Debate on Battery Size in Slim Phones with 5600mAh Capacity
Habari mpya za teknolojia Tanzania · maelezo ya Debate on Battery Size in Slim Phones with 5600mAh Capa… · imesasishwa 5 Aug 2026 · habari za teknolojia · uvumbuzi · kidijitali
Muhtasari
- Tecno imezindua Camon Slim, simu mpya yenye unene wa milimita 6.39, na ndani ya saa chache baada ya kutangazwa imeanza kuzua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.
- Hivi ndivyo vitu vitano vinavyowachanganya watu wengi kuhusu Camon Slim. 1.
- Camon Slim ina unene wa 6.39mm, kiwango kinachoifanya kuwa mojawapo ya simu nyembamba zaidi za Tecno katika miaka ya karibuni.
- Camon Slim ina ukadiriaji wa IP68 na IP69, unaomaanisha inaweza kustahimili maji na vumbi kwa kiwango cha juu zaidi kuliko simu nyingi za daraja lake.
- Muonekano Wake Unaficha Ukweli Mwingine Baada ya kuona skrini ya 6.78-inch yenye 144Hz, mwili mwembamba na muundo wa kifahari, watu wengi walitarajia Camon Slim itumie chip ya Dimensity au Snapdragon.