Government Emphasis on Modern Agricultural Practices at Nane Nane 2026
Latest Tanzania agriculture news · Government Emphasis on Modern Agricultural Practices at… explained · 2026 updates · updated Aug 3, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- MAONESHO ya Sikukuu ya Wakulima maarufu kama Nane Nane 2026 yamefunguliwa rasmi leo Agosti 1, 2026 katika Viwanja vya Dkt.
- John Samuel Malecela hadi tarehe 8 Agosti 2026, yakitoa fursa kwa wananchi kutembelea, kujifunza, kupata huduma za kitaalamu na kujionea fursa mbalimbali za kiuchumi katika sekta za kilimo,mifugo na uvuvi.