Indexed topics
EDUCATION 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Launch of Environmental Club and Anti-Corruption Club at Kenyamanyori Secondary School

Latest Tanzania education news · Launch of Environmental Club and Anti-Corruption Club a… explained · updated Aug 5, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Wazo Michael Mwang’onda leo tarehe 05 Agosti, 2026 umetembelea Shule ya Sekondari ya Kenyamanyori katika Halmashauri ya Mji wa Tarime na kupongeza uongozi wa shule hiyo.
  • Aidha, Ndugu Mwang’onda amewapongeza wananchi wa Kata ya Kenyamanyori kwa kuchanga fedha shilingi milioni 130 kwa ajili ya kujenga bweni la wanafunzi wa kike baada ya kupokea malalamiko ya wanafunzi kuhusiana na adha.

Latest news excerpts & sources: Launch of Environmental Club and Anti-Corruption Club a…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.