Tech & Science
The latest in technology and scientific discoveries
What's Happening
Mbunge, madiwani Mbulu wavutiwa na huduma za maabara za TVLA
Kamati ya Fedha ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ikiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Dk. Emanuel Nuwas, na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Yeconia Deles wametembelea banda la Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kwenye Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biash…
NACTVET yahamasisha elimu ya amali, yataka watoto wapelekwe mafunzo ya ufundi
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limewata wazazi kuwapeleka watoto wao katika shule zinazotoa elimu ya amali na mafunzo ya ufundi. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa NACTVET, Mwajuma Lingwanda, wakati akizungumza katika Maonesho ya 5…
Daktari: Kuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa si kigezo cha kumpa mimba mwanamke
Daktari Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), Dk. Tomy Kakumbi, amesema uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa mara nyingi hauwezi kutumika kama kigezo cha kuthibitisha uwezo wake wa kumpa mwanamke ujauzito, akisisitiza k…
DSM develops Fluxen tech to upgrading biogas, boosting clean energy efficiency
The University of Dar es Salaam University of Dar es Salaam has developed a new biogas upgrading innovation that could significantly improve clean energy access and efficiency across Tanzania, as researchers intensify efforts to turn locally available scientific solutions into pr…
The Invisible Blueprint: Businesses that are for our real orld -Part 4
In the last article, we looked at the incredible magic of tomorrow's businesses. You may have learnt how computers talk to us in many languages. How we can shop right inside WhatsApp, and how we can pay for things with a simple smile. But the exciting world of Customer Experience…
Haya hapa matokeo kamili ya kidato cha sita
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Prof. Said Mohamed, ametangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) na mitihani ya ualimu iliyofanyika Mei mwaka huu. Akitangaza matokeo hayo jana jijini Dar es Salaam amesema matumizi ya programu ya ChatGPT kati…
AI, drone technologies scan over 135,000 mosquito breeding sites
ARTIFICIAL intelligence combined with drone technology was instrumental in identifying more than 135,000 potential mosquito breeding sites across Dar es Salaam. The flight mapping conducted during September 2023 saw the drones capture ultra-high-resolution images covering about 2…
Nyansaho, Munisi wapongeza teknolojia ya ‘Meza Janja’ ya PSSSF
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho, na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dk. Eveline Munisi, wamepongeza matumizi ya teknolojia ya kidijitali ya Meza Janja (Smart Table) inayotumiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa …
Airtel backs Great Ruaha Marathon to promote wellness and conservation
AIRTEL Tanzania has reaffirmed its commitment to employee wellness, community development and environmental conservation by partnering with the Great Ruaha Marathon 2026 as the event's Official Telecommunications Partner. Held within Ruaha National Park, the annual marathon has g…
Public urged to use accredited laboratory services
THE Government Chemist Laboratory Authority (GCLA) has urged Tanzanians to use its internationally accredited laboratory services on order to reliable scientific evidence for criminal investigations, consumer protection and environmental safety. Speaking at the ongoing 49th Dar e…
Pillars
Chagua nguzo (pillar) ili kuona habari kwa undani kama ilivyo “leagues” kwenye Michezo.
Maendeleo makubwa Tanzania
Orodha fupi ya miradi/assembly na ubunifu unaoendelea kwenye sayansi na teknolojia.