Mada zilizoorodheshwa
SIASA 1 nukuu · 1 makala · 1 vyanzo

80 Million Shilling Housing Project for UWT Women's Secretary in Mbeya

Habari mpya za siasa Tanzania · maelezo ya 80 Million Shilling Housing Project for UWT Women's Sec… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari za siasa · serikali · sera

Muhtasari

  • Mwenyekiti wa Jumuiya ya wanawake CCM -UWT Taifa Mary Chatanda ametembelea mradi wa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake UWT Mkoa wa Mbeya wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Mil 80.
  • Nyumba hiyo ya Katibu wa Jumuiya ya wanawake CCM -UWT imejengwa na Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Winfrid Mahundi kwa ushirikiano wa baadhi ya wadau na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Maryprisca.
  • Alisema kuwa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya wamemfanyia jambo kubwa hivyo hiyo kwake ni sehemu ya sadaka na kurejesha shukrani kwa jamii ya wanawake Mkoa wa Mbeya.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: 80 Million Shilling Housing Project for UWT Women's Sec…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.