Indexed topics
TECHNOLOGY 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Debate on Battery Size in Slim Phones with 5600mAh Capacity

Latest Tanzania technology news · Debate on Battery Size in Slim Phones with 5600mAh Capa… explained · updated Aug 5, 2026 · tech news · innovation · digital

TLDR

  • Tecno imezindua Camon Slim, simu mpya yenye unene wa milimita 6.39, na ndani ya saa chache baada ya kutangazwa imeanza kuzua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.
  • Hivi ndivyo vitu vitano vinavyowachanganya watu wengi kuhusu Camon Slim. 1.
  • Camon Slim ina unene wa 6.39mm, kiwango kinachoifanya kuwa mojawapo ya simu nyembamba zaidi za Tecno katika miaka ya karibuni.
  • Camon Slim ina ukadiriaji wa IP68 na IP69, unaomaanisha inaweza kustahimili maji na vumbi kwa kiwango cha juu zaidi kuliko simu nyingi za daraja lake.
  • Muonekano Wake Unaficha Ukweli Mwingine Baada ya kuona skrini ya 6.78-inch yenye 144Hz, mwili mwembamba na muundo wa kifahari, watu wengi walitarajia Camon Slim itumie chip ya Dimensity au Snapdragon.

Latest news excerpts & sources: Debate on Battery Size in Slim Phones with 5600mAh Capa…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.