Mada zilizoorodheshwa
AFYA 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

Proposal to Expand Heart Services in Comoros by Tanzania's Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

Habari mpya za afya Tanzania · maelezo ya Proposal to Expand Heart Services in Comoros by Tanzani… · imesasishwa 13 Aug 2026 · habari za afya · hospitali · afya ya umma

Muhtasari

  • DAR ES SALAAM: UHITAJI mkubwa wa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo nchini Comoro umeibua fursa kwa Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kupanua huduma zake katika nchi hiyo.
  • Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Dk Salim Hamad, amesema uhitaji huo umeonekana wazi baada ya JKCI kufanya kambi maalumu ya matibabu ya moyo katika kisiwa cha Anjouan, ambapo uongozi wa kisiwa hicho umeomba taasisi.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Proposal to Expand Heart Services in Comoros by Tanzani…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.