Upelelezi wa kesi ya Neema Chozaile umekamilika
Habari mpya za siasa Tanzania · maelezo ya Upelelezi wa kesi ya Neema Chozaile umekamilika · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za siasa · serikali · sera
Muhtasari
- Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Geita, Neema Chozaile, anayekabiliwa na tuhuma za kula njama za kuwaua maofisa wa Polisi, imesogezwa mbele kwa mara ya pili baada ya.
- Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Liberatus John Rwabuhanga umeieleza Mahakama kuwa upelelezi wa shauri hilo umekamilika na kinachosubiriwa ni kuimarika kwa afya ya mshtakiwa ili mchakato wa kesi uendelee.