Indexed topics
BUSINESS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Wajasiriamali wa Pemba Wapata Elimu ya Vipimo katika Maonesho ya Nane Nane

Latest Tanzania business news · Wajasiriamali wa Pemba Wapata Elimu ya Vipimo katika Ma… explained · updated Aug 6, 2026 · business news · companies · investment

TLDR

  • Katika ziara hiyo iliyofanyika leo Agosti 6, 2026, wajasiriamali hao wameshukuru kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya vipimo, ufungashaji bora wa bidhaa na mbinu za kuongeza ushindani wa bidhaa zao sokoni.
  • Wajasiriamali wa kikundi cha Hapa Kazi kutoka Shehia ya Mtemani Wingwi, Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba wametembelea banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya 33 ya Wakulima Nane Nane yanayofanyika.
  • Tumejifunza jinsi ya kutumia mizani, kuweka lebo sahihi na umuhimu wa vipimo katika biashara yetu, elimu ambayo pia tumekuwa tukiipata kupitia Wakala yetu ya Vipimo Zanzibar,” alisema.
  • Aidha, amesema ushiriki wao katika maonesho hayo umewaongezea ujuzi na uelewa zaidi kuhusu matumizi sahihi ya vipimo, mfumo wa alama za mistari (barcodes) na mbinu bora za kufungasha bidhaa.
  • Mwakilishi wa kikundi hicho, Asha Mwiaka Haji, amesema maonesho hayo yameendelea kuwafungua macho na kuwaongezea uelewa mkubwa kuhusu vigezo vinavyopaswa kuzingatiwa katika biashara ili bidhaa zao ziweze kupenya kwenye.

Latest news excerpts & sources: Wajasiriamali wa Pemba Wapata Elimu ya Vipimo katika Ma…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.