Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba's Praise for Integrated Farming Innovations in Kibaha District
Latest Tanzania agriculture news · Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba's Praise for Integrate… explained · updated Aug 4, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Nchemba pia alivutiwa na ng’ombe wa kisasa aina ya Sahiwal mwenye uzito wa takribani kilogramu 1,050, ambaye ni miongoni mwa vivutio vikubwa katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.
- Mwigulu Lameck Nchemba, amepongeza ubunifu wa mfumo wa Kilimo Mseto (Integrated Farming) unaotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha baada ya kutembelea banda la halmashauri hiyo katika Maonesho ya Wakulima.
- Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
- Mfugaji wa ng’ombe huyo alimweleza Waziri Mkuu kuwa alianza kujishughulisha na ufugaji wa kisasa mara baada ya kuhitimu masomo ya chuo, ambapo alimshawishi baba yake kuachana na ufugaji wa kienyeji na kuwekeza katika.