparation for Upcoming Match Against Burkina Faso
Shime aliliambia gazeti hili jana waliingia โdarasaniโ kupanga mipango ya kuwakabili Burkina Faso huku wakiondoa akilini matokeo ya mechi iliyopita.
Tanzania's 2-1 Victory Over South Africa in WAFCON 2026
The Tanzanian ladies won 2-1.
Change of Dates for USSSA Elite Games from February 14th-16th to February 26th-March 1st, 2026
The games were scheduled to happen at an earlier date (February 14th to 16th) but this was changed due to the re-opening of schools on the 10th February.
England's 2-1 Loss to Argentina in World Cup Semifinal
Nahodha wa timu ya taifa ya England, Harry Kane, amesema amevunjika moyo baada ya timu yake kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Argentina katika nusu fainali ya michuano ya Dunia โฆ
Official Name Change of Twende Butiama to Nyerere Cycling Tour
Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na Chama cha Baiskeli Tanzania (CHABATA), leo imetangaza rasmi kubadilishwa kwa jina la msafara wa baiskeli wa Twende Butiama na kuwa Nyerere Cycling Tour.
"Ni wazi serikali iko Tayari kuukuza mchezo wa Rugby Tanzania" - Anthony Dawa
Anthony Dawa, Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), akizungumza kwenye kipindi cha SPORTS KIJIJI "michezo kiganjani mwako" ndani ya Mtawala Radio.
๐ Rugby Premier LeagueJe Rugby ni mchezo wa aina gani?
Katibu wa Tanzania Rugby Union (TRU) akifafanua kuhusu mchezo wa Rugby kwenye kipindi cha 2Dimbani.
๐ Rugby Premier LeagueDodoma Rugby Week Preview
Dodoma Rugby Week litafanyika Mei,2026 huku mataifa mbalimbali yakijitokeza kushiriki.
๐ Rugby Premier LeagueUpcoming Nanauka CRDB Jimbo Cup to involve all Mtwara Urban wards
Nanauka revealed that a larger competition, the Nanauka CRDB Jimbo Cup, is set to start in June and will involve teams from all wards in Mtwara Urban constituency.
๐ CRDB Federation CupSPORTS KIJIJI: Tunakuza vipi mchezo wa Rugby kuwa maarufu Tanzania?
Katibu Mkuu wa Tanzania Rugby Union (TRU), Anthony Dawa, akizungumzia mikakati ya kukuza rugby nchini Tanzania kupitia kipindi cha SPORTS KIJIJI ndani ya Mtawala Radio.
Mchuano wa ubingwa: Yanga na Simba Wanaelekea Kwenye Hatua ya Maamuzi
Yanga SC na Simba SC zimejiandaa kwa mchuano wa kuamua bingwa wa Ligi Kuu Tanzania. Mechi hii inatarajiwa kuwa ya kihistoria na yenye mvutano mkubwa.
Hakuna habari zinazolingana na utafutaji wako.
Mashindano
Kombe la Mataifa la Afrika (AFCON) โ mashindano makubwa ya soka barani Afrika. Msimu wa 2027 (TotalEnergies CAF AFCON PAMOJA 2027) unaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania, na Uganda (19 Juni โ 17 Julai 2027) โ mara ya kwanza mashindano kuandaliwa na nchi tatu, na kurudi Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza tangu miaka 51. Timu 24 zitashindana kwenye fainali. Mchujo: timu 48 katika makundi 12 (AโL), mechi za nyumbani na ugenini (mechi-siku 6). Timu mbili bora za kila kundi zinastahili fainali. Wenyeji Kenya (Kundi D), Uganda (Kundi H) na Tanzania (Kundi L) wamehitimu otomatiki โ katika makundi hayo, ni timu moja bora isiyo mwenyeji pekee inayostahili. Dirisha za FIFA: 21 Sepโ6 Okt 2026; 9โ17 Nov 2026; 22โ30 Mar 2027. The 2027 Africa Cup of Nations (PAMOJA 2027) is co-hosted by Kenya, Tanzania, and Uganda (19 June โ 17 July 2027) โ the first three-nation AFCON and East Africaโs first in 51 years. Twenty-four nations contest the finals. Qualifiers: 48 teams in 12 groups (AโL), home-and-away (six matchdays). Top two in each group advance, except host groups D (Kenya), H (Uganda) and L (Tanzania): hosts are auto-qualified, so only the highest-ranked non-host in those groups qualifies. FIFA windows: 21 Sepโ6 Oct 2026; 9โ17 Nov 2026; 22โ30 Mar 2027.
