Indexed topics
AGRICULTURE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Wakulima wauza mazao trilioni 2.679/- kwa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala

Latest Tanzania agriculture news · Wakulima wauza mazao trilioni 2.679/- kwa Mfumo wa Stak… explained · 2026 updates · updated Aug 6, 2026 · agriculture news · farmers · crops

TLDR

  • Wakulima nchini wameendelea kunufaika na Mfumo wa Stakabadhi za Ghala baada ya kuuza mazao yenye thamani ya Sh. trilioni 2.679 katika mwaka wa fedha 2025/2026, huku zaidi ya Sh. trilioni 2.298 zikilipwa moja kwa moja.
  • Mafanikio hayo yametangazwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Asangye Bangu, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Bodi.

Latest news excerpts & sources: Wakulima wauza mazao trilioni 2.679/- kwa Mfumo wa Stak…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.