Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Yanga SC's Decision to Place Depú on Transfer Market After Signing Two New Strikers

Latest Tanzania sports news · Yanga SC's Decision to Place Depú on Transfer Market Af… explained · updated Aug 5, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Yanga imeweka dau la dola za Marekani 500,000 kama thamani ya kumuuza Depú, kiasi ambacho Petro de Luanda inakiona kuwa ni kikubwa kwa uwezo wao kwa sasa.
  • DAR ES SALAAM: Klabu ya Yanga SC imemweka sokoni mshambuliaji wake wa kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurélio maarufu kama Depú, baada ya kufanya maboresho katika safu yake ya ushambuliaji.
  • Uamuzi huo umefikiwa baada ya Yanga SC kuingiza mastraika wawili wapya wa kimataifa kwenye kikosi chake, jambo lililoifanya klabu hiyo kuona kuna umuhimu wa kumpa nafasi Depú kutafuta changamoto nyingine nje ya Jangwani.
  • Depú, ambaye alisajiliwa kutoka Angola, sasa anaweza kuondoka endapo kutapatikana klabu itakayofikia makubaliano na Yanga kuhusu ada ya uhamisho.
  • Depú anakuwa miongoni mwa wachezaji ambao mustakabali wao unatajwa zaidi katika dirisha hili la usajili, huku Yanga ikiendelea kupanga kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya.

Latest news excerpts & sources: Yanga SC's Decision to Place Depú on Transfer Market Af…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.