Mada zilizoorodheshwa
PUBLIC-ADMIN Jun 16, 2026 3 nukuu ยท 3 makala ยท 3 vyanzo

Call for Community Participation in Maintaining Government Infrastructure

Vyanzo: arusha.go.tz, kilimanjaro.go.tz, tanzaniajudiciary.blogspot.com

Maelezo na vyanzo

Mhe. Babu ametoa wito huo wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na iliyokamilika katika Mkoa wa Kilimanjaro.
kilimanjaro.go.tz โ†—
Hivyo wananchi wote kwa pamoja wanao wajibu wa kulinda na kutunza miundombinu ya Mahakama hiyo kwasababu ni mali ya umma na imejengwa kwa kodi za wananchi wenyewe.
tanzaniajudiciary.blogspot.com โ†—
Hata hivyo, ametoa wito kwa wananchi pamoja na watumishi wa sekta ya afya kuhakikisha wanalinda miundombinu inayojengwa kwa gharama kubwa za serikali.
arusha.go.tz โ†—
Uliza chochote kuhusu mada hii โ€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.