Government Emphasis on Modern Agricultural Practices at Nane Nane 2026
Habari mpya za kilimo Tanzania · maelezo ya Government Emphasis on Modern Agricultural Practices at… · masasisho 2026 · imesasishwa 3 Aug 2026 · habari za kilimo · wakulima · mazao
Muhtasari
- MAONESHO ya Sikukuu ya Wakulima maarufu kama Nane Nane 2026 yamefunguliwa rasmi leo Agosti 1, 2026 katika Viwanja vya Dkt.
- John Samuel Malecela hadi tarehe 8 Agosti 2026, yakitoa fursa kwa wananchi kutembelea, kujifunza, kupata huduma za kitaalamu na kujionea fursa mbalimbali za kiuchumi katika sekta za kilimo,mifugo na uvuvi.