Indexed topics
TELECOM 2 excerpts · 2 articles · 2 outlets

Vodacom's Investment Increase to 123.2 Billion TZS for Network and M-Pesa Improvements

Latest Tanzania telecom news · Vodacom's Investment Increase to 123.2 Billion TZS for… explained · 2026 updates · updated Aug 6, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Dar es Salaam, Agosti 4, 2026 – Vodacom Tanzania Plc imezindua rasmi kampeni mpya ya “Zaidi ya Mtandao” (More Than a Network), ikisisitiza dhamira yake ya kwenda mbali zaidi ya kutoa huduma za mawasiliano kwa kuwezesha.
  • Aidha, taarifa ya fedha ya Vodacom kwa robo ya mwaka iliyoishia Juni 2026 inaonyesha kampuni imeongeza uwekezaji wake hadi kufikia shilingi bilioni 123.2, karibu mara mbili ya kiwango kilichowekezwa katika kipindi kama.
  • Naye Kaimu Mkurugenzi wa M-Pesa Vodacom Tanzania Plc, Tulisindo Mlupilo, alisema M-Pesa inaendelea kuwa mhimili muhimu wa ujumuishaji wa kifedha nchini, ikiwa na zaidi ya watumiaji hai milioni 14.1 kila mwezi.
  • Uwekezaji huo umeelekezwa katika kuboresha miundombinu ya mtandao na mfumo wa M-Pesa ili kuongeza upatikanaji wa huduma za kidijitali.Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa Vodacom.

Latest news excerpts & sources: Vodacom's Investment Increase to 123.2 Billion TZS for…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.