Proposal to Expand Heart Services in Comoros by Tanzania's Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)
Latest Tanzania health news · Proposal to Expand Heart Services in Comoros by Tanzani… explained · updated Aug 13, 2026 · health news · hospitals · public health
TLDR
- DAR ES SALAAM: UHITAJI mkubwa wa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo nchini Comoro umeibua fursa kwa Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kupanua huduma zake katika nchi hiyo.
- Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Dk Salim Hamad, amesema uhitaji huo umeonekana wazi baada ya JKCI kufanya kambi maalumu ya matibabu ya moyo katika kisiwa cha Anjouan, ambapo uongozi wa kisiwa hicho umeomba taasisi.