Uwasilishaji wa teknolojia ya kisasa kuimarisha usalama wa chakula na kuchochea ukuaji wa uchumi
Latest Tanzania agriculture news · Uwasilishaji wa teknolojia ya kisasa kuimarisha usalama… explained · updated Aug 3, 2026 · agriculture news · farmers · crops
TLDR
- Hatua hiyo inalenga kujenga kilimo cha kisasa chenye tija, kuongeza ushindani wa mazao, kuimarisha usalama wa chakula na kuchochea ukuaji wa uchumi kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa.
- Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetumia Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Kanda ya Mashariki yanayofanyika mkoani Morogoro kuonesha matumizi ya teknolojia za kisasa katika sekta ya kilimo kupitia ndege isiyo na.