Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Yanga Achieves 10th Ngao ya Jamii Title, Equaling Simba's Record

Latest Tanzania sports news · Yanga Achieves 10th Ngao ya Jamii Title, Equaling Simba… explained · updated Aug 12, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Yanga imeshinda tano na ya mwisho ikiwa ni ile ya Septemba 16, 2025, ambapo iliifunga Simba bao 1-0.
  • Katika mechi hiyo ya leo Agosti 12, 2026, Yanga ilipata bao hilo kupitia kwa nyota wake mpya raia wa Zambia, Albert Kangwanda.
  • Kuanzia mwaka 2021, timu hizo zimekutana mara sita (ikiwamo ya leo) katika Ngao ya Jamii.
  • Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI maumivu ya kupokonywa Selemani Mwalimu yakiwa hayajapoa, Yanga imeipiga tena Simba kwenye mshono kwa kuifunga bao 1-0 na kutwaa taji la Ngao ya Jamii katika ‘derby’ iliyochezwa katika.
  • Kwa ushindi huo, Yanga imefikisha mataji 10 ya Ngao ya Jamii, sawa na Wekundu wa Msimbazi, ambao pia wana idadi hiyo.

Latest news excerpts & sources: Yanga Achieves 10th Ngao ya Jamii Title, Equaling Simba…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.