21-Year-Old Juma Ramadhan Confesses to Killing His Father Ramadhan Jaffary
Vyanzo: globalpublishers.co.tz, mwananchi.co.tz, swahilitimes.co.tz
Maelezo na vyanzo
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Juma Ramadhan (21) kwa tuhuma za kumuua baba yake, Ramadhan Jaffary (47), na kisha kumfukia ndani ya nyumba ya marehemu.
swahilitimes.co.tz โPolisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemtia mbaroni Juma Ramadan (21), maarufu Juli, mkazi wa Ubungo, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Ramadan Jafar (47), maarufu Muna, ambaye awali aliripotiwa kupotea.
mwananchi.co.tz โJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia kijana mmoja aitwaye Juma Ramadhan (21), kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Ramadhan Jafari (47), kisha kuuficha mwili wake kwa kuufukia ndani ya chumba cha nyumba yao iliyopo eneo la Mbezi Luguruni, jijini Dar es Salaam.
globalpublishers.co.tz โ