Mabingwa hao wa Tanzania wana nia dhati ya: Kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Bara. Kutwaa Kombe la Shirikisho la CRDB. Kufika mbali na kuacha alama kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League).
Kujenga Hamasa: Kukiandaa kikosi na mashabiki kisaikolojia kabla ya kuanza kwa ligi na michuano ya kimataifa.