Indexed topics
LAW JUSTICE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Wajibu wa Wakili wa Sheria katika Utoaji Haki Kisheria

Latest Tanzania law justice news · Wajibu wa Wakili wa Sheria katika Utoaji Haki Kisheria explained · updated Aug 3, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • MAHAKAMANI TANZANIAKwa kutumia Ibara ya 30(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, inamuelekeza Wakili wa Sheria fursa kuu: Haki na Uhuru wa binadamu katika misingi yake imeorodheshwa katika.
  • Chini ya Kifungu cha 75 cha sheria hiyo, yeyote aliyedahiliwa rasmi kuwa Wakili, anatambulika kisheria kama Ofisa wa Mahakama Kuu na anakuwa chini ya mamlaka yake kimaadili na nidhamu.Kuna Kamati ya Nidhamu ya Mawakili.
  • HESHIMA KWA MAHAKAMAMahaka inarejea Kifungu cha 30 cha Sheria ya Mawakili, katikia Sura 341, kinahifadhi mamlaka ya asili ya majaji wa Mahakama Kuu na Jaji Mkuu kuadhibu papo hapo wakili wanaoonyesha dharau kwa kukiuka.
  • Ni sehemu ya wanaowajibika kwa mfumo wa kisheria unaoanzisha na kusimamia maadili hayo ya kiutendaji, unajumuisha Sheria ya Mawakili na Kamati ya Nidhamu ya Mawakili.SHERIA INAYOWASIMAMIA Sheria ya Mawakili, Sura ya 341.
  • MARA nyingi nafasi au cheo cha uwakili wa kisheria na mhusika anawajibika chini ya msimamizi mkuu mahakama, mamlaka inayomuidhinisha.

Latest news excerpts & sources: Wajibu wa Wakili wa Sheria katika Utoaji Haki Kisheria

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.