Amesema kupitia mkutano huo, Serikali itawasilisha miradi mbalimbali ya kimkakati ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), Bandari ya Dar es Salaam, miradi ya uzalishaji na usafirishaji wa umeme pamoja na miundombinu ya TEHAMA, kwa lengo la kuvutia uwekezaji wa kimataifa.
Kwa mujibu wa Chalamila, Serikali itatumia mkutano huo kuwasilisha miradi mbalimbali ya kimkakati kwa wawekezaji wa ndani na kimataifa, ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), Bandari ya Dar es Salaam, miradi ya uzalishaji na usafirishaji wa umeme pamoja na miundombinu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kwa lengo la kuvutia uwekezaji.