Mashindano ya ngumi Afrika Zone III Aprili 26, 2026 Dar es Salaam. Timu za Tanzania, Kenya, Uganda.
Makao ya mbio, kurusha, kuruka na kutembea. Pata habari za wanariadha bora duniani na mashindano ya uwanjani.
Mashindano ya umbo bora nchini Tanzania. Vikundi tofauti kutoka vijana hadi wazima.
Ligi ya mabingwa Afrika inayoshirikisha timu bora. Simba SC na Yanga SC ni washiriki wa kudumu.
Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga ilifika fainali 2023, ikionyesha ubora wa soka la Tanzania.
Mashindano ya kitaifa ya chess chini ya Tanzania Chess Federation. Wachezaji bora kutoka mikoa yote.
Ngao ya Jamii (Tanzania Community Shield) is Tanzaniaโs traditional season-opening super cup, first contested in 2001. Usually a single final between the previous NBC Premier League champions and the CRDB Federation Cup winners. Only 2023 and 2024 used a four-team mini-tournament (semi-finals, third-place play-off, and final). TFF restored the one-off final for 2025 and 2026. Titles (through 2025, RSSSF): Simba SC 10, Young Africans SC 9, Azam FC 1, Mtibwa Sugar 1. Editions not played: 2004 (cancelled), 2006โ2008. 2026 edition: Young Africans SC vs Simba SC โ Wed 12 Aug 2026, 20:30, New Amaan Complex, Zanzibar (Azam Sports 1HD).
CONCACAF W Championship 2026 (27 November โ 5 December) in the United States. Eight teams in a knockout format; the four semi-finalists qualify directly for the FIFA Women's World Cup Brazil 2027.
Mashindano makuu ya mtoano nchini Tanzania yanayoshirikisha timu za madaraja yote.
DAREVA League 2026 โ Dar es Salaam regional volleyball league organised by the Dar es Salaam Regional Volleyball Association. Commenced 28 February 2026; hosted primarily at KIUT (Kampala International University in Tanzania), Gongo la Mboto. Confirmed menโs clubs: Nyika VC, KIUT VC, Jeshi Stars, Bandari VC, JKT, Tanzania Prisons.
Ligi ya darts Dar es Salaam yenye mashindano ya baa na vilabu. Mchezo wa ustadi na burudani.
Mchuano wa kuondoa timu za ligi zote Tanzania Bara. Historia ndefu tangu 1967.
FEASSA (Federation of East Africa Schools Sports Association) โ mashindano ya kikanda ya shule za Afrika Mashariki. Toleo la 2026: Morogoro, Tanzania, 12โ23 Agosti 2026. Ofisi ya Rais โ TAMISEMI ndiyo msimamizi mkuu wa timu zinazoiwakilisha Tanzania. Wachezaji huchaguliwa kutoka mashindano ya kitaifa ya shule za msingi (UMITASHUMTA) na sekondari (UMISSETA). Nchi zinazoshiriki: Tanzania (mwenyeji), Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, na South Sudan. Chagua mchezo hapa chini (sekondari, msingi, au SNE) kuona msimamo, matokeo na ratiba.
Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA โ mashindano makubwa ya soka la wanawake duniani. Msimu wa 2027 (Brazil) ni mara ya kwanza mashindano kuandaliwa Amerika Kusini: mechi 64 katika miji minane (Belo Horizonte, Brasรญlia, Fortaleza, Porto Alegre, Recife, Rio de Janeiro, Salvador, Sรฃo Paulo), 24 Juni โ 25 Julai 2027. Timu 32; hadi sasa timu 18 zimehitimu, wakiwemo wenyeji Brazil na nne kutoka CAF (Kamerun, Malawi, Algeria, Moroko) baada ya nusu fainali ya WAFCON 2026. Droo ya mwisho itafanyika baadaye mwaka huu. The 2027 FIFA Women's World Cup in Brazil is the first edition in South America โ 64 matches across eight host cities (24 June โ 25 July 2027). Thirty-two nations compete; 18 teams have qualified so far, including hosts Brazil and CAFโs four WAFCON 2026 semi-finalists. The final draw is scheduled for later in 2026.
