7,334 Reported Online Fraud Incidents in Q2 2026
Habari mpya za teknolojia Tanzania · maelezo ya 7,334 Reported Online Fraud Incidents in Q2 2026 · masasisho 2026 · imesasishwa 12 Aug 2026 · habari za teknolojia · uvumbuzi · kidijitali
Muhtasari
- Takwimu za mawasiliano za robo ya mwaka inayoishia Juni 2026 zinazotolewa na TCRA, zinaonesha ulaghai umepungua kutoka matukio 9,816 yaliyoripotiwa robo mwaka inayoishia Machi 2026 hadi kufikia matukio 7,334 katika robo.
- Mtandao wa Yas ndiyo uliyorekodi idadi kubwa zaidi ya majaribio katika robo iliyoishia Juni, 2026 ikiwa na jumla ya matukio 2,306, sawa na asilimia 31.4 ya matukio yote.