Indexed topics
TECHNOLOGY 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

7,334 Reported Online Fraud Incidents in Q2 2026

Latest Tanzania technology news · 7,334 Reported Online Fraud Incidents in Q2 2026 explained · 2026 updates · updated Aug 12, 2026 · tech news · innovation · digital

TLDR

  • Takwimu za mawasiliano za robo ya mwaka inayoishia Juni 2026 zinazotolewa na TCRA, zinaonesha ulaghai umepungua kutoka matukio 9,816 yaliyoripotiwa robo mwaka inayoishia Machi 2026 hadi kufikia matukio 7,334 katika robo.
  • Mtandao wa Yas ndiyo uliyorekodi idadi kubwa zaidi ya majaribio katika robo iliyoishia Juni, 2026 ikiwa na jumla ya matukio 2,306, sawa na asilimia 31.4 ya matukio yote.

Latest news excerpts & sources: 7,334 Reported Online Fraud Incidents in Q2 2026

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.