Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba's Call to Address Signs of National Security Breaches
Outlets: globalpublishers.co.tz, ippmedia.co.tz, mzalendo.co.tz
Supporting excerpts & sources
Sasa hivi hatupaswi kupuuzia viashiria vya uvunjifu wa amani hapa nchini. Hatutakiwi kuvipuuza kwa sababu vimetuachia doa.
mzalendo.co.tz โWAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania waendelee kuhimizana kuhusu ulinzi wa Taifa na kamwe wasipuuze viashiria vya uvunjifu wa amani.
globalpublishers.co.tz โWaziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuendelea kushirikiana katika kulinda amani na usalama wa nchi kwa kutopuuzia viashiria vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa Taifa.
ippmedia.co.tz โ