Upelelezi wa kesi ya Neema Chozaile umekamilika
Latest Tanzania politics news · Upelelezi wa kesi ya Neema Chozaile umekamilika explained · updated Aug 5, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Geita, Neema Chozaile, anayekabiliwa na tuhuma za kula njama za kuwaua maofisa wa Polisi, imesogezwa mbele kwa mara ya pili baada ya.
- Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Liberatus John Rwabuhanga umeieleza Mahakama kuwa upelelezi wa shauri hilo umekamilika na kinachosubiriwa ni kuimarika kwa afya ya mshtakiwa ili mchakato wa kesi uendelee.