Mada zilizoorodheshwa
BUSINESS Jun 10, 2026 1 nukuu ยท 1 makala ยท 1 vyanzo

Call for Tanzanian Businesses to Participate in 57th International Trade Fair in Algiers from June 22 to 27

Vyanzo: ippmedia.co.tz

Maelezo na vyanzo

BALOZI wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa Tanzania kushiriki kwenye Maonesho ya 57 ya Kimataifa ya Biashara ya Algiers (FIA) yatakayofanyika kuanzia Juni 22 hadi 27 Juni 27 mwaka huu, jijini Algiers, na kushirikisha kampuni takribani 700 kutoka nchi zaidi ya 40 duniani.
ippmedia.co.tz โ†—
Uliza chochote kuhusu mada hii โ€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.