Yanga SC Introduces New Season Squad at Yanga Day
Latest Tanzania sports news · Yanga SC Introduces New Season Squad at Yanga Day explained · updated Aug 9, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- DAR ES SALAAM, Tanzania — KILELE cha tamasha kubwa la Yanga Day 2026 kinatarajiwa kutimua vumbi leo Jumapili kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kikihitimishwa kwa mechi kabambe ya kirafiki ya kimataifa kati ya.
- Klabu ya Yanga imekuwa ikilitumia tamasha hili la aina yake kutoa burudani kabambe kwa mashabiki wake pamoja na kutambulisha rasmi kikosi kamili cha msimu mpya na benchi zima la ufundi.
- Ally Kamwe: Milango Kufunguliwa Mapema, Burudani ni Mwanzo Mwisho Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amethibitisha kuwa maandalizi yote yamekamilika na wamejipanga kutoa burudani ya kipekee.
- Kama kuna msimu ambao tumetamani kukata kiu ya wanachama wetu kwa kiwango cha juu ni msimu huu wa Yanga Day.
- Mshambuliaji mpya wa timu hiyo kutoka Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Peter Shalulile, amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi: “Njooni mfurahie Yanga Day na muwe na wakati mzuri wa pamoja.” Kwingineko, winga raia.