Khalid Hamed Al Barwani Appointed as Honorary Tourism Ambassador for Tanzania
Vyanzo: dailynews.co.tz, habarileo.co.tz, michuzi.co.tz
Maelezo na vyanzo
Mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii kutoka Oman, Khalid Hamed Al Barwani, aliyesaidia kulitangaza kimataifa Shamba la Miti Sao Hill baada ya kuitembelea mwaka 2024, amekabidhiwa rasmi Ubalozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania katika hatua inayotarajiwa kuimarisha kampeni za kuitangaza nchi na kuongeza idadi ya watalii.
habarileo.co.tz ↗THE Tanzania Tourist Board (TTB) has officially appointed Omani tourism promoter and travel influencer Khalid Hamed Al Barwani as Tanzania’s Honorary Tourism Ambassador in recognition of his contribution to promoting the country’s tourism attractions on the international stage.
dailynews.co.tz ↗BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imemkabidhi rasmi mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii kutoka Oman, Khalid Hamed Al Barwani, Ubalozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania, ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuimarisha juhudi za kuitangaza Tanzania katika masoko ya kimataifa na kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchini.
michuzi.co.tz ↗BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imemkabidhi rasmi mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii kutoka Oman, Khalid Hamed Al Barwani, Ubalozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania, ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuimarisha juhudi za kuitangaza Tanzania katika masoko ya kimataifa na kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchini.
michuzi.co.tz ↗