Upcoming Community Shield Match Between Simba and Yanga on Wednesday
Latest Tanzania sports news · Upcoming Community Shield Match Between Simba and Yanga… explained · updated Aug 10, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Mechi 5 za mwisho walizokutana kati ya Simba dhidi ya Yanga Yanga ameshinda mechi 3 na Simba ametoa sare 1 na ameshinda mechi 1, hivyo vijana hawa wa Manqoba ndio wana nafasi nzuri ya kupata matokeo mazuri kutokana na.
- Jumatano ya leo tutashuhudia mtanange mkali wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Yanga kule Zanzibar katika Dimba la New Aman Complex huku vijana wa Manqoba wakiingia kama mabingwa watetezi wa Kombe hili.