80 Million Shilling Housing Project for UWT Women's Secretary in Mbeya
Latest Tanzania politics news · 80 Million Shilling Housing Project for UWT Women's Sec… explained · updated Aug 6, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Mwenyekiti wa Jumuiya ya wanawake CCM -UWT Taifa Mary Chatanda ametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake UWT Mkoa wa Mbeya wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Mil 80.
- Nyumba hiyo ya Katibu wa Jumuiya ya wanawake CCM -UWT imejengwa na Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Winfrid Mahundi kwa ushirikiano wa baadhi ya wadau na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Maryprisca.
- Alisema kuwa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya wamemfanyia jambo kubwa hivyo hiyo kwake ni sehemu ya sadaka na kurejesha shukrani kwa jamii ya wanawake Mkoa wa Mbeya.