Vodacom Tanzania's Financial Empowerment Initiative for Farmers through M-Kulima Service
Latest Tanzania finance news · Vodacom Tanzania's Financial Empowerment Initiative for… explained · updated Aug 3, 2026 · economy news · GDP · investment
TLDR
- Vodacom inaendelea kujitolea kutoa huduma bunifu zitakazowawezesha wananchi, hasa wakulima, kunufaika zaidi na teknolojia ya kidijitali.Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Catherine Masanja (kushoto) akimsajilia line ya.
- Kampuni ya Vodacom Tanzania inaendelea kuimarisha huduma za kifedha na mawasiliano kwa wananchi kupitia ushiriki wake katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nyamhongolo mkoani Mwanza.
- Katika maonesho hayo, watoa huduma wa kampuni hiyo wamekuwa wakitoa elimu na kusajili wananchi kwenye huduma mbalimbali, ikiwemo huduma ya Lipa.Kupitia huduma ya M-Kulima, Vodacom inalenga kuwapatia wakulima suluhisho.