The 2026 FIFA World Cup is the first 48-team edition, co-hosted by the United States, Mexico, and Canada (11 June โ 19 July 2026).
Mashindano maarufu ya mtaani (grassroots) yanayodhihirisha vipaji halisi na mshikamano wa jamii. The Ndondo Cup is a prominent grassroots football tournament in Tanzania, primarily based in Dar es Salaam. Since its inception in 2014, it has grown into one of the most popular community sports events in the country, often used as a platform for health advocacy and talent scouting. Seasons and finals (winners and runners-up where recorded): โข 1st (2014, August): Abajalo FC โ Temeke Market โข 2nd (2015, August): Far Jeuri โ Kauzu FC โข 3rd (2016, 31 July): Temeke Market FC โ Kauzu FC โข 4th (2017, 13 August): Misosi FC โ Goms United โข 5th (2018, 5 August): Manzese United โ Kivule United โข 6th (2019, August): Umoja wa Vijana (UVT) โ runner-up not listed โข 7th (2020, October): Kibangu Rangers โ runner-up not listed โข 8th (2021, 28 August): Vifundo FC โ Tabata All Stars โข 9th (2022, September): Bullet Force โ Vifundo FC โข 10th (2023, 3 September): Madenge FC โ Sinza Stars โข 11th (2024, 31 August): Azimio FC โ Soccer City The tournament typically features 32 teams in the main group stages, drawn from neighbourhoods in Dar es Salaam and occasionally other regions (e.g. Dodoma, Iringa, Mwanza). Notable teams by season (examples): 2024 (Dodoma & Dar es Salaam): winner Azimio FC (Buguruni), finalist Soccer City (Kigamboni); others include Tan-Zebras FC, Goms United, Faru Jeuri, and community sides from Dodoma, Iringa, and Mwanza. 2023: Madenge FC (winner), Sinza Stars (finalist); Mabibo Market, Kibangu Rangers, Tandika City, Friends Rangers among participants. 2021: Vifundo FC (winner), Tabata All Stars (finalist); Kinondoni Utd, Kampala International, Bandari FC, Tandika FC among participants. 2016 group stage examples โ Group A: Faru Jeuri, TMK Market, Kinondoni FC, Vijana Rangers. Group B: Boom FC, Temeke Squad, Abajalo FC, Kijiji FC. Group C: Tabata United, Keko Furniture, Stakishari, Mjivuni. Group D: Makumba FC, Kiluvya United, Aggrey SC, Broken Chain. Group E: Goms United, Wauza Matairi, Mtoni City, Urafiki Shooting. Group F: Misosi FC, Buguruni United, Jaki Pro, Friends Rangers. Group G: Kibada One FC, Mlalakuwa Rangers, Burudani FC, Ndanda FC. Group H: Kauzu FC, Madiba FC, Black Six, Keko Machungwa.
Mashindano ya taifa ya judo yanayochagua bingwa na timu za kimataifa.
The CECAFA Club Cup is the regional club tournament of East and Central Africa. Known as the Kagame Interclub Cup since 2002 (sponsored by Rwanda President Paul Kagame), the 2026 edition is in Kigali (24 July โ 7 August) with 12 clubs in groups AโC at Amahoro and Kigali Pelรฉ Stadiums. Group winners plus the best runner-up reach the semi-finals (4 August); the final is on 7 August. Prize money: champions US$30,000, runners-up US$20,000, third US$10,000. Live on Azam Sports 1 HD.
Mashindano ya karate kitaifa, shotokan na aina zingine chini ya shirikisho.
Mbio za kimataifa zinazofanyika chini ya mlima mrefu zaidi Afrika, zikivutia maelfu ya wakimbiaji.
Kilimanjaro Volleyball League (KVL26) โ inaugural regional season by the Volleyball Association of Kilimanjaro (VAKI). Launched 14 June 2026 at Ushirika Stadium, Moshi. Nineteen regional clubs in two separate tournaments: 11 menโs and 8 womenโs. Pick Menโs or Womenโs below for standings and fixtures.
Daraja la nne la soka, mikoa minne yenye makundi 7 kila moja. Msingi wa vipaji vya chini.
Muungano Cup 2026 โ mashindano ya soka yanayoadhimisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Msimu huu una mechi 7 (robo fainali 4, nusu fainali 2, fainali 1) kwenye New Amaan Complex, Zanzibar (21โ29 Aprili 2026). Timu 8: Yanga SC, Muembe Makumbi City, KVZ FC, Azam FC, Mlandege FC, Singida BS, Simba SC, na Mafunzo SC. Muungano Cup 2026 commemorates the Union of Tanganyika and Zanzibar. This edition is a single-elimination knockout (4 quarter-finals, 2 semi-finals, 1 final) at New Amaan Complex, Zanzibar (21โ29 April 2026). Eight teams: Yanga SC, Muembe Makumbi City, KVZ FC, Azam FC, Mlandege FC, Singida BS, Simba SC, and Mafunzo SC.
Ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Tanzania inayoshirikisha timu bora za kiume na kike.
The National Cup (Kombe la Taifa) โ annual knockout tournament featuring top clubs and regional combines on the TVF calendar.
Mashindano ya uogeleaji kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Dar es Salaam na Arusha.
Northern Zone Volleyball League โ regional competition on the TVF pathway alongside DAREVA and Kilimanjaro.
Professional boxing (ndondi) in Tanzania โ fight cards, undercards, and national federation (BFT) championship windows. July 2026 highlights: โข Punch 2 Punch (Punch to Punch) โ 18 Jul, Mrina Hall, Manzese Tip Top, Dar es Salaam. Promoter: Three T Sports Promotion (3T). 15 bouts total. International main: Emmanuel Mwakyembe vs Harvey Mkacha (Malawi). Tickets: Regular 7,000 / VIP 15,000 / VVIP 30,000 TZS. โข Dar Boxing Derby 2026 โ Fri 24 Jul from 18:00, EACLC (East Africa Commercial & Logistics Center), Ubungo. Promoter: Meja Selemani Semunyu (Peak Time Media). 12 bouts total. Main: Juma Choki vs Tony Rashid (Crown New Model car). Co-main: Dulla Mbabe vs Hussein Itaba. Live on Azam Sports 3 HD. Tickets (Otapp): Regular 10,000 / VIP B 30,000 / VIP A 100,000 TZS. โข Knockout ya Mama Season 9 (Mafia Boxing Promotion / Ally Zayumba) โ Fri 31 Jul, EACLC Ubungo. ~10 bouts. Main: Ibrahim Mafia vs Samuel Martei (Ghana) โ WBC International Silver Bantamweight. Co-main: Mchanja Yohana vs TBA (Philippines) โ WBC International Silver. Also Richard Mtangi (Duma) vs Shakul Shamed โ WBO Africa. Live on Azam Sports 3 HD. (Mfaume Mfaume vs Iddy Pialali postponed.) โข Knockout ya Mama Season 8 (past) โ Fri 24 Apr 2026, EACLC Ubungo; slogan โVita ya Kisasiโ. Main: Ibrahim Mafia vs Alvin Camique (Philippines). Co-main: Richard Mtangi vs Wilson Phiri (Malawi). Live on Azam Sports 3 HD. โข Niite Bingwa Sikubali Kushindwa โ Sat 20 Jun 2026, Chabruma Hall, Ubungo. Promoter: UKC Dragon Boxing Promotion (Kaizelege Jabir); co-promo Mafia Boxing Promotion. 10 bouts. Main: Hemedi Habibu vs Abuu Malume (lightweight). โข Other July cards: The Dream 1 (Paris Park, Kyela, 24 Jul); Kedwa Rocks Beach (Zanzibar, 31 Jul); Night of Champions (Cheyo Resort, Msata); Acha Inyeshe Tuone Panapo Vuja III (Ilala CCM Ngudu); Lazima Zipigwe (Mbuyu Hall, Kiwangwa, Bagamoyo). BFT 2026 national calendar: โข 26โ30 Aug โ National Club Champions Championships (Tanga) โข 8โ12 Sep โ National Youth Open Championships (Dar es Salaam) โข 10โ14 Oct โ Mwalimu Julius Kambarage Cup (Butiama, Mara) โข 25โ28 Nov โ Champions of Champions Tournament (Dar es Salaam)
Ligi kuu ya rugby chini ya Tanzania Rugby Union. Michezo migumu barani.
Ligi kuu ya soka la wanawake Tanzania inayozalisha vipaji vikubwa vinavyoiwakilisha nchi kimataifa.
Mashindano ya taifa ya taekwondo yanayochagua timu kwa kimataifa kutoka vijana hadi wazima.
Daraja la kwanza nchini Tanzania. Safari ya kuelekea Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mashindano ya kriketi yanayowaleta pamoja wachezaji bora wa ndani na nje ya nchi.
Mashindano makuu ya gofu nchini yanayoshirikisha wachezaji wa kulipwa na ridhaa.
Sitting Volleyball Development Initiative โ launched mid-2026 by Tanzania ParaVolley (TPV). Expanding into primary and secondary schools toward National School Games inclusion.
Tanzania Volleyball National League (TVNL) 2026 โ national indoor volleyball organised by the Tanzania Volleyball Federation (TVF). Season launched 3 August 2026 at Mwembe Yanga (Temeke, Dar es Salaam); live on Azam Sports. TVNL 2026 is the pathway into Tanzaniaโs first fully-fledged Volleyball Premier League (planned NovemberโMay). Fourteen menโs and ten womenโs clubs compete; the top 10 menโs and top 8 womenโs sides earn founding places in the inaugural Premier League. Round 1 runs through 10 August; round 2 is scheduled 21 Septemberโ3 October, then playoffs and finals. Pick Menโs or Womenโs below for standings, fixtures and confirmed clubs.
Monthly beach volleyball at Coco Beach, Dar es Salaam โ introduced by TVF after hosting the African Zone Five Beach Volleyball Championship in May 2026. End-of-month events for local talent and international readiness.
UEFA Women's World Cup play-offs for Brazil 2027. Denmark, France, Germany and Spain have already qualified; 32 teams contest a two-legged Round 1 in October 2026 for the remaining seven direct European slots.
Mbio za marathon za hatua 220km karibu na Kilimanjaro. Kimataifa zenye mvutio mkubwa.
Mashindano ya kunyoosha uzito kitaifa yanayotafuta nguvu za Tanzania.
TotalEnergies CAF Women's Africa Cup of Nations Morocco 2026 (26 July โ 16 August). Sixteen nations in four groups; the four semi-finalists earn direct tickets to the FIFA Women's World Cup Brazil 2027.
Mashindano ya wushu (kung fu ya Kichina) kitaifa yanayokuza sanaa za mapambano za Asia.
Ligi ya vijana chini ya miaka 20, kuibua vipaji vya kesho kwa Taifa Stars na vilabu vikubwa.
Ligi kuu ya Visiwani. Timu bora huingia Muungano Cup dhidi ya Bara.
Off-Season
Mechi za kufuzu CECAFA Agosti 2026 Tanzania. Safari ya Taifa Stars vijana.
Ligi kuu ya netball nchini inayoshirikisha timu kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Mashindano ya michezo shule za Afrika Mashariki 2026 nchini Tanzania. Soka, mpira, riadha na zaidi.
Mashindano ya kila mwaka ya kukumbuka Mapinduzi ya Zanzibar yanayoshirikisha timu za Afrika Mashariki.
Mechi ya ufunguzi wa msimu kati ya bingwa wa Ligi Kuu na mshindi wa Kombe la Shirikisho.
Mashindano ya kitaifa ya volleyball yanayofanyika kila mwaka kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. J.K. Nyerere.
Moja ya hatua za mashindano ya mbio za magari Afrika (ARC) inayozivunja mbavu barabara za Tanzania.
Michezo ya Olimpiki ambapo Tanzania imewahi kushinda medali za fedha kupitia riadha (1980).
Ligi kuu ya handball nchini Tanzania, timu bora za kiume na kike kutoka mikoa.
Tanzaniaโs first fully-fledged Volleyball Premier League โ announced by TVF in August 2026. Planned NovemberโMay season after TVNL 2026 determines the founding clubs (top 10 menโs and top 8 womenโs sides become permanent Premier League members, with promotion/relegation from regional and First Division leagues thereafter). Fixtures are not published yet. Follow TVNL Menโs and Womenโs for the ongoing qualifier, then return here when the inaugural Premier League schedule is released.
Mbio za baiskeli za kimataifa zinazopita maeneo maarufu kama Arusha na Zanzibar.
Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania. Tanuru la kuibua vipaji vipya kitaifa.