Indexed topics
SPORTS 2 excerpts · 2 articles · 2 outlets

VG Fun Run 2026 with 250+ Participants in Dar es Salaam

Latest Tanzania sports news · VG Fun Run 2026 with 250+ Participants in Dar es Salaam explained · 2026 updates · updated Aug 7, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • DAR ES SALAAM: ZAIDI ya washiriki 250 wanatarajiwa kujitokeza katika mbio za Victoria Group (VG) Fun Run 2026, zitakazofanyika kwa mara ya kwanza kesho, Agosti 8, huku maandalizi ya tukio hilo yakifikia asilimia 100.
  • Mbio hizo zinazofanyika jijini Dar es Salaam zitahusisha kilomita tano na 10, huku washiriki ambao hawatashiriki mbio wakipewa fursa ya kufanya mazoezi ya kupasha mwili joto, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuhamasisha.

Latest news excerpts & sources: VG Fun Run 2026 with 250+ Participants in Dar es Salaam

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.