Mada zilizoorodheshwa
CIVIL-SOCIETY Jun 23, 2026 3 nukuu ยท 3 makala ยท 3 vyanzo

21-Year-Old Juma Ramadhan Confesses to Killing His Father Ramadhan Jaffary

Vyanzo: globalpublishers.co.tz, mwananchi.co.tz, swahilitimes.co.tz

Maelezo na vyanzo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Juma Ramadhan (21) kwa tuhuma za kumuua baba yake, Ramadhan Jaffary (47), na kisha kumfukia ndani ya nyumba ya marehemu.
swahilitimes.co.tz โ†—
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemtia mbaroni Juma Ramadan (21), maarufu Juli, mkazi wa Ubungo, kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Ramadan Jafar (47), maarufu Muna, ambaye awali aliripotiwa kupotea.
mwananchi.co.tz โ†—
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia kijana mmoja aitwaye Juma Ramadhan (21), kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Ramadhan Jafari (47), kisha kuuficha mwili wake kwa kuufukia ndani ya chumba cha nyumba yao iliyopo eneo la Mbezi Luguruni, jijini Dar es Salaam.
globalpublishers.co.tz โ†—
Uliza chochote kuhusu mada hii โ€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.