Mada zilizoorodheshwa
INFRASTRUCTURE Jun 9, 2026 2 nukuu ยท 2 makala ยท 2 vyanzo

Mwenge wa Uhuru Launches 455 Million Shilling Project in Gairo to Alleviate Flood Challenges

Vyanzo: michuzi.co.tz, mzalendo.co.tz

Maelezo na vyanzo

Na Farida Mangube Morogoro Wakazi wa Kitongoji cha Kichangani, Kijiji cha Mamboya katika Kata ya Gairo, Wilaya ya Gairo, wameondokana na changamoto ya muda mrefu ya mafuriko na kukatika kwa mawasiliano baada ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa daraja na mtaro wa maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 455.Mradi huo uliotekelezwa na wakala ya Barabara za vijjini na mjini TARURA umezin
michuzi.co.tz โ†—
DODOMA: Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za WAZOHURU MEDIA na WAZOHURU APPARTMENTS, Mathias Canal, ametunukiwa Tuzo ya Ushiriki Bora wa Kazi za Jamii 2026, ikiwa ni kutambua mchango wake mkubwa katika kuhamasisha maendeleo ya jamii kupitia shughuli mbalimbali za kijamii na misaada ya kijamii. Tuzo hiyo iliyotolewa usiku wa Juni 5, 2026 [โ€ฆ]
mzalendo.co.tz โ†—
Uliza chochote kuhusu mada hii โ€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.