Launch of Environmental Club and Anti-Corruption Club at Kenyamanyori Secondary School
Habari mpya za elimu Tanzania · maelezo ya Launch of Environmental Club and Anti-Corruption Club a… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo
Muhtasari
- Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Wazo Michael Mwang’onda leo tarehe 05 Agosti, 2026 umetembelea Shule ya Sekondari ya Kenyamanyori katika Halmashauri ya Mji wa Tarime na kupongeza uongozi wa shule hiyo.
- Aidha, Ndugu Mwang’onda amewapongeza wananchi wa Kata ya Kenyamanyori kwa kuchanga fedha shilingi milioni 130 kwa ajili ya kujenga bweni la wanafunzi wa kike baada ya kupokea malalamiko ya wanafunzi kuhusiana na adha.