Proposed 2026/27 Government Budget of 61.93 Trillion Shillings
Vyanzo: mwananchi.co.tz
Maelezo na vyanzo
Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 inatarajiwa kuwa Sh 61.93 trilioni, huku ikilenga kuongeza makusanyo ya ndani hadi kufikia Sh46.69 trilioni ili kupunguza utegemezi wa misaada na mikopo kutoka nje.
mwananchi.co.tz โ