Call for Community Participation in Maintaining Government Infrastructure
Vyanzo: arusha.go.tz, kilimanjaro.go.tz, tanzaniajudiciary.blogspot.com
Maelezo na vyanzo
Mhe. Babu ametoa wito huo wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na iliyokamilika katika Mkoa wa Kilimanjaro.
kilimanjaro.go.tz โHivyo wananchi wote kwa pamoja wanao wajibu wa kulinda na kutunza miundombinu ya Mahakama hiyo kwasababu ni mali ya umma na imejengwa kwa kodi za wananchi wenyewe.
tanzaniajudiciary.blogspot.com โHata hivyo, ametoa wito kwa wananchi pamoja na watumishi wa sekta ya afya kuhakikisha wanalinda miundombinu inayojengwa kwa gharama kubwa za serikali.
arusha.go.tz